SBS
SBS Swahili - SBS Swahili
Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili
Where to listen?
Podcasts in the app Replaio Radio Coming soonPodcasts are coming to the app soon. Install now and be the first to see a whole new take on podcasts
Episodes
Wanafunzi walengwa kuwa wasafirishaji wa pesa na wanakabiliwa na madhara makubwa 20.02.2024 9:03
Kuna onyo mpya kuhusu matangazo yakufanyia kazi nyumbani, ambayo yanaonekana kuvutia sana au yanayo ahidi maokoto makubwa kwa uwekezaji.
Taarifa ya Habari 19 Februari 2024 19.02.2024 6:50
Waziri wa mazingira Tanya Plibersek amemshtumu Peter Dutton kwa kuwasaidia wasafirishaji haramu wa watu kufanya matangazo, kwa kudai kuwa serikali ya shirikisho imeregeza hatua za usalama mpakani.
Taarifa ya Habari 16 Februari 2024 16.02.2024 17:32
Upinzani wa shirikisho una wasiwasi kuhusu hali ya uchumi wa Australia, kiwango cha ukosefu wa ajira kikiongezeka hadi 4.1%.
Kuwa salama katika jua bila kujali aina ya ngozi yako 16.02.2024 11:39
Miongozo ya usalama wa jua imesasishwa kwa mara ya kwanza kujumuisha ushauri kwa aina tofauti za ngozi.
What is Lunar New Year, and how is it celebrated in Australia? - Mwaka Mpya wa Lunar ni nini, na unasherehekewaje Australia? 14.02.2024 10:32
"Lunar New Year", also known as the "Spring Festival", has become a significant part of Australian culture. The celebration is so popular that Sydney's version is considered the largest outside Asia. - "Mwaka Mpya wa Lunar", unajulikana pia kama "Sherehe ya Mchipuko wa mimea", imekuwa sehemu muhimu ya tamaduni ya Australia. Sherehe hiyo imekuwa maarufu sana na sherehe za Sydney zina zingatiwa kama...
Taarifa ya Habari 13 Februari 2024 13.02.2024 18:56
Serikali ya shirikisho iko katika hatari yaku kosa kuungwa mkono kwa sera yake muhimu ya nyumba.
Vincent afunguka kuhusu sekta ya ucheshi Australia 13.02.2024 7:12
Idadi ya wacheshi wenye asili ya Afrika ina endelea kuongezeka nchini Australia.
Taarifa ya Habari 9 Februari 2024 09.02.2024 18:11
Uchambuzi mpya wa shirika la Regional Australia Institute umepata kuwa bei za nyumba katika maeneo ya kanda, zina fika viwango vya juu nakukaribia bei katika soko za miji.
Ni mbinu ipi bora ya kutokomeza ukeketaji 09.02.2024 11:38
Mashirika mbali mbali yana endelea kuongeza juhudi kutokomeza ukeketaji, pamoja nakutoa elimu kwa umma kuhusu jambo hilo.
Taarifa ya Habari 8 Februari 2024 09.02.2024 6:39
Waziri Mkuu wa Papua New Guinea James Marape, ame hotubia bunge la Australia.
Saada afunguka kuhusu umuhimu wakutokomeza ukeketaji 06.02.2024 10:00
Februari 6 ni siku ya kimataifa ya kutokomeza ukeketaji, mashirika na mamlaka mbali mbali huandaa hafla zakutoa elimu kwa umma kuhusu jambo hilo.
Taarifa ya Habari 6 Februari 2024 06.02.2024 21:08
Waziri Mkuu amekosoa upinzani kwa kufeli kuwa na msimamo kwa pendekezo lake la awamu ya tatu ya makato ya kodi, wakati vikao vya bunge la shirikisho vina anza tena.
Wanaume wakaribishwa kuchangia chakula na kutafuta suluhu za changamoto zao 03.02.2024 10:14
Ni nadra kupata kundi linalo shughulikia maswala ambayo huwakabili wanaume nchini Australia.
Taarifa ya Habari 2 Februari 2024 02.02.2024 18:54
Australia itatuma wajumbe New Zealand kujadili uwezekano wa ushirika wakijeshi katika muungano wa AUKUS.
Idadi yawa Australia wanao kosa kuwaona ma GP yaongezeka kwa sababu ya gharama kubwa za miadi 02.02.2024 6:15
Wakati mfumo wa huduma ya afya kwa wote ya Australia Medicare ina sherehekea miaka 40, data mpya imeonesha kuwa wagonjwa wana endelea kuepuka kuwaona madaktari kwa sababu ya gharama kubwa za miadi.
Taarifa ya Habari 1 Februari 2024 02.02.2024 6:42
Waziri mkuu ametupilia mbali pendekezo kuwa viwango vya juu vya makato ya kodi kwa wenye mapato ya chini, vita rejesha nyuma kupungua kwa viwango vya riba, nakusababisha hali ngumu kwa muda mrefu.
Jinsi yakuanza biashara yako ndogo Australia 02.02.2024 12:08
Kuanza biashara nchini Australia hutoa faida kadhaa.
Djay Daffy "ziara ya Australia imenipa fursa nyingi sana" 01.02.2024 8:46
Djay Daffy ni mmoja wa wasanii ambao wame teka nakutawala sekta ya burudani nchini Kenya.
Taarifa ya Habari 30 Januari 2024 30.01.2024 19:03
Wa Australia wame hakikishiwa hapatakuwa mageuzi yatakayo fanywa kwa faida ya kodi ya mwekezaji wa nyumba, hii ni baada ya mageuzi ambayo yalikuwa hayajatarajiwa kwa awamu ya tatu ya makato ya kodi.
Je madini ya coltan yata ifaidi au kuigharimu Kenya 30.01.2024 7:29
Madini ya Coltan yamegunduliwa katika kaunti sita nchini Kenya, uchimbaji wa madini hayo unatarajiwa kuanza hivi karibuni.
Taarifa ya Habari 29 Januari 2024 30.01.2024 5:59
New Zealand haija wafuata washirika wake kuzuia uwekezaji wa shirika la Umoja wa Mataifa linalo shutumiwa na Israel kwa kuhusika na mauaji ya Hamas ya 7 Oktoba 2023.
Jinsi yakuwa mtetezi wa waAustralia wa Kwanza 30.01.2024 8:05
Kuwa mshirika wa wa Australia wa Kwanza, kuna maana ya mtu anaye simama kidete na anaunga mkono maswala yenye umuhimu kwa jumuiya zawa Australia wa Kwanza.
Taarifa ya Habari 26 Januari 2024 26.01.2024 18:21
Maelfu ya watu wame jumuika katika sherehe nchini kote zaku adhimisha siku kuu ya Australia. Makundi ya watu wengi yalijumuika katika fukwe ya Bondi mjini Sydney kwa ibada ya alfajiri pamoja na sherehe ya moshi, wakati mjini Melbourne watu wali hudhuria ibada ya alfajiri ya siku ya uvamizi.
Halmashauri za jiji 81 zafuta sherehe za viapo vya uraia katika siku kuu ya Australia 26.01.2024 8:01
Takriban halmashauri za jiji 80 kote nchini Australia, zime amua kubadili tarehe ya sherehe za kila mwaka za viapo vya uraia kutoka Januari 26.
Djay Daffy aweka wazi sababu za kuacha chuo 24.01.2024 15:12
Sekta ya burudani nchini Kenya, ina endelea kushuhudia ujio wa vijana wenye vipaji vya kila aina.
Similar podcasts
Replaio is not a podcast publisher; show names, artwork and audio belong to their authors and are distributed through public RSS feeds.