Nukta Habari

Nukta the Podcast

News SW ↓ 81 episodes

Nukta Habari inakusogeza na mambo mtambuka yanayokuhusu ikiwemo burudani, mtindo maisha, safari, teknolojia na biashara.

Author

Nukta Habari

Category

News

Podcast website

nukta.co.tz

Latest episode

Jul 2, 2026

Where to listen?

Podcasts in the app Replaio Radio Coming soon

Podcasts are coming to the app soon. Install now and be the first to see a whole new take on podcasts

Get it on Google Play Install for free Android 5M+ downloads · 4.8 rating iOS soon

Episodes

AHUENI BEI YA MAFUTA KUSHUKA 02.07.2026

Huenda watumiaji wa vyombo vya moto nchini Tanzania wakashuhudia ahueni kiduchu mara baada ya bei ya petroli, dizeli na mafuta ya taa kwa mwezi Julai kushuka kulinganisha na ile iliyokuwa ikitumika mwezi Juni. Taarifa ya Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (Ewura) iliyotolewa usiku wa kuamkia leo Julai Mosi, 2026 inabainisha kuwa bei hizo zimepungua kutokana na kushuka kwa bei ya mafuta katika...

Wizara tano zilizoidhinishiwa fedha nyingi mwaka wa fedha 2026/27 30.06.2026

 Wakati Bunge la 13 likikaribia kufunga shughuli zake, wizara 27 pamoja na Serikali Kuu zimehitimisha mchakato wa kuwasilisha na kupitisha bajeti zao, hatua inayoweka msingi wa kuanza kwa mwaka mpya wa fedha 2026/27 Wizara hizo zilianza rasmi kuwasilisha bajeti zao Aprili 1, mwaka huu na kuhitimisha Juni 2, 2026, ikifuatiwa na Bajeti Kuu ya Serikali iliyoidhinishiwa Sh62.33 trilioni Juni 11,2026 k...

Part 1: Magari 10 yanayotumia mafuta kidogo 18.05.2026

Huenda una ndoto ya kumiliki gari kali lenye muonekano wa kifahari, injini kubwa na nguvu barabarani. Pamoja na ndoto hiyo kubwa ila huna uhakika iwapo utaendelea kuwa na kipato cha kulihudumia muda wote.  Wasiwasi wako juu kulihudumia gari ni dhahiri kutokana na kuendelea kupanda kwa bei ya mafuta ya petroli hususan miaka ya hivi karibuni.  Yafuatayo ni magari 10 yanayotumia kiwango kidogo cha ma...

JINSI MATAPELI WANAVYOPORA MAMILIONI YA WATANZANIA | EP 6 24.03.2026

Kila siku baadhi ya Watanzania hutuma fedha kwenda kwa wafanyabiashara wanaotangaza biashara kwenye mitandao ya kijamii kwa matumaini ya kuletewa bidhaa walizochagua. Hata hivyo, baadhi ya wauzaji hao ambao huweka picha zenye mvuto, punguzo kubwa la bei na wenye maelfu ya wafuasi, hupotea bila kuwasilisha hata bidhaa moja. Nyuma ya miamala hiyo kuna uchumi wa utapeli mtandaoni unaotumia ongezeko l...

JINSI MATAPELI WANAVYOPORA MAMILIONI YA WATANZANIA | EP 5 24.03.2026

Kila siku baadhi ya Watanzania hutuma fedha kwenda kwa wafanyabiashara wanaotangaza biashara kwenye mitandao ya kijamii kwa matumaini ya kuletewa bidhaa walizochagua. Hata hivyo, baadhi ya wauzaji hao ambao huweka picha zenye mvuto, punguzo kubwa la bei na wenye maelfu ya wafuasi, hupotea bila kuwasilisha hata bidhaa moja. Nyuma ya miamala hiyo kuna uchumi wa utapeli mtandaoni unaotumia ongezeko l...

