SBS

SBS Swahili - SBS Swahili

News SW ↓ 930 episodes

Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili

Author

SBS

Category

News

Podcast website

www.sbs.com.au

Latest episode

Jul 10, 2026

Where to listen?

Podcasts in the app Replaio Radio Coming soon

Podcasts are coming to the app soon. Install now and be the first to see a whole new take on podcasts

Get it on Google Play Install for free Android 5M+ downloads · 4.8 rating iOS soon

Episodes

Rahab"Serikali imesikia nakuchukulia hatua kilio chetu kuhusu utapeli" 12.03.2024

Viongozi wa makampuni na biashara kutoka Kenya wame tua mjini Melbourne kushiriki katika kongamano la biashara.

Taarifa ya Habari 12 Machi 2024 12.03.2024

Serikali imesema imetupilia mbali kutumia ushuru kuwekeza mfumo wa malezi ya wazee, baada yakutolewa kwa ripoti ya nguvu kazi katika sekta hiyo.

Ramadan na Eid ni nini na husherehekewaje Australia 12.03.2024

Australia ni nchi yenye tamaduni nyingi na ina idadi kubwa yawa Islamu wengi.

Taarifa ya Habari 11 Machi 2024 11.03.2024

Polisi wamesema juhudi zakumtafuta mvulana wa miaka 12 katika eneo la magharibi Sydney, zimefika katika hatua muhimu wasiwasi kuhusu ustawi wake ukiendelea kuongezeka.

Kotnyin afunguka kuhusu siku ya kimataifa ya wanawake 08.03.2024

Serikali ya shirikisho imetoa ripoti yake ya pili ya mwaka kwa hali ya wanawake.

Taarifa ya Habari 8 Machi 2024 08.03.2024

Serikali ya shirikisho imetoa ripoti yake ya pili ya mwaka kwa hali ya Wanawake, ripoti hiyo inaonesha pengo la malipo ya jinsia iko katika kiwango cha chini kwa asilimia 12 ila tofauti zingine kubwa zimesalia.

Kukabiliana na habari potofu: jinsi yakutambua na kukabiliana na habari za uongo 08.03.2024

Katika zama ambapo habari husafiri kwa kasi ya mwanga, kutofautisha ukweli kwa uongo imekuwa changamoto kubwa.

Wanyika afunguka kuhusu maandalizi ya tamasha ya Angélique Kidjo katika Sydney Opera House 06.03.2024

Gwiji wa Muziki kutoka Benin Bi Angélique Kidjo ana tarajiwa kuwa na tamasha kubwa ndani ya Sydney Opera House usiku wa Jumatano 6 Machi 2024.

Taarifa ya Habari 5 Machi 2024 05.03.2024

Anthony Albanese anatarajiwa kuweka wazi sera mpya zakupiga jeki ushiriki wa biashara za Australia, katika ukanda wa Kusini mashariki Asia, kongamano la ASEAN linapo anza leo mjini Jumanne Machi 5 mjini Melbourne.

Wito watolewa katika wiki yakitaifa ya uelewa zaidi wa ugonjwa wa vifaa vyakusafirisha damu ndani ya moyo 05.03.2024

Wiki ya tarehe 26 Feb hadi 3 Machi, ni wiki yakutoa uelewa wa ugonjwa wa moyo na kifaa kinacho tumiwa kusafirisha hewa au damu moyoni.

Taarifa ya Habari 4 Machi 2024 04.03.2024

Waziri mkuu Anthony Albanese amesema uchaguzi mdogo wa Dunkley umethibitisha kuwa wa Australia hawa vutiwi na kampeni hasi.

Taarifa ya Habari 1 Machi 2024 01.03.2024

Shirika la ujasusi la Australia limetetea uamuzi wayo wakuto weka wazi jina la mwanasiasa wa zamani ambaye ame husishwa na kundi la ujasusi lakigeni.

Tanzania yaomboleza kifo cha Hayati Mwinyi 01.03.2024

Viongozi mbali mbali nchini Tanzania, wana endelea kutoma salamu za kwa jamaa na familia ya Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi, aliyefariki dunia Alhamisi wiki hii.

Taarifa ya Habari 27 Februari 2024 27.02.2024

Asilimia 90 au zaidi ya waajiri katika sekta za madini, umeme, maji, huduma za taka, fedha na bima, wana pengo la malipo linalo wapendelea wanaume.

Shakilah" lengo letu si kutenganisha familia, ila nikufanya ziwe imara" 27.02.2024

Shirika la Rotary Safe Families hutoa taarifa zaku saidia kuzuia unyanyasaji kupitia miongozo iliyo tafsiriwa pamoja na filamu.

Taarifa ya Habari 26 Februari 2024 26.02.2024

Vikwazo vyakifedha vya mtindo wa Magnitsky pamoja na marufuku yakusafiri, yametolewa dhidi ya maafisa saba wa gereza ambao serikali ya Australia ina amini, walishiriki katika unyanyasaji wa

Sergent "Kiptum's death is painful and still haunts us" 23.02.2024

The family of the late marathon world record holder Kelvin Kiptum and members of the Kenyan community have gathered in his rural village to give him his final send off.

Prof Chacha "Tunastahili ongeza juhudi kukutanisha Rwanda na DRC ili tupate suluhu ya amani" 23.02.2024

Maelfu ya raia wanao ishi katika mji wa Goma mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, wanahangaika kutokana na upungufu mkubwa wa chakula ndani ya maduka na masoko ya eneo hilo.

Sergent "Kiptum alikuwa mtu mpole na mcheshi sana" 23.02.2024

Habari za kifo cha mshindi wa rekodi ya dunia ya mbio za marathon za wanaume, Kelvin Kiptum katika ajali ya barabarani, zilitikisa dunia nzima siku chache zilizo pita.

Tresor "Lugha ya mama inatusaidia kuendeleza mila yetu" 23.02.2024

Shirika la Umoja wa Mataifa limekuwa liki adhimisha siku ya kimataifa ya lugha ya mama 21 Februari tangu 1999.

Taarifa ya Habari 23 Februari 2024 23.02.2024

Muda wastan unao hitajika kuokoa asilimia 20 ya hela zaku nunua nyumba ume pungua.

Immaculate "Tuki poteza lugha tuta poteza utamaduni wetu " 23.02.2024

Shirika la Umoja wa Mataifa limekuwa liki adhimisha siku ya kimataifa ya lugha ya mama 21 Februari tangu 1999.

Taarifa ya Habari 22 Februari 2024 22.02.2024

Uhaba wa ushindani sokoni waifanya serikali ya shirikisho izindue uchunguzi wa swala hilo.

Ushonaji wa jumuiya zawa Australia wa Kwanza una umuhimu gani kitamaduni 21.02.2024

Moja ya mifano ngumu zaidi na ya kisasa ya teknolojia ya Jumuiya zawa Australia wa kwanza na tamaduni, huonekana kupitia kushuka.

Taarifa ya Habari 20 Februari 2024 20.02.2024

Waziri Mkuu Anthony Albanese anamshtumu kiongozi wa upinzani wa shirikizo Peter Dutton, kwa kuwahamasisha wasafirishaji haramu wa watu.

Listen to the SBS Swahili - SBS Swahili podcast in Replaio

Radio and podcasts in one app - free, with no sign-up. Install today and do not miss the launch

Get it on Google Play

Replaio is not a podcast publisher; show names, artwork and audio belong to their authors and are distributed through public RSS feeds.