SBS
SBS Swahili - SBS Swahili
Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili
Where to listen?
Podcasts in the app Replaio Radio Coming soonPodcasts are coming to the app soon. Install now and be the first to see a whole new take on podcasts
Episodes
Taarifa ya Habari 31 Disemba 2024 31.12.2024 20:31
Kikundi cha magari cha N-R-M-A kina omba tume ya ushindani na watumiaji ya Australia, ifanye uchunguzi wa haraka kwa madhara mabaya ya mizunguko ya bei bei ya petroli katika miji mikubwa ya Australia.
Levi "Wazazi wasi harakishe kuwatuma watoto ng'ambo kabla hawaja komaa" 31.12.2024 20:49
Wazazi wengi huwa na ndoto za kuwatuma watoto wao ng'ambo kufanya elimu ya juu.
Taarifa ya habari 27 Disemba 2024 27.12.2024 16:40
Mabadiliko mazuri ya hali ya hewa yame saidia juhudi za wazima moto wanao kabiliana na moto ambao haukuwa ukidhibitika katika maeneo ya Grampians jimboni Victoria, baada ya hali mbaya zaidi ya hali ya hewa kwa moto wa vichaka tangu tukio la Black Summer la 2019.
Jeshi la polisi la Kenya lakanusha kuhusika na utekaji wa wakosoaji wa serikali 27.12.2024 8:33
Jeshi la polisi Kenya limekanusha kuhusika na visa vya karibuni vya utekaji unaowalenga wakosoaji wa serikali. Watu 74 walitekwa tangu maandamano ya kuipinga serikali, huku 26 wakiwa bado hawajulikani waliko.
Understanding Indigenous knowledge of weather and seasons - Kuelewa maarifa ya hali ya hewa na misimu yawatu wa asili 27.12.2024 10:16
You’re probably familiar with the four seasons—Summer, Autumn, Winter, and Spring—but did you know that First Nations people have long recognised many more? Depending on the location, some Indigenous groups observe up to six distinct seasons each year. - Pengine unafahamu misimu minne- Majira ya joto, vuli, majira ya baridi na masika ila, unafahamu kuwa watu wa Mataifa ya Kwanza wame tambua misimu...
Taarifa ya Habari 26 Disemba 2024 27.12.2024 6:59
Mamlaka wa Urusi na Australia wachunguza ripoti kuwa, raia wa Australia amekamatwa akipigania Ukraine.
Taarifa ya Habari 24 Disemba 2024 24.12.2024 19:55
Waziri Mkuu Anthony Albanese ametupilia mbali tathmini ya upinzani kuwa amefeli kwa swala la uhamiaji, wakati ripoti za mihadarati kama heroin, methamphetamine na fentanyl kuingia katika vizuizi vya uhamiaji vya Australia.
Wangeci "nilikuwa mkali sana katika mawasiliano yetu ya kwanza" 24.12.2024 17:10
Je, unakumbuka ulipo mwona mpenzi wako mara ya kwanza? alikupokea ulivyo tarajia, au ilibidi uboreshe mstari yako kabla ujaribu tena?
Kuelewa maarifa ya wa Australia wa Kwanza kuhusu hali ya hewa na misimu 22.12.2024 11:59
Pengine unafahamu misimu minne- Majira ya joto, vuli, majira ya baridi na masika ila, unafahamu kuwa watu wa Mataifa ya Kwanza wame tambua misimu mingine mingi kwa muda mrefu?
Kauli ya mwanae Museveni yazua kero kwa majirani Sudan na DRC 20.12.2024 6:50
Serikali ya Sudan inaitaka Uganda iombe rasmi msamaha, kutokana na kile imekitaja kuwa ujumbe wa kuchukiza na hatari ulioandikwa na mkuu wa jeshi la Uganda Jenerali Muhoozi Kainerugaba, aliyetishia kuivamia Khartoum kijeshi.
Bw Chumba "tukishikana mikono itatupa urahisi kufanya vitu vikubwa pamoja" 20.12.2024 8:32
Viongozi wa Jumuiya yawa Kalenjin wanao ishi New South Wales wanajiandaa kuwasilisha vyeti vya usajili wa Jumuiya kwa wanachama wao jioni ya Ijumaa 20 Disemba 2024.
