SBS

SBS Swahili - SBS Swahili

News SW ↓ 930 episodes

Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili

Author

SBS

Category

News

Podcast website

www.sbs.com.au

Latest episode

Jul 10, 2026

Where to listen?

Podcasts in the app Replaio Radio Coming soon

Podcasts are coming to the app soon. Install now and be the first to see a whole new take on podcasts

Get it on Google Play Install for free Android 5M+ downloads · 4.8 rating iOS soon

Episodes

Hoja ya mamlaka yatishia mazungumzo yaku unda serikali ya mseto ya Sudan Kusini 29.11.2024

Mazungumzo ya kuunda serikali ya mseto Sudan Kusini, yame kwama baada ya pande husika kuto afikiana kuhusu jinsi wata wagawa mamlaka.

Taarifa ya Habari 26 Novemba 2024 26.11.2024

Mchumi mmoja amesema mpango wa usawa wa pamoja waku saidia kununua nyumba wa serikali, hauta leta tofauti kubwa katika soko la nyumba la Australia.

Nini hutokea unapo itwa kuhudumu katika baraza la waamuzi 26.11.2024

Kila raia wa Australia ambaye yuko katika sajili ya kupiga kura, anaweza itwa kuhudumu katika baraza la waamuzi, hatua inayo julikana pia kama wajibu wa baraza la waamuzi.

Mh JP Mwirigi "nili ota nina soma muswada bungeni" 19.11.2024

Mh John Paul Mwirigi ana nafasi yakipekee katika vitabu vya kumbukumbu ya bunge la Kenya.

Taarifa ya Habari 19 Novemba 2024 19.11.2024

Ripoti kuhusu mshikamano wakijamii imepata, kuna mitazamo michache chanya, kwa dini kote jimboni katika makundi yote makubwa ya imani.

Elewa sheria za chanjo za watoto nchini Australia 19.11.2024

Kuhakikisha mtoto wako anachanjwa humlinda, na inafaida kwa kila mtu wa karibu yake, wataalam wamesema.

Taarifa ya Habari 15 Novemba 2024 15.11.2024

Australia ime unga mkono azimio la Umoja wa Mataifa, lakutambua mamlaka yakudumu ya watu wa Palestina kwa mara ya kwanza katika miongo mbili.

Jinsi yakupata akaunti ya benki inayo kufaa 15.11.2024

Kama una kazi, unapokea mafao ya serikali au unataka lipa bili zako kwa urahisi, utahitaji akaunti ya benki. Unaweza hitaji hata zaidi ya akaunti moja.

Barua ya marekebisho ya katiba yawasilishwa Bungeni DRC 15.11.2024

Bunge la DRC limepokea barua ya kukagua muda wa muhula wa rais na mageuzi ya mahakama ya Kongo.

Taarifa ya Habari 12 Novemba 2024 12.11.2024

Waziri Mkuu Anthony Albanese ametoa pongezi kwa mkongwe wa vita vya Vietnam Richard Norden, ambaye amepewa tuzo baada ya kufa ya ngazi ya juu zaidi ya jeshi la Australia ya Victoria Cross.

Dj Mozz "Nataka kipaji changu kinifikishe katika tamasha zakimataifa" 12.11.2024

Dj Mozz ni mmoja wa vijana, wenye jina kubwa katika sekta ya burudani nchini Australia.

Taarifa ya Habari 8 Novemba 2024 08.11.2024

Waziri Mkuu Anthony Albanese ame sisitiza umuhimu wakutetea demokrasia katika hotuba yake, kwenye kongamano la wabunge wa jumuiya yamadola.

Harris au Trump? wamarekani watoa hukumu yao 05.11.2024

Takwimu kutoka tume ya uchaguzi ya Marekani, zina onesha watu wengi zaidi wame piga kura mwaka huu 3wa 2024 kuliko katika chaguzi zingine katika historia ya nchi hiyo.

Taarifa ya Habari 5 Novemba 2024 05.11.2024

Wanaharakati wa Mataifa ya Kwanza wana muhamasisha Kiongozi wa Queensland David Crisafulli, abatilishe uamuzi wake wakufuta uchunguzi wakusema ukweli na uponyaji.

Matt "tunataka mifumo ya kupata huduma irahisishwe" 05.11.2024

Viongozi wa makundi mbalimbali yawa Kenya wanao ishi mjini Sydney, Australia wanajiandaa kukutana nawa bunge nama seneta kutoka Kenya.

Taarifa ya habari 4 Novemba 2024 04.11.2024

Chama cha Greens kina omba serikali ya shirikisho ilete mipango yake mbele yaku kata deni la wanafunzi kwa asilimia 20 kwa idadi yawa Australia milioni tatu, hatua ambayo itafuta zaidi ya deni ya wanafunzi yenye thamani ya dola bilioni 16.

Bw Prosper "uzoefu wetu wa ukimbizi hauja ondoa utu wetu" 03.11.2024

Australia ni nyumbani kwa ma milioni ya watu kutoka mazingira mbali mbali, walio wahi kuwa wakimbizi wakijumuishwa.

Taarifa ya Habari 1 Novemba 2024 01.11.2024

Serikali imethibitisha kuwa inashikilia mafao ya Medicare ambayo hayaja daiwa yenye thamani yama milioni ya dola, kwa sababu wagonjwa hawajatoa taarifa zao za benki ili wapokee hela hizo.

Jinsi yakujenga nyumba yako nchini Australia 01.11.2024

Kujenga nyumba Australia ni ndoto ya wengi ila, hatua muhimu zakufanikisha hili ni gani?

Taarifa ya Habari 29 Oktoba 2024 29.10.2024

Faini kwa watoa huduma wa NDIS wasio waaaminifu zita ongezeka kutoka $400,000 hadi zaidi ya $15 milioni, chini ya kanuni mpya zilizo zinduliwa na Bill Shorten jana Jumatatu 28 Oktoba 2024.

Ben & Chance "tangu tuanze kufanya kazi ya Mungu pamoja maisha yamezidi kuwa mazuri" 25.10.2024

Umaarufu wa wasanii wa injili Ben & Chance, una endelea kuongezeka kila uchao nchini Rwanda na kimataifa.

Prof Chacha"nchi za Afrika zinastahili tambua jumuiya yaki mataifa hai ongelei tena maswala yao" 25.10.2024

Nchi kadhaa barani Afrika zina endelea kukabiliana na vita vya wenyewe kwa wenyewe.

Taarifa ya Habari 25 Oktoba 2024 25.10.2024

Viongozi wa kanda ya Pasifiki wame ikosoa Australia katika mkutano wa viongozi wa jumuiya zama dola nchini Samoa, kwa kufeli kuchukua hatua ya ziada kwa mabadiliko ya hali ya hewa.

Michael" viongozi wetu wanaweza fanya kazi kwa kasi wakitaka" 23.10.2024

Siasa ya Kenya imetikiswa kwa kura ya kihistoria ndani ya Seneti iliyo sababisha Naibu Rais Rigathi Gachagua kubanduliwa mamlakani.

Athari za Utalii wa Mataifa ya Kwanza 23.10.2024

Je, unatafuta uzoefu wakusafiri nchini Australia wenye maana?

Listen to the SBS Swahili - SBS Swahili podcast in Replaio

Radio and podcasts in one app - free, with no sign-up. Install today and do not miss the launch

Get it on Google Play

Replaio is not a podcast publisher; show names, artwork and audio belong to their authors and are distributed through public RSS feeds.