JINSI MATAPELI WANAVYOPORA MAMILIONI YA WATANZANIA |EP 4 22.03.2026

Kila siku baadhi ya Watanzania hutuma fedha kwenda kwa wafanyabiashara wanaotangaza biashara kwenye mitandao ya kijamii kwa matumaini ya kuletewa bidhaa walizochagua. Hata hivyo, baadhi ya wauzaji hao ambao huweka picha zenye mvuto, punguzo kubwa la bei na wenye maelfu ya wafuasi, hupotea bila kuwasilisha hata bidhaa moja. Nyuma ya miamala hiyo kuna uchumi wa utapeli mtandaoni unaotumia ongezeko l...

JINSI MATAPELI WANAVYOPORA MAMILIONI YA WATANZANIA |EP 3 21.03.2026

Kila siku baadhi ya Watanzania hutuma fedha kwenda kwa wafanyabiashara wanaotangaza biashara kwenye mitandao ya kijamii kwa matumaini ya kuletewa bidhaa walizochagua. Hata hivyo, baadhi ya wauzaji hao ambao huweka picha zenye mvuto, punguzo kubwa la bei na wenye maelfu ya wafuasi, hupotea bila kuwasilisha hata bidhaa moja. Nyuma ya miamala hiyo kuna uchumi wa utapeli mtandaoni unaotumia ongezeko l...

JINSI MATAPELI WANAVYOPORA MAMILIONI YA WATANZANIA | EP 2 20.03.2026

SEHEMU YA 2| EPSODE 2. Kila siku baadhi ya Watanzania hutuma fedha kwenda kwa wafanyabiashara wanaotangaza biashara kwenye mitandao ya kijamii kwa matumaini ya kuletewa bidhaa walizochagua. Hata hivyo, baadhi ya wauzaji hao ambao huweka picha zenye mvuto, punguzo kubwa la bei na wenye maelfu ya wafuasi, hupotea bila kuwasilisha hata bidhaa moja. Nyuma ya miamala hiyo kuna uchumi wa utapeli mtandao...

JINSI MATAPELI WANAVYOPORA MAMIMILIONI YA WATANZANIA MTANDAONI | EP 1 11.03.2026

SEHEMU YA 1 | EPSODE 1. Kila siku baadhi ya Watanzania hutuma fedha kwenda kwa wafanyabiashara wanaotangaza biashara kwenye mitandao ya kijamii kwa matumaini ya kuletewa bidhaa walizochagua. Hata hivyo, baadhi ya wauzaji hao ambao huweka picha zenye mvuto, punguzo kubwa la bei na wenye maelfu ya wafuasi, hupotea bila kuwasilisha hata bidhaa moja. Nyuma ya miamala hiyo kuna uchumi wa utapeli mtanda...

AI: jinamizi lingine elimu ya juu Tanzania? 24.12.2025

Katika episode hii ya Nukta the Podcast, tunajadili kwa kina namna teknolojia ya akili bandia (Artificial Intelligence – AI) inavyozidi kutumika katika vyuo vikuu nchini Tanzania na mjadala unaoibuka kuhusu athari zake kwa elimu ya juu. Kupitia mahojiano na wahadhiri, wanafunzi, wataalamu wa saikolojia na teknolojia, mjadala huu unaangazia pande zote mbili za AI kama nyenzo ya kurahisisha ujifunza...

VITA YA MAJI ILIVYOLETA UMOJA KATI YA WAFUGAJI NA WAKULIMA MOROGORO 17.06.2025

Katika episode hii tutaangazia jinsi tatizo la maji Ilivyowaunganisha wakulima na wafugaji Kilosa. Hapa utasikia simulizi ya wafugaji na wakulima waliokuwa maadui kutokana na mgogoro wa maji walivyogeuka marafiki baada ya kumfahamu adui wao wa kweli. Kama nilivyoeleza katika episode ya kwanza mimi na producer wangu tulipata wasaa wa kuzunguka baadhi ya vijiji vya wilaya za Kilombero, Kilosa na Mor...

HATARI INAYOUKABILI MTO NGERENGERE 15.06.2025

Hujambo msikilizaji wa Nukta the Podcast, karibu katika mfululizo wa episode zetu maalumu zinazoangazia Usimamizi wa rasilimali maji pamoja na mazingira katika maeneo mbalimbali nchini Tanzania.  Katika sehemu hii tutamulika hatari inayoukabili Mto Ngerengere uliopo mkoani Morogoro kutokana na uchafuzi unaofanywa wa mto huo. Pia tutachambua hatua zilizochukuliwa na zinazotakiwa kuchukuliwa ili kuu...

