SBS

SBS Swahili - SBS Swahili

News SW ↓ 930 episodes

Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili

Author

SBS

Category

News

Podcast website

www.sbs.com.au

Latest episode

Jul 10, 2026

Where to listen?

Podcasts in the app Replaio Radio Coming soon

Podcasts are coming to the app soon. Install now and be the first to see a whole new take on podcasts

Get it on Google Play Install for free Android 5M+ downloads · 4.8 rating iOS soon

Episodes

Taarifa ya Habari 8 Disemba 2023 08.12.2023

Majimbo kadhaa yame wekwa katika tahadhari ya juu ya moto wa vichaka, mazingira ya joto kali yakitabiriwa wikendi hii.

Taarifa ya Habari 7 Disemba 2023 08.12.2023

Naibu kiongozi wa chama cha Liberal Sussan Ley ameomba serikali ya Albanese, iwaombe wa Australia msamaha wakati serikali ya Labor inazingatia kuwakamata tena watu ambao si raia walio achiwa hivi karibuni kutoka vizuizi vya uhamiaji, ambao huenda wakawa tisho kwa usalama wa jamii.

Makubaliano ya Uingereza na Rwanda kuhusu waomba hifadhi mashakani 08.12.2023

Waziri mkuu wa Uingereza Rishi Sunak amewataka wabunge wa chama chake cha Conservative siku ya Alhamisi kuunga mkono mpango wake wa kuwapeleka Rwanda waomba hifadhi.

George afunguka kwa nini alikimbia kutoka Adelaide hadi Melbourne 07.12.2023

George Chijarira ni mwanachama wa jumuiya ya watanzania wanao ishi Melbourne, Victoria.

Taarifa ya Habari 5 Disemba 2023 05.12.2023

Serikali ya shirikisho inatarajiwa kuwasilisha mageuzi ya muswada wiki hii, kwa ajili yaku kabiliana na utata ambao ume ibuka baada ya uamuzi wa mahakama kuu ambayo ili toa hukumu kuwa kifungo ndani ya vizuizi vya uhamiaji ni kinyume ya sheria.

Bw Ary "tunataka onesha utamaduni na mchango wetu katika jumuiya ya Australia" 05.12.2023

Wana jumuiya yawa Tanzania wanao ishi mjini Melbourne, Victoria wanajiandaa kushiriki katika sherehe kubwa ya uhuru wa taifa lao pendwa.

Taarifa ya Habari 4 Disemba 2023 05.12.2023

Kiongozi wa upinzani Peter Dutton amelaani anacho elezea kuwa ongezeko la mashambulizi dhidi ya wayahudi nchini Australia, tangu mwanzo wa mapigano mapya kati ya Israel na Hamas.

Hezron "watu wengi wamepata makaazi, ajira na huduma nyingi kupitia Kokwet" 05.12.2023

Viongozi wa jumuiya ya Kokwet wali wa andalia wanachama wao hafla maalum, ambako walichangia vyakula, walifanya maonesho ya mitindo nakumaliza sherehe kwa miziki ya asili yao.

Taarifa ya Habari 1 Disemba 2023 01.12.2023

Viongozi wakisiasa wame waomba wa Australia waungane na waoneshe huruma hapa nyumbani, wakati mivutano inaendelea kuongezeka kwa sababu ya hali inayo endelea katika ukanda wa mashariki ya kati.

Brian "nita ongeza juhudi kusaidia jumuiya yangu katika kila hali" 01.12.2023

Shirika la Kokwet lili andaa mashindano ya wanamitindo mjini Sydney siku chache zilizo pita.

Taarifa ya Habari 30 Novemba 2023 01.12.2023

Maafisa wa Australia wana endelea kuwasaidia watu 67 wanao taka ondoka Gaza ila, wanasema hali huko ni mbaya katika siku ya mwisho ya kusitishwa kwa muda kwa vita.

Australia ya Elezewa: Unawezaje tupa nguo ambazo hautaki nchini Australia? 01.12.2023

Je unajua wa Australia hutupa zaidi ya tani 200,000 ya nguo kila mwaka?

