SBS

SBS Swahili - SBS Swahili

News SW ↓ 930 episodes

Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili

Author

SBS

Category

News

Podcast website

www.sbs.com.au

Latest episode

Jul 10, 2026

Where to listen?

Podcasts in the app Replaio Radio Coming soon

Podcasts are coming to the app soon. Install now and be the first to see a whole new take on podcasts

Get it on Google Play Install for free Android 5M+ downloads · 4.8 rating iOS soon

Episodes

Taarifa ya Habari:Waathiriwa wa maandamano wakataa mapendekezo ya sasa ya kuhusu fidia nchini Kenya 23.04.2026

Waziri Mkuu Anthony Albanese amepuuza matarajio ya vikwazo vikali vya mafuta, kabla ya mkutano wa kitaifa wa baraza la mawaziri leo [[Alhamisi Aprili 23]].

Makala leo: Waombolezaji wa Kitaalamu wa Kenya walipwa kulia 21.04.2026

Unawezaje hakikisha kwamba msiba uta hudhuriwa na watu wengi? Baada ya yote, jambo la mwisho unalotaka kutokea unapo aga dunia... ni kuondoka bila shamra shamra yoyote.

Wiki Hii barani Afrika:Papa Leo aomba mamlaka ya Angola kumaliza ubaguzi ambao ume endelea kusumbua nchi hiyo 21.04.2026

Kiongozi wa kanisa Katoliki Papa Leo XIV, amekemea vitendo vya rushwa na kuzitaka mamlaka za Angola kumaliza ubaguzi ambao ume endelea kusumbua nchi hiyo tangu kumalizika kwa vita vya wenyewe kwa mwenyewe 2002.

Taarifa ya Habari:Australia ya omba matokeo ya mazungumzo katika Mlango-Bahari wa Hormuz 21.04.2026

Waziri wa Mambo ya Nje Penny Wong anasema Australia ina omba matokeo ya mazungumzo katika Mlango-Bahari wa Hormuz, baada ya Marekani kushambulia na kukamata meli ya mizigo yenye bendera ya Iran.

Hadithi iliyopuuzwa: Huduma yawa Aboriginal na wana Visiwa wa vya Torres Strait katika siku ya ANZAC 20.04.2026

Siku ya ANZAC ni moja ya siku muhimu zaidi za kitaifa nchini Australia. Kila mwaka, watu hukusanyika kuwakumbuka waliohudumu katika vita, migogoro na misheni za kulinda amani.

Taarifa ya Habari: DRC na M23 wa afikiana kuhusu hatua muhimu za kibinaadamu 20.04.2026

Mweka Hazina wa taifa Jim Chalmers anasema atafanya mazungumzo na serikali za majimbo na mikoa, kuhusu kupunguza ukuaji wa Mfumo wa Kitaifa wa Bima ya Ulemavu (NDIS).

Wiki Hii Afrika: CHADEMA chafungua ofisi zake tena Tanzania baada yakupigwa marufuku 20.04.2026

Mahakama ya rufaa ime ondoa marufuku dhidi ya viongozi wa CHADEMA kushiriki katika maswala ya siasa Tanzania.

Nicky "Mwaka huu Taunet imelenga kufunza watoto wetu lugha na utamaduni wetu" 17.04.2026

Wanachama wa shirika la Taunet Nelel Melbourne, wame andaliwa sherehe maalum na viongozi wao.

Taarifa ya Habari 17 Aprili 2026 17.04.2026

Waziri wa Nishati Chris Bowen anasema uzalishaji wa petroli katika kiwanda cha kusafishia mafuta cha Geelong utaathiriwa kufuatia tukio la moto mapema wiki hii, lakini mmiliki wa kiwanda hicho ana uhakika wa kubadilisha tofauti hiyo na uagizaji.

SBS Learn Eng Ep 106 Kuzungumza kuhusu vyakula ambavyo haufahamu 17.04.2026

Je, unajua jinsi yakuzungumza kuhusu vyakula ambavyo haufamu?

Makala Leo: Sera tata ya uhamiaji ya kiongozi wa upinzani Angus Taylor yakosolewa vikali 17.04.2026

Kiongozi wa upinzani Angus Taylor ameelezea sera mpya ya uhamiaji yenye msimamo mkali ya Upinzani wa Mseto

Taarifa ya Habari: Zima moto wakabiliana na moto mkubwa katika kiwanda cha kusafisha mafuta 16.04.2026

Kuna ripoti za uharibifu mkubwa kwa moja ya viwanda viwili vya mwisho vya kusafisha mafuta vilivyosalia nchini Australia, kikosi cha zimamoto kikiitikia moto uliozuka katika eneo la kampuni ya Viva Energy Group karibu na Geelong.

