SBS
SBS Swahili - SBS Swahili
Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili
Where to listen?
Podcasts in the app Replaio Radio Coming soonPodcasts are coming to the app soon. Install now and be the first to see a whole new take on podcasts
Episodes
Yaliyojiri Afrika: Usalama waimarishwa katika mitaa ya Tanzania 10.07.2026 7:47
Usalama unaendelea kuimarishwa katika miji mikubwa ya Tanzania, maafisa wa Polisi na Jeshi wenye silaha wakifanya doria.
Mbappé aiweka Ufaransa katika nusu fainali 10.07.2026 4:16
Ufaransa imetinga nusu fainali ya Kombe la Dunia, baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Morocco. Kylian Mbappé amefunga mabao nane sawa na Lionel Messi, wakati Ousmane Dembélé akikamilisha ushindi huo.
Taarifa ya Habari:Polisi wachunguza kama kifo katika jimbo la Kusini Australia, kina husishwa na kupotea kwa huduma za Telstra Jumatano 10.07.2026 14:24
Polisi wanachunguza kama kifo kinahusishwa na kupotezwa kwa huduma ya Telstra kote nchini Jumatano. Wapelelezi wa Kusini Australia wamethibitisha mtu mmoja alifariki katika hospitali ya kanda Jumatano, lakini polisi hawakuwa wamearifiwa kuhusu kifo hicho.
Australia Yafafanuliwa: Sensa ya 2026: Unacho stahili jua kuhakikisha una hesabiwa 10.07.2026 12:16
Sensa ya 2026 itafanyika Jumanne tarehe 11 Agosti na kila mtu nchini Australia usiku huu lazima ahesabiwe.
Makala Leo: Waziri Mkuu Albanese aendeleza msukumo wake wakidiplomasia katika Pasifiki 10.07.2026 11:51
Waziri Mkuu Anthony Albanese ameweka ratiba kabambe ya mkataba mpya kamili na Visiwa vya Solomon, akisema angependa kuuona ukikamilika mwishoni mwa mwaka huu.
Taarifa ya Habari:Unyanyasaji wa kingono unaendelea kutumiwa kama silaha ya kivita DRC 09.07.2026 6:18
Mamlaka katika jimbo la Kusini Australia, zimethibitisha kisa cha pili cha homa ya ndege aina ya H5 katika jimbo hilo.
Chiry"wasichana wenzangu njooni tuboreshe afya zetu kupitia mpira" 07.07.2026 9:01
Jamii ya wakenya wanao ishi mjini Sydney, NSW walishuhudia historia ikiandikwa jioni ya Jumapili 28 Juni 2026 timu mpya ya mpira wa miguu ya kina dada ilipo cheza mechi yao ya kwanza katika uwanja wa Rydalmere.
Uhispania na Ubelgiji za tinga robo fainali wakati Ronaldo aaga Kombe la Dunia 07.07.2026 4:51
Uhispania na Ubelgiji zimefuzu kwa robo fainali, wakati ndoto za Kombe la Dunia za wenyeji Marekani na Ureno ya Cristiano Ronaldo ziki gonga miamba.
Taarifa ya Habari:Ofisi ya Takwimu ya Australia yazindua kampeni ya tamaduni mbalimbali kabla ya Sensa ya mwezi ujao 07.07.2026 14:00
Ofisi ya Takwimu ya Australia imezindua kampeni ya tamaduni mbalimbali kabla ya Sensa ya mwezi ujao, ikijumuisha matangazo katika lugha 28 tofauti.
Makala Leo: Wiki ya NAIDOC ni nini, na nini kimejificha nyuma ya kauli mbiu ya mwaka huu? 07.07.2026 11:28
Maadhimisho ya Wiki ya NAIDOC ya Kitaifa yanafanyika kote nchini Australia wiki hii, kwa ajili ya kusherehekea na kutambua historia, utamaduni na mafanikio ya watu wa Asili na wakaazi wa Visiwa vya Torres Strait.
Makala Leo: Makampuni makubwa ya mtandao wakijamii yatetea sera zao mbele ya Tume ya Kifalme 07.07.2026 8:21
Kampuni kubwa ya mtandao ya kijamii, Meta, ilifika mbele ya Tume ya Kifalme kuhusu Unyanyasaji wa Wayahudi na Uwiano wa Kijamii jana Julai 6, ikitetea rekodi yake ya kukomesha matumizi mabaya mtandaoni.
Taarifa ya Habari:Tiba ya majaribio ya Ebola yazinduliwa Mashariki mwa DR Congo 06.07.2026 6:19
Raia nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wamepata matumaini mapya baada ya kuanza kwa majaribio ya dawa mbili zinazolenga kuudhibiti mlipuko wa ugonjwa wa Ebola.
