SBS

SBS Swahili - SBS Swahili

News SW ↓ 930 episodes

Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili

Author

SBS

Category

News

Podcast website

www.sbs.com.au

Latest episode

Jul 10, 2026

Where to listen?

Podcasts in the app Replaio Radio Coming soon

Podcasts are coming to the app soon. Install now and be the first to see a whole new take on podcasts

Get it on Google Play Install for free Android 5M+ downloads · 4.8 rating iOS soon

Episodes

Taarifa ya Habari 4 Februari 2025 04.02.2025

Wanasiasa wame ashiria kufunguliwa kwa Bunge la taifa kwa kuhudhuria ibada katika Kanisa laki Katoliki la Mtakatifu Christopher, mjini Canberra leo asubuhi Jummanne 4 Feb 2025.

Ongezeko ya gharama ya shule yalazimisha baadhi ya familia kufanya maamuzi magumu 04.02.2025

Mwaka wa shule wa 2025 uli anza Jummanne 28 Januari katika majimbo ya Queensland na Kusini Australia, wanafunzi wa shule za msingi na upili walirejea shuleni Jumatano 29 Januari katika jimbo la Victoria na Wilaya ya Kaskazini.

Taarifa ya Habari 3 Februari 2025 03.02.2025

Waziri wa Kigeni Penny Wong amesema vikwazo vipya vya kufadhili ugaidi kwa mtandoa wa kundi lawa neo-Nazi wa mtandaoni kwa jina la Terrorgram, ni sehemu ya hatua za serikali dhidi ya mashambulizi dhidi ya ubaguzi wa wayahudi pamoja na uhalifu wa chuki.

Bw Omari "watu wana anza sema wakati wa Kabila ulikuwa afadhali kuliko sasa" 03.02.2025

Hali ya usalama inavyo zidi kudorora katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), ndivyo serikali ya Rais Tshisekedi inavyo zidi kuwa chini ya shinikizo kubwa.

Taarifa ya Habari 31 Januari 2025 31.01.2025

Serikali ya shirikisho na Victoria zime tia saini mkataba wa uwekezaji wenye thamani ya dola bilioni $2.5 kwa elimu, ambayo serikali hizo zime sema uwekezaji huo utawasaidia wanafunzi, wafanyakazi pamoja na familia.

Rais Tshisekedi awarai vijana wajiunge na jeshi kupambana na M23 31.01.2025

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo Felix Tshisekedi, amewarai vijana kujiunga kwa wingi na jeshi la taifa kusaidia kupambana na waasi wa M23 wanaojaribu kukamata maeneo makubwa zaidi mashariki mwa nchi hiyo.

Jaguar "Tunaomba nchi jirani zisaidie kutafuta amani na usalama DRC" 28.01.2025

Milipuko ya mizinga imeitikisa Goma Jumatatu, saa chache baada ya wanajeshi wa Rwanda na wapiganaji kundi la waasi la M23 kuingia mjini humo.

Taarifa ya Habari 28 Januari 2025 28.01.2025

Mweka hazina wa Shirikisho Jim Chalmers ana amini kuwa takwimu za mfumuko wa bei zitakazo tolewa kesho jumatano, zinaweza wapa wa Australia afueni ya gharama ya maisha wanayo hitaji sana.

Shinikizo ya gharama yamaisha yafanya wanafunzi wasajiliwe katika shule za umma 28.01.2025

Mwaka wa shule wa 2025 ume anza hii leo Jummanne 28 Januari katika majimbo ya Queensland na Kusini Australia, wanafunzi wa shule za msingi na upili wanatarajia kurejea shuleni kesho Jumatano 29 Januari katika jimbo la Victoria na Wilaya ya Kaskazini.

Tundu Lissu ashinda uchaguzi wa uongozi wa CHADEMA 24.01.2025

Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, Chadema kimetua kiongozi wake mpya kuelekea uchaguzi Mkuu wa urais wa mwezi Oktoba.

Taarifa ya Habari 24 Januari 2025 24.01.2025

Mweka hazina Jim Chalmers amesema makato ya ushuru ya serikali yame leta utofauti kwa walipa ushuru, wakati matokeo ya kura ya maoni yanaonesha ongezeko la hali yaku kata tamaa kuhusu afueni ya gharama ya maisha.