Wafahamu watu 10 tajiri zaidi duniani 2025 24.03.2025

Ukuaji wa  teknolojia  umeendelea kuchochea ongezeko la utajiri duniani jambo ambalo limesababisha watu waliowekeza katika sekta hiyo kuendelea kujikusanyia ukwasi na kutawala orodha ya watu wenye ukwasi mwingi zaidi duniani. Orodha ya watu matajiri duniani ya mwaka 2025 inayotolewa na Jarida la  Forbes  la nchini Marekani inaonesha chanzo cha utajiri wa watu 10 matajiri zaidi ni uwekezaji katika...

VITA YA MAJI ILIVYOLETA AMANI NA MSHIKAMANO KATI YA WAFUGAJI NA WAKULIMA KILOSA 05.10.2024

Katika episode hii tutaangazia jinsi tatizo la maji Ilivyowaunganisha wakulima na wafugaji Kilosa. Hapa utasikia simulizi ya wafugaji na wakulima waliokuwa maadui kutokana na mgogoro wa maji walivyogeuka marafiki baada ya kumfahamu adui wao wa kweli. Karibu twende nami mpaka mwisho wa episode hii.

SCRAMBLE FOR WATER RESOURCES 30.09.2024

This is the part of the three episodes that we have produced after visiting several districts in Morogoro region, eastern Tanzania meeting with farmers, livestock keepers, environmentalists, factory owners and government officials.  In this first episode we will hear about how pastoralists fight for water resources in Eastern Tanzania due to the increase in demand of water amid ongoing decline of...

Restoration of Lake Manyara Tilapia remains an uphill duty 20.05.2024

Join Daniel Samson to explore in detail about endangered Manyara Tilapia in Lake Manyara. Stocks of Manyara tilapias have plummeted to alarmingly low levels in recent decades due to unsustainable fishing.  The International Union for Conservation of Nature (IUCN) Red List of Threatened Species Report 2006 shows that the area of occurrence of the fish, which previously accounted for 73.6% of the to...

From sunlight to harvest: How solar energy brings hopes to farmers in Iringa 17.03.2024

For decades, farmers in Lupembe Lwa Senga village in Iringa region had relied on the traditional farming system for their livelihoods. Apart from using hand hoes, animal plows, they would wait for the rain to irrigate their crops.   For small plots like gardens, they would use buckets or recently fuel-powered water pumps for irrigation.  “We started irrigation farming as a group in1999, by that ti...

UPUNGUFU WA WALIMU SHULE YA MSINGI UNAVYOATHIRI ELIMU TANZANIA 30.09.2023

Wakati watahiniwa zaidi ya milioni moja wa elimu ya msingi Tanzania Bara wakiwa wanasubiri hatma yao, baada ya kumaliza mitihani yao jana Septemba 14, 2023, utoshelevu wa walimu katika ngazi hiyo muhimu ya elimu kwa shule za Serikali umeendelea kuwa kitendawili Kitabu cha hali ya uchumi cha mwaka 2022, kinabainisha kuwa mpaka Disemba mwaka 2022 kulikuwa na jumla ya wanafunzi milioni 10.8 katika sh...

Elimu ya Veta inavyowainua walemavu wa akili Tanzania 15.09.2023

Awali, ilikuwa ni vigumu kushuhudia watu wanaozaliwa na ulemavu wakipata huduma muhimu wanazozihitaji kama elimu, afya, pamoja na kushirikiana na wanajamii wengine kuibua suluhu za matatizo yanayozikabili jamii zao. Hivi sasa zama hizo zimepita. Kutokana na hatua zilizochukuliwa na Serikali pamoja na wadau, ikiwemo kuielimisha jamii kutowabagua na kushirikiana na kundi hilo, kama binadamu wengine...

MFAHAMU MBUNIFU WA MAJIKO YANAYOTUMIA MAWE TANZANIA 08.09.2023

Nishati ya kupikia ni miongoni mwa mahitaji muhimu ya binadamu duniani kote, hiyo ndio huwezesha mapishi ya aina mbalimbali za vyakula tunavyokula ili kuimarisha afya na kuwezesha utendaji wa shughuli za kila siku. Watu wengi wanatambua gesi, mkaa, umeme, mafuta pamoja na kuni kama ndio vyanzo vya nishati ya kupikia kwa kuwa ndio ambavyo vinatumika kwa kiasi kikubwa kwa sasa huku jitihada nyingi z...

