SBS

SBS Swahili - SBS Swahili

News SW ↓ 930 episodes

Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili

Author

SBS

Category

News

Podcast website

www.sbs.com.au

Latest episode

Jul 10, 2026

Where to listen?

Podcasts in the app Replaio Radio Coming soon

Podcasts are coming to the app soon. Install now and be the first to see a whole new take on podcasts

Get it on Google Play Install for free Android 5M+ downloads · 4.8 rating iOS soon

Episodes

Taarifa ya Habari 23 Januari 2024 23.01.2024

Kuna taarifa serikali ya shirikisho inazingatia uwezekano wakurekebisha mpango wake wa awamu ya tatu ya makato ya kodi, muswada huo utakapo wasilishwa mbele ya baraza la mawaziri hii leo.

How to become a First Nations advocate - Jinsi yakuwa Mtetezi wa waAustralia wa Kwanza 23.01.2024

First Nations advocates help amplify the voices of Indigenous communities in Australia. Here are some aspects to consider related to advocacy and “allyship” with First Nations communities. - Watetezi wa waAustralia wa Kwanza husaidia kupaza sauti za jumuiya zawa Australia wa kwanza. Hapa kuna baadhi ya vitu vya kuzingatia kuhusiana na utetezi na “ushirika” na jumuiya zawa Australia wa Kwanza.

Taarifa ya Habari 19 Januari 2024 19.01.2024

Waziri Mkuu Anthony Albanese amesema serikali ina ahidi kutimiza awamu ya tatu ya makato ya kodi, ambako wafanyakazi watapata makato ya kodi kwa mishahara yao binafsi kuanzia Julai 1.

Maandamano ya upizani DRC yatishia kuapishwa kwa Rais Tshisekedi 19.01.2024

Wawili kati ya wagombea wakuu wa upinzani kwenye uchaguzi wa Disemba mwaka jana nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, wameitisha maandamano Jumamosi wakati wa kuapishwa kwa Rais Felix Tshisekedi kuongoza muhala wa pili.

Wazazi wanaweza msaidiaje mtoto kupona kiwewe? 18.01.2024

Iwapo mtoto wako amepata kiwewe ng'ambo au nchini Australia, iwapo ilitokea hivi karibuni au katika siku za nyuma, pakiwa msaada unao faa, mtoto anaweza pona.

Taarifa ya Habari 16 Januari 2024 16.01.2024

Wakaaji wa Magharibi Australia wame hamasishwa wapitie upya mipango yao ya moto wa vichaka, nyumba mbili zikiwa zimepotezwa kwa mioto inayo kabili eneo la kaskazini mashariki ya mji wa Perth.

Mwongozo wako wakubaki salama nakupata baridi wakati wa majira ya joto ya Australia 16.01.2024

Msimu wa majira ya joto, hu ahidi anga iliyo wazi na hali ya hewa ya joto. Kwa watu wengi, ni geuzi linalo karibishwa baada ya kuvumilia miezi ya baridi.

Taarifa ya Habari 12 Januari 2024 12.01.2024

Shirika la Human Rights Watch, limesema Australia imefeli kuchukua hatua thabiti kwa ajili yaku shughulikia swala la haki za binadam nchini China.

Wanafunzi wakimataifa walengwa wakuu wa mageuzi ya uhamiaji nchini Australia 12.01.2024

Serikali ya shirikisho imewasilisha mageuzi kadhaa kwa viza za wanafunzi wakimataifa, kama sehemu ya mageuzi makubwa ya uhamiaji yaliyo tangazwa Jumatatu 11 Disemba 2023.

Kila kitu una stahili jua kuhusu Boxing Day nchini Australia 25.12.2023

Siku ya Boxing Day nchini Australia, ni mchanganyiko wakipekee wa umuhimu wa utamaduni na biashara.

Krismasi huwaje nchini Australia 23.12.2023

Kama huwa hau sherehekei Krismasi, unaweza shangaa kuona mtu anaye vaa mavazi ya Santa akitereza juu ya maji katika mwezi wa Disemba.

Taarifa ya Habari 22 Disemba 2023 22.12.2023

Msaada wa kifedha wa ziada una tumwa kwa watu walio athiriwa kwa marufiko, wakati juhudi kubwa ya usafi ina anza katika ukanda wa Kaskazini Queensland.