SBS Learn Eng Ep 114 Jinsi yakuzungumza kuhusu Sensa na usalama wa data 03.07.2026 11:52
Je, unajua jinsi yakuzungumza kuhusu Sensa na usalama wa data?
Yaliyojiri Afrika:Mvutano wakidiplomasia waiubuka kati ya Ghana, Nigeria na Afrika Kusini 03.07.2026 7:24
Nigeria imesema itaitaka Afrika Kusini ilipe fidia kwa raia wake acha mali na biashara zao baada yaku kimbia nchi hiyo kutoka na maandamano dhidi ya wahamiaji.
Mtao "Ukosefu wa utulivu wa kiakili na usimamizi mubovu wa mchezo umezigharimu timu za Afrika" 03.07.2026 7:41
Mashabiki wa timu za Afrika katika Kombe la Dunia la FIFA 2026, walipata pigo kubwa katika siku ya 20 na 21 ya michuano hiyo.
Taarifa ya Habari:Serikali ya shirikisho yaongeza gharama ya maombi kwa vitengo kadhaa vya visa za Australia kwa asilimia 25 03.07.2026 14:08
Ada ya maombi ya visa ya mwanafunzi imeongezeka tangu Julai 1 kutoka $2,000 hadi $2,500, huku Visa ya Muda ya Uzamili, au visa nambari 485, sasa inagharimu $5,750.
Ureno yavunja mioyo yawa Kroeshia wakati Uhispania yatinga raundi ya 16 03.07.2026 4:20
Katika Siku ya 22 ya Kombe la Dunia la FIFA, Ureno iliwashinda Kroeshia katika mechi ya mwisho ya Kombe la Dunia ya Luka Modrić, Uhispania ili icharaza Austria, na Uswisi ikaishinda Algeria na kufuzu kwa Raundi ya 16.
'Elimu kama chombo cha matumaini': Mwanafunzi mkimbizi Alina kuhusu kujenga upya maisha yake nchini Australia 03.07.2026 14:55
Wanafunzi wakimbizi wanajenga upya maisha yao nchini Australia kupitia mpango mpya wa majaribio ya makazi, unaounganisha masomo yao ya chuo kikuu na viwanda ambapo kuna uhaba mkubwa wa wafanyakazi kama vile uuguzi.
Taarifa ya Habari: Wanafunzi wanane washitakiwa kwa mauaji Kenya 02.07.2026 6:45
Polisi wamewakamata vijana wawili baada ya mvulana wa miaka 15 kuachwa afe nje ya kituo cha matibabu cha jamii mjini Melbourne.
DR Congo yawapa mamilioni fahari 02.07.2026 13:47
Mwaka huu DR Congo ilimaliza ukame wakuto shiriki katika Kombe la Dunia la FIFA baada ya zaidi ya miaka 50.
Taarifa ya Habari: Mamilioni ya Waustralia kuamka kesho Julai 1 kwa mishahara ya juu na kodi ya chini ya mapato 30.06.2026 13:47
Bei ya petroli imeshuka hadi viwango ambavyo havijaonekana tangu mwanzo wa 2022. Taasisi ya Petroli ya Australia inasema wastani wa kitaifa wa lita moja ya mafuta yasiyo na risasi ulishuka zaidi ya senti 6 wiki iliyopita - hadi chini kidogo ya dola 1.60.
Wajerumani na Waholanzi watupwa nje ya Kombe la Dunia 2026 30.06.2026 6:04
Siku ya 19 ya Kombe la Dunia la FIFA ilijumuisha mechi tatu za mchujo zenye ushindani mkali, huku Ujerumani na Uholanzi zikiondolewa baada ya mikwaju ya penati, wakati huo huo Brazil ilinyakua ushindi katika mechi yao muda mfupi kabla ya kipenga cha mwisho.
Australia Yafafanuliwa: Jinsi yakujiunga na soka jumuishi nchini Australia 30.06.2026 14:27
Sio kutia chumvi tunaposikia kwamba Kombe la Dunia la FIFA lina tarajiwa kuleta dunia pamoja katika mwezi wa Juni. Baada ya yote, mpira wa miguu unajulikana kama mchezo maarufu zaidi duniani.
Taarifa ya Habari: Mkuu wa jeshi azuia shughuli za Nation Media Group nchini Uganda 29.06.2026 4:20
Shirika kubwa zaidi huru la habari nchini Uganda Nation media group limearifu kuwa limewekwa chini ya ulinzi mkali wa kijeshi mapema Jumapili.
Baranga"nakaribisha wanaume wote katika kongamano maalum, tujadili maswala muhimu kwetu" 27.06.2026 7:28
Wanaume kutoka jumuiya za Afrika Mashariki wanao ishi jimboni New South Wales, wana jiandaa kwa kongamano maalum Jumamosi 27 Juni 2026.
Similar podcasts
Replaio is not a podcast publisher; show names, artwork and audio belong to their authors and are distributed through public RSS feeds.