JINSI MATAPELI WANAVYOTUMIA TAASISI YA MO FOUNDATION KUIBIA WATU 01.09.2023

  Kama wewe ni mtumiaji wa mtandao wa  Facebook  huenda umewahi kukutana na chapisho linalohusu fursa ya mikopo kutoka kwenye taasisi ya mfanyabiashara bilionea nchini Tanzania Mohamed Dewji Foundation Sehemu ya chapisho hilo lianasomeka ‘𝐉𝐈𝐏𝐀𝐓𝐈𝐄 𝐌𝐊𝐎𝐏𝐎 𝐊𝐔𝐓𝐎𝐊𝐀 𝐌𝐎𝐇𝐀𝐌𝐄𝐃 𝐃𝐄𝐖𝐉𝐈 𝐅𝐎𝐔𝐍𝐃𝐀𝐓𝐈𝐎𝐍 kwa maelekezo ya kupata vigezo na masharti njoo hwatspp kwa no👉🏿 0748923136’. Chapisho hilo pamoja na kuhamasisha...

KWA NINI BANGI INALIMWA ZAIDI TANZANIA LICHA YA OPARESHENI KALI ZA DAWA ZA KULEVYA? 25.08.2023

Mapema Agosti mwaka huu Serikali ya Tanzania ilitangaza kukamata magunia 131 ya bangi, kilo 120 za mbegu za bangi na kuteketeza jumla ya hekari 489 za mashamba ya bangi mkoani Morogoro, katika moja ya operesheni kubwa za kutokomeza dawa za kulevya iliyowahi kufanyika nchini.  Katika operesheni hiyo Kamishna wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) Aretas Lyimo anasema wakulim...

Teknolojia ya vifuu vya nazi itakavyo waokoa wachimbaji na madhara ya zebaki 18.08.2023

Huenda wachimbaji wadogo wa madini Tanzania wakaepukana na athari za afya pamoja na uchafuzi wa mazingira ikiwa wataasili matumizi ya bidhaa mpya ya kusafishia madini (Activated carbon) inayozalishwa nchini. Bidhaa hiyo inayotengenezwa kwa kutumia vifuu vya nazi itachochea uzalishaji wa madini na kuongeza mchango wa sekta hiyo kwenye pato la taifa  kwa kuwa itapatikana kwa urahisi jambo litakaloon...

Hizi ndio hifadhi tano kubwa za Taifa, Tanzania 11.08.2023

Tanzania ni miongoni mwa mataifa ambayo yamebarikiwa vivutio vingi vya utalii ambavyo sio tu vinapendezesha nchi bali ni chanzo kizuri cha mapato hususani fedha za kigeni ambazo hutumika kwa shughuli za maendeleo. Tovuti ya runinga ya Tanzania Safari Channel  ambayo hutangaza vivutio vya utalii vilivyopo nchini, inabainisha kuwa Asilimia 40 ya ardhi ya Tanzania imetengwa kwa ajili ya uhifadhi. Hii...

MVUVI MPAMBANAJI NDANI YA ZIWA VICTORIA 21.03.2023

Ziwa Victoria ni moja ya maziwa makuu ya Afrika Mashariki. Ni ziwa ambalo lipo kwenye mstari wa ikweta na limezungukwa na nchi tatu zilizopo Afrika Mashariki yaani Tanzania, Kenya na Uganda. Ziwa hili ni chanzo cha Mto Nile wenye urefu wa kilomita 6,650 na urefu huo unaufanya kuwa mto mrefu zaidi duniani, Ziwa Victoria ndiyo ziwa kubwa zaidi barani Afrika na lina ukubwa wa kilomita za mraba 68,800...

Listen to the Nukta the Podcast podcast in Replaio

Radio and podcasts in one app - free, with no sign-up. Install today and do not miss the launch

Get it on Google Play

Replaio is not a podcast publisher; show names, artwork and audio belong to their authors and are distributed through public RSS feeds.