SBS

SBS Swahili - SBS Swahili

News SW ↓ 930 episodes

Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili

Author

SBS

Category

News

Podcast website

www.sbs.com.au

Latest episode

Jul 10, 2026

Where to listen?

Podcasts in the app Replaio Radio Coming soon

Podcasts are coming to the app soon. Install now and be the first to see a whole new take on podcasts

Get it on Google Play Install for free Android 5M+ downloads · 4.8 rating iOS soon

Episodes

Jinsi AI ilivyo athiri chaguzi kubwa duniani 04.03.2025

Tuna jiandaa kwa uchaguzi wa shirikisho. Hivi karibuni, wa Australia wata elekea katika vituo vya kupiga kura kuwachagua viongozi wetu wapya.

Taarifa ya Habari 3 Machi 2025 03.03.2025

Data ina onesha kuwa soko la nyumba nchini Australia lime ibuka kutoka miezi mitatu ya kudorora, baada ya kupunguzwa kwa kiwango cha riba cha kwanza katika zaidi ya miaka minne hali iliyo inua hisia za wanunuaji.

The AI Election: How artificial intelligence impacted the world's biggest ballots - Uchaguzi wa AI: Jinsi akili bandia ilivyo athiri chaguzi kubwa duniani 28.02.2025

From "Communist Kamala" to Bollywood endorsements, artificial intelligence and disinformation played a big role in some of the biggest democratic elections last year. - Kutoka "Kamala mkomunisti" hadi kwa uidhinishwaji wa Bollywood, akili bandia na taarifa potofu zilikuwa na nafasi kubwa katika chaguzi kubwa zaki demokrasia mwaka jana.

Taarifa ya Habari 28 Februari 2025 28.02.2025

Wanasiasa wakuu wa Australia wamesema hatma ya mkataba wenye thamana yama bilioni ya dola na Marekani ume hakikishwa, baada ya Rais Donald Trump kuonekana nikama amesahau jina la mkataba huo wa nchi tatu zinazo jumuisha Uingereza.

Wangeci "katika hii nchi wanathamini sana watu wenye ujuzi wa kazi za mikono" 28.02.2025

Wangeci Kones alikuja Australia akiwