SBS

SBS Swahili - SBS Swahili

News SW ↓ 930 episodes

Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili

Author

SBS

Category

News

Podcast website

www.sbs.com.au

Latest episode

Jul 10, 2026

Where to listen?

Podcasts in the app Replaio Radio Coming soon

Podcasts are coming to the app soon. Install now and be the first to see a whole new take on podcasts

Get it on Google Play Install for free Android 5M+ downloads · 4.8 rating iOS soon

Episodes

Taarifa ya Habari 7 Novemba 2023 07.11.2023

Serikali ya Albanese inasema mahusiano na China, yako katika sehemu nzuri kuliko mwaka jana, wakati Waziri Mkuu Anthony Albanese ana endelea na ziara yake nchini humo.

Kupendwa nakuchukiwa kwa rangi na ukatili 07.11.2023

Melbourne Cup ni moja ya matukio ya michezo maarufu ya kila mwaka nchini Australia.

Ni wakati gani unapaswa fikiria kuomba mkopo wakibinafsi 03.11.2023

Wakati kuna ongezeko la hitaji lakusimamia vizuri gharama zetu za maisha, kuna ongezeko ya idadi ya watu wanao rejea katika mfumo wa mikopo binafsi.

Taarifa ya Habari 3 Novemba 2023 03.11.2023

Waziri Mkuu Anthony Albanese anajiandaa kusafiri kesho Jumamosi 4 Novemba, kuanza ziara ya siku nne nchini China, katika ziara ya kwanza yakidiplomasia ya kiongozi wa Australia katika taifa hilo la Asia tangu 2016.

Somalia yapita mtihani wao dhidi ya Jordan 02.11.2023

Timu 32 zinashiriki katika michuano ya kombe la dunia, inayo andaliwa na shirika la African Australia Football Association mjini Sydney, NSW.

Sudan Kusini yapiga hatua ya kwanza kutetea kombe lao 02.11.2023

Timu 32 zinashiriki katika michuano ya kombe la dunia, inayo andaliwa na shirika la African Australia Football Association mjini Sydney, NSW.

Taarifa ya Habari 31 Oktoba 2023 31.10.2023

Waziri Bill Shorten amesema taarifa ya pamoja iliyo tiwa saini na mawaziri wakuu sita wa zamani wa Australia, kuhusu vita vya Gaza, kimsingi ina mulika msimamo wa serikali ya shirikisho.

Ongezeko za kodi zawafungia baadhi yawapangaji nje ya soko la nyumba za upangaji 31.10.2023

Wapangaji kote nchini wana onywa kuhusu hali ngumu inayo kuja, wakati utoaji mdogo wa nyumba unaongeza hela za kodi.

Mercy 'Tumekuja huku kupata ujuzi kisha tuurudishe nyumbani Kenya" 31.10.2023

Wakenya wanaendelea kuwasili nchini Australia kwa viza mbali mbali, baadhi yao wakija kama wahamiaji na wengine kama wanafunzi wakimataifa.

Taarifa ya Habari 27 Oktoba 2023 27.10.2023

Vita vya Israel na Hamas vimezua vita vya maneno kati ya chama cha Greens na serikali ya Labor pamoja na chama cha upinzani.

Wakenya wafunguka kuhusu umuhimu wa siku ya Mashujaa 26.10.2023

Wakenya wanao ishi mjini Sydney, NSW walijumuika katika bustani ya Australia Botanic Garden kwa maadhimisho ya siku ya Mashujaa.

Taarifa ya Habari 24 Oktoba 2023 24.10.2023

Wa Australia ambao wamekwama mjini Gaza, wamesema wameshauriwa mara kwa mara waende katika kivukio cha mpaka wa Rafah na Misri, hata hivyo walipofika huko walipata mpaka huo umefungwa.

Penina aweka wazi umuhimu wakuzingatia afya yako ya akili 24.10.2023

Ugonjwa wa afya ya akili una endelea kuwa kero kwa watu na jumuiya nyingi kote duniani.

Peter afunguka kuhusu maandalizi ya sherehe ya Mashujaa Day Victoria 21.10.2023

Wakenya kote duniani wana jumuika katika hafla za siku yaku waenzi Mashujaa wao.

Taarifa ya Habari 20 Oktoba 2023 20.10.2023

Waziri Mkuu Anthony Albanese ametupilia mbali safari yakuenda Israel, kabla ya ziara ya mazungumzo ya pande mbili Marekani wiki ijayo Oktoba 23, wakati chama cha Labor cha Australia kina sisitiza hakija gawanyika kwa sababu ya mgogoro kati ya Israel na Hamas.

Blaise "Sijawahi ona uchaguzi ambao unaongozwa kwa taarifa za uongo kama huu wa Ndio au La" 20.10.2023

Kiwango cha ushindi wa kampeni ya 'La' katika kura ya maoni ya Sauti yawa Australia wakwanza Bungeni, kime zua gumzo kote nchini.

David afunguka kuhusu manufaa ya kuwa mwanachama wa Men's Cave Forum 20.10.2023

Wanaume wenye asili ya Kenya katika jimbo la Victoria, wali anzisha kundi kwa jina la Men's Cave Forum, ambalo hutumiwa kushughulikia maswala mbali mbali yanayo wakumba wanachama wake.

Taarifa ya Habari 17 Oktoba 2023 17.10.2023

Serikali ya shirikisho imesema inaendelea kufuatilia hali inayo endelea kudorora mjini Gaza, wakati Israel ina andaa kufanya mashambulizi ya nchi kavu baada ya hatua yakuzingira mji huo, ambayo mashirika ya msaada yamesema inachangia katika mgogoro wakibinadam.

Kura ya maoni ya Sauti yawa Australia wa kwanza bungeni ime isha kwa matokeo ya 'La' 17.10.2023

Wa Australia wame kataa pendekezo lakuweka sauti yawa Australia wa kwanza ndani ya katiba, baada ya kampeni ya La kushinda katika majimbo yote sita pamoja na wilaya ya Northern Territory.

Taarifa ya Habari 16 Oktoba 2023 16.10.2023

Wa Australia wengine 250 wame hamishwa kutoka Israel, wakati hali ya usalama nchini humo inaendelea kudorora.

Wanaume jimboni Victoria wapata sehemu salama yakujumuika nakuchangia uzoefu wao 13.10.2023

Ni nadra kupata kundi au shirika linalo wahudumia nakushughulikia maswala yanayo wakumba wanaumi katika jamuia.

Taarifa ya Habari 13 Oktoba 2023 13.10.2023

Jumuiya zawayahudi nawa palestina wa Australia, zaendelea kuhofia usalama wa jamaa wao ambao wame kwama katika vita.

Kupiga kura ya Voice: Kile ambacho unaweza na hauwezi fanya katika kituo chakupiga kura 13.10.2023

Maafisa wa uchaguzi nchini Australia wame toa taarifa ya kina kuhusu utaratibu utakao fuatwa, kwa kura ya maoni ya sauti yawa Australia wa kwanza bungeni itakayo fanywa Jumamosi.

Taarifa ya Habari 10 Oktoba 2023 10.10.2023

Maandamano yakupinga Israel yameshuhudiwa mjini Sydney wakati wa makabiliano kati ya jeshi la Israel na Hamas yakiendelea, wakati huo huo mjini Perth, kundi linalo unga mkono Israel limeshiriki katika ibada maalum kwa niaba ya nchi hiyo.

Kelvin Kiptum atikisa dunia 10.10.2023

Mwanariadha Kelvin Kiptum Cheruiyot amejitengea nafasi yake katika vitabu vya historia kwa kushinda mbio za marathon mjini Chicago kwa muda wa masaa 2:00:34.

Listen to the SBS Swahili - SBS Swahili podcast in Replaio

Radio and podcasts in one app - free, with no sign-up. Install today and do not miss the launch

Get it on Google Play

Replaio is not a podcast publisher; show names, artwork and audio belong to their authors and are distributed through public RSS feeds.