Wiki hii Afrika: Rais Ruto ataka mageuzi katika muundo wa Muungano wa Afrika ili ifikie uwezo wayo kamili 16.04.2026

Rais wa Kenya, William Ruto amesema Umoja wa Afrika katika muundo wake wa sasa, hauja andaliwa ipaswavyo ili kulisaidia bara la Afrika kufikia uwezo walo kamili wa maendeleo na ustawi.

Taarifa ya Habari: Historia ya tengezwa baada ya mwanamke kuteuliwa kuwa mkuu wa jeshi la Australia 14.04.2026

Kwa mara ya kwanza katika historia ya Australia, mwanamke ameteuliwa kuwa mkuu wa jeshi la Australia. Waziri Mkuu alitangaza uteuzi wa Luteni Jenerali Susan Coyle mjini Canberra.

Australia Yafafanuliwa:Huduma za kisheria za wanawake nchini Australia:elewa chaguzi zako 14.04.2026

Ubaguzi katika sehemu za kazi, unyanyasaji wa kijinsia na ukosefu wa usawa wa kifedha—hizi ni baadhi ya sababu, zinazowafanya wanawake wahitaji huduma maalum za kisheria.

Makala leo: Marekani yazuia bandari za Iran 14.04.2026

Mazungumzo kati ya Marekani na Iran yameshindwa kufikia makubaliano ya kukomesha vita, na kuhatarisha usitishaji wa mapigano kwa muda wa wiki mbili.

Taarifa ya Habari: Kenya na Ufaransa zapiga hatua katika mkataba wa ulinzi 13.04.2026

Serikali ya Australia inasema haifikirii kutuma meli katika Mlango-Bahari wa Hormuz, baada ya Rais Donald Trump kusema mataifa mengine yatahusika katika kizuizi cha Marekani kwenye njia hiyo ya maji.

Australia Yafafanuliwa: Kazi mpya, mwanzo mpya: jinsi ya kubadilisha kazi nchini Australia 11.04.2026

Ni kawaida kufikiria upya maisha yako ya kazi. Baadhi wanatafuta fursa mpya. Wengine wanataka kazi inayolingana vyema na ujuzi wao, maadili, au hali zao.

Taarifa ya Habari: Serikali ya Australia na Singapore kutia saini makubaliano mapya ya usambazaji wa mafuta 10.04.2026

Waziri Mkuu Anthony Albanese anasema uhusiano kati ya Australia na Singapore ni muhimu zaidi kuliko hapo awali, nchi hizo mbili zikijiandaa kusaini makubaliano mapya ya mafuta.

Yaliyojiri Afrika: Upinzani waomba Tundu Lisu aachiliwe huru bila masharti 10.04.2026

Chama kikuu cha upinzani Tanzania, CHADEMA kina shinikiza kuachiliwa huru kwa kiongozi wao Tundu Antiphas Mughwai Lissu bila masharti.

Makala leo: Maumivu ya madereva katika vituo vya petroli yanaweza endelea kwa muda 10.04.2026

Tangazo la kusitisha mapigano Mashariki ya Kati linaonekana kupunguza maumivu ya madereva katika vituo vya petroli, Iran ikikubali kuruhusu meli kupitia Mlango-Bahari wa Hormuz.

Taarifa ya Habari:Australia yashinikiza kupanua usitishaji mapigano Mashariki ya Kati ujumuishe Lebanon 09.04.2026

Waziri Mkuu Anthony Albanese ametoa wito kwa Israel kukomesha mashambulizi yake dhidi ya Lebanon, akisema usitishaji wa mapigano katika eneo hilo la Mashariki ya Kati unapaswa kupanuliwa ili kuijumuisha Lebanon.

Mahojiano: Je makanisa yanastahili watenga viongozi ambao wame sababisha maafa katika nchi zao na duniani? 08.04.2026

Waumini wa dini laki Kristo kote duniani, wali jumuika katika sehemu mbali mbali kusherehekea Pasaka.

Yaliyojiri Afrika:M23 yashinikiza mabadiliko ya katiba ya DRC na uhuru wa majimbo ya Kivu kujiongoza 08.04.2026

Wawakilishi wa serikali ya DR Congo na kundi la M23 wanajiandaa kukutana nchini Uswizi kwa awamu nyingine ya mazungumzo.

Taarifa ya Habari: Hatari ya barabarani wakati wa Pasaka ya zua wito wa kuteuliwa kwa waziri wa usalama 07.04.2026

Serikali inasema mahitaji ya mafuta yaliongezeka kwa theluthi moja wakati wa mapumziko ya Pasaka.

Listen to the SBS Swahili - SBS Swahili podcast in Replaio

Radio and podcasts in one app - free, with no sign-up. Install today and do not miss the launch

Get it on Google Play

Replaio is not a podcast publisher; show names, artwork and audio belong to their authors and are distributed through public RSS feeds.