Kanda ya Kaskazini Queensland yaanza mchakato wakufanya usafi baada ya kukumbwa kwa mafuriko 22.12.2023

Kiwango cha uharibifu ambao ume achwa nyuma na Kimbunga Jasper, kimeanza onekana pole pole katika kanda ya Kaskazini ya Queensland, ambako wakulima wanasema wamepoteza mazao yenye thamani ya miezi kadhaa.

Germain "sita ishi Kinshasa niki shinda uchaguzi, nita ishi na walio nichagua" 19.12.2023

Wagombea wa nyadhifa mbali mbali katika uchaguzi mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo wame maliza kampeni zao, sasa wanasubiri hukumu ya wananchi.

Taarifa ya Habari 19 Disemba 2023 19.12.2023

Mvua kubwa na kali ambayo imegonga eneo la Kaskazini Queensland ina anza kupungua ukali ila, ofisi ya utabiri wa hewa imesema onyo za mafuriko bado zina endelea kutumika.

Mamba anaswa ndani ya maji ya mafuriko Kaskazini Queensland 19.12.2023

Mamlaka wame pata mamba wa maji ya chumvi mwenye urefu wa 2.5m, ndani ya mji wa Ingham ambao uko Kaskazini Queensland baada ya mto wa eneo hilo kufurika.

Taarifa ya Habari 18 Disemba 2023 18.12.2023

Baadhi ya wakaaji katika eneo la Kaskazini Queensland wamelazimika kupanda juu ya paa za nyumba zao, wakisubiri kuokolewa, wakati mvua nzito iliyo sababishwa na kimbunga chaki tropiki Jasper inasababisha mafuriko katika kanda hiyo.

Davi"tunataka badilisha muonekano kuwa lazima uwe mkonde,mwembamba na mrefu ili uwe mwanamitindo" 15.12.2023

Shirika la Maridadi Group, lime andaa tamasha maalum ambako wana mitindo wakike na wakiume watawania taji la Bi na Bw Kenya, Australia, 2023 mjini Melbourne, Victoria.

Mbinu tano zaku leta chakula chaki asili kwenye sahani yako ya sherehe 15.12.2023

Kuwasilisha chakula cha asili jikoni mwako kunaweza kuwa sawia moja kwa moja kama kubadilisha, viungo vyako vya kawaida kwa mbadala wa asili.

Taarifa ya Habari 15 Disemba 2023 15.12.2023

Bunge la Marekani lime idhinisha rasmi, mkataba muhimu wa AUKUS na Australia.

Mageuzi makubwa ya uhamiaji wa Australia yawalenga wanafunzi wakimataifa 12.12.2023

Serikali ya shirikisho imewasilisha mageuzi kadhaa viza za wanafunzi wakimataifa, kama sehemu ya mageuzi makubwa ya uhamiaji yaliyo tangazwa Jumatatu 11 Disemba.

Taarifa ya Habari 12 Disemba 2023 12.12.2023

Serikali ya Labor ina tetea mkakati wayo mpya wa uhamiaji, ikisema uta hakikisha raia wa Australia wanapewa kipaumbele kupata kazi.

Mwongozo wako wakubaki salama nakupata baridi wakati wa majira ya joto ya Australia 11.12.2023

Msimu wa majira ya joto, hu ahidi anga iliyo wazi na hali ya hewa ya joto. Kwa watu wengi, ni geuzi linalo karibishwa baada ya kuvumilia miezi ya baridi.

Taarifa ya Habari 11 Disemba 2023 11.12.2023

Waziri wa mambo ya ndani Clare O'Neil amesema, kupunguzwa kwa mapokezi ya wahamiaji kuta unda sehemu ya mkakati mpya wa uhamiaji wa serikali.

Gilbert afunguka kuhusu mchezo wa handball 08.12.2023

Watu wenye asili ya Afrika, wana julikana kwa umahiri wao waku cheza, soka, mchezo wavikapu, ndondi na riadha.

Listen to the SBS Swahili - SBS Swahili podcast in Replaio

Radio and podcasts in one app - free, with no sign-up. Install today and do not miss the launch

Get it on Google Play

Replaio is not a podcast publisher; show names, artwork and audio belong to their authors and are distributed through public RSS feeds.