What does January 26 mean to Indigenous Australians? - Januari 26 ina maana gani kwa wa Australia wa Asili? 23.01.2025

In Australia, January 26 is the national day, but the date is contentious. Many migrants who are new to Australia want to celebrate their new home, but it’s important to understand the full story behind the day. - Nchini Australia, Januari 26 ni siku kuu ya taifa, ila tarehe hiyo ina utata. Wahamiaji wengi ambao ni wageni Australia, hutaka kusherehekea nchi yao mpya ila, ni muhimu kuelewa hadithi...

Taarifa ya Habari 21 Januari 2025 21.01.2025

Waziri wakigeni Penny Wong amesema Australia ina kesi imara, yakuto jumuishwa katika pendekezo la Rais wa Marekani Donald Trump kutoza ushuru.

Rwanda yatangaza imepata mafuta katika ziwa Kivu 21.01.2025

Rwanda imesema Jumatano kuwa imefanya ugunduzi wa mafuta katika Ziwa Kivu, ikiwa ni kwa mara ya kwanza katika nchi isiyo na bahari katika eneo la Maziwa Makuu, kulingana na vyombo vya habari vya ndani.

Taarifa ya Habari 17 Januari 2025 17.01.2025

Kupandishwa cheo kwa wanasiasa wanne wa kike ndani ya baraza la mawaziri wa waziri mkuu, kume fufua mjadala kuhusu uwakilishi wa wanawake ndani ya upinzani wa mseto.

Ongezeko ya karo ya shule yafanya familia zi hisi shinikizo 17.01.2025

Kuna salia wiki chache kwa mwaka wa shule wa 2025 kuanza, janga la gharama ya maisha lina endelea kuweka shinikizo kwa familia zinazo lipa karo ya shule.

Bensoul "kuwa mwandishi wa nyimbo iliyo shinda grammy imenifungulia milango mingi" 15.01.2025

Nyota ya Bensoul katika sanaa ina zidi kung'aa kila kukicha.

Taarifa ya Habari 14 Januari 2025 14.01.2025

Waziri Mkuu Anthony Albanese amefanya mkutano wake wa kwanza wa 2025 na baraza lake la mawaziri.

Lissu "hatuwezi tegemea kipya kutoka kiongozi ambaye ameongoza kwa miaka 21" 10.01.2025

Mgombea wa wadhifa wa uongozi wa chama kikuu cha upinzani CHADEMA nchini Tanzania, amefunguka kuhusu sababu zake zaku wania wadhifa huo.

Taarifa ya Habari 10 Januari 2025 10.01.2025

Uchaguzi mkuu ujao wa shirikisho una chukua mkondo wakuwa shindano la gharama ya maisha ila, hakuna chama kikubwa ambacho kime toa ahadi kubwa za matumizi kwa ajili yakuwavutia wapiga kura.

Wakenya wafunguka kuhusu visa vya utekaji nyara 09.01.2025

Vyombo vya usalama nchini Kenya vina endelea kushtumiwa kwa visa vya utekaji nyara.

Taarifa ya Habari 7 Januari 2025 07.01.2025

Wakaaji wa Queensland wame hamasishwa wachukue chanjo zinazo tolewa bure, jimbo hilo likitabiri msimu mubaya wa mafua uko njiani.

Mwongozo rahisi waku kusaidia kufurahia msimu wa Cricket nchini Australia 07.01.2025

Cricket ni mchezo maarufu sana Australia na, kwa muda mrefu mchezo huo umekuwa sehemu ya utamaduni wa Australia haswa wakati wa miezi ya majira ya joto.

Taarifa ya Habari 3 Januari 2025 03.01.2025

Kufanya mfumo wa afya upatikane kwa bei nafuu itakuwa sehemu kubwa ya kampeni ya uchaguzi mkuu ya chama cha Labor, waziri wa afya washirikisho aki ahidi kuimarisha Medicare miongoni mwa hatua zingine kabla ya mwanzo wa kampeni.

Je uchaguzi wa uongozi uta sababisha mpasuko ndani ya CHADEMA 03.01.2025

Wanachama wa chama kikuu cha upinzani CHADEMA, wanasalia na takriban wiki mbili kuingia debeni kumchagua kiongozi mpya.

Listen to the SBS Swahili - SBS Swahili podcast in Replaio

Radio and podcasts in one app - free, with no sign-up. Install today and do not miss the launch

Get it on Google Play

Replaio is not a podcast publisher; show names, artwork and audio belong to their authors and are distributed through public RSS feeds.