Taarifa ya Habari 20 Disemba 2024 20.12.2024 18:38
Eneo la kusini mashariki Queensland, lina jiandaa kukaribisha afueni ya hali ya hewa baada ya dhoruba kusababisha barabara kufungwa, umeme kupotea na mafuriko.
Mchungaji Mgogo "tunza ujana wako kwa ajili ya future yako" 20.12.2024 14:05
Mchungaji Daniel Mgogo ni maarufu sana katika mitandao yakijamii, kwa jinsi anavyo huburi.
Taarifa ya Habari 17 Disemba 2024 17.12.2024 20:29
Mawaziri wa kigeni na ulinzi wa Uingereza na Australia wamefanya mkutano wao wa kila mwaka ((AUKMIN)) mjini London ambako amekubali kuimarisha zaidi ushirikiano kwa ulinzi, biashara na sera yakigeni.
Mahakama yazima ndoto ya Edgar Lungu 13.12.2024 7:48
Mahakama ya katiba ya Zambia imesikiza ombi la Rais mstaafu wa Zambia, Edgar Chagwa Lungu lakupewa ruhusa yakuwania urais wa taifa hilo.
Taarifa ya Habari 13 Disemba 2024 13.12.2024 22:50
Serikali ya Albanese imetangaza mfumo mpya waku lazimisha mitandao yakidigitali yakufidia vyombo vya utangazaji vya Australia kwa matumizi ya habari zao.
Kuelewa uhusiano wa kina wa Mataifa ya Kwanza na ardhi 10.12.2024 8:35
Ardhi ina umuhimu mkubwa wa kiroho kwa wa Aboriginal na wanavisiwa wa Torres Strait, iliyo unganishwa kwa ustadi na utambulisho wao, kuwa sehemu na hali yao ya maisha.
Taarifa ya Habari 10 Disemba 2024 10.12.2024 16:55
Waziri wa Huduma za Serikali Bill Shorten ametangaza kuwa shirika la Services Australia, lime tekeleza karibu nusu ya mapendekezo yote kutoka Tume yakifalme kwa mfumo usio halali wa Robodebt.
Kiongozi wa Queensland atetea mabadiliko ya haki ya vijana yenye misimamo mikali 06.12.2024 6:38
Kiongozi wa Queensland na Mwanasheria Mkuu wame tetea mageuzi ya haki ya vijana yenye utata ya jimbo hilo, licha ya ukosoaji kutoka wadau na Umoja wa Mataifa.
Taarifa ya Habari 6 Disemba 2024 06.12.2024 21:50
Kura mpya ya maoni inadokeza kiongozi wa upinzani Peter Dutton, ana elekea kupata ushindi mkubwa katika uchaguzi mkuu ujao.
Australia yabadilisha msimamo wa miaka 20 kwa uvamizi wa Israel katika maeneo ya Palestine 06.12.2024 6:36
Australia imebadilisha msimamo wayo kwa azimio la Umoja wa Mataifa, linalo taka Israel isitishe kukalia kwa mabavu maeneo ya wapalestina.
Mh JP Mwirigi "ili nchi ipate heshima yake, kuna miundombinu lazima ijenge" 03.12.2024 13:23
Maamuzi ya utoaji wa kandarasi ya ukarabati ya baadhi ya miundombinu, yame iweka serikali ya Kenya chini ya shinikizo kubwa hivi karibuni.
Taarifa ya Habari 3 Disemba 2024 03.12.2024 19:28
Umoja wa Mataifa ume ongeza sauti yake kwa wimbi la ukosoaji dhidi ya sheria mpya za Queensland, shirika hilo limesema sheria hiyo inaonesha "kupuuza kwa wazi" kwa hazi za watoto.
Kuelewa jinsi maduka ya dawa yanavyo fanya kazi Australia 03.12.2024 16:27
Nchini Australia, wafamasia hutoa dawa zilizo agizwa nama daktari pamoja na ushauri wa huduma ya afya, kuelimisha jumuiya kuhusu matumizi salama ya dawa na kuzuia ugonjwa.
Taarifa ya Habari 29 Novemba 2024 29.11.2024 18:08
Waziri Mkuu amekataa kuweka wazi jinsi mamlaka yaku wafurusha watu katika nchi ya tatu yata tumiwa.
Similar podcasts
Replaio is not a podcast publisher; show names, artwork and audio belong to their authors and are distributed through public RSS feeds.