Taarifa ya Habari 28 Novemba 2023 28.11.2023

Upinzani wa shirikisho unaendelea kuikosoa serikali baada ya hukumu ya mahakama kuu, kuamuru kuwa kuweka watu ndani ya vizuizi vya uhamiaji kwa muda usiojulikana nchini Australia ni kinyume cha sheria.

Australia ya elezewa: Wazazi wanaweza msaidiaje mtoto kupona kiwewe? 28.11.2023

Ikiwa mtoto wako amepata kiwewe ng'ambo au nchini Australia, ikiwa ilifanyika hivi karibuni au katika siku za nyuma, pakiwa msaada unao faa, mtoto anaweza pona.

Taarifa ya Habari 27 Novemba 2023 27.11.2023

Mateka 17 wa Israel wame achiwa huru na wafungwa 39 waki Palestina nao pia wame achiwa huru katika siku ya tatu ya kusitishwa kwa vita kati ya Israel na Hamas.

Unahudhuria au ni mwenyeji wa sherehe yaki Australia? Haya ndiyo unahitaji jua 27.11.2023

Hakuna uhaba wa matukio yaku sherehekewa nchini Australia.

Tim "tuna endelea kutumia mbinu tofauti kuwafunza watoto wetu tamaduni zetu" 27.11.2023

Wanajumuia wa Mulembe wanao ishi mjini Melbourne, wali wakilishwa kwa fahari nakupokewa vyema katika tamasha ya African Music Festival 2023 mjini Melbourne, Victoria.

Taarifa ya Habari 24 Novemba 2023 24.11.2023

Waziri Mkuu amesisitiza kuwa serikali yake inafanya iwezavyo kupunguza mfumuko wa bei, na kiongozi wa benki kuu ana amini inaendelea kutokea ndani.

Somalia yatengeza historia katika fainali ya kombe la Afrika Kusini Australia 24.11.2023

Timu ya Somalia, imekuwa ikishiriki katika michuano ya kombe la Afrika la Kusini Australia bila mafanikio makubwa.

Yemba Fashion "nimezaliwa namapenzi yakuvaa vizuri, na tofauti na wengine" 23.11.2023

Wanaume wengi kutoka DR Congo wanajulikana kwa mavazi yao yanayo vutia.

Taarifa ya Habari 21 Novemba 2023 21.11.2023

Takwimu mpya zina dokeza kuwa vijana nchini Australia wana punguza matumizi yao zaidi kuliko vikundi vingine, na wanapunguza pia matumizi kwa vitu muhimu.

Melbourne yapata kionjo cha Mwomboko 18.11.2023

Wakaaji wa mji wa Melbourne wanatazamia kushuhudia maonesho yakitamaduni ya miziki kutoka bara la Afrika kuanzia Ijumaa 17 Novemba hadi Jumapili 20 Novemba 2023.

Taarifa ya Habari 17 Novemba 2023 17.11.2023

Waziri Mkuu Athony Albanese ashiriki katika mkutano wa APEC ambako mabadiliko ya hali ya hewa na nishati mbadala ni miongoni mwa mada za majadiliano.

Taarifa ya Habari 14 Novemba 2023 14.11.2023

Serikali ya shirikisho imesema inapanga kufanya mfumo wa ustawi wa Australia kuwa waki "utu" zaidi, baada ya ripoti mhimu ya tume yakifalme kwa mfumo wa Robodebt kutolewa.

Sera ya KRA yazua utata ndani na nje ya nchi 14.11.2023

Shirika la Kenya Revenue Authority (KRA), lime tawala gumzo miongoni mwa wakenya kote duniani baada yakutangazia umma mchakato mpya wa utoaji wa ushuru nchini humo.

Listen to the SBS Swahili - SBS Swahili podcast in Replaio

Radio and podcasts in one app - free, with no sign-up. Install today and do not miss the launch

Get it on Google Play

Replaio is not a podcast publisher; show names, artwork and audio belong to their authors and are distributed through public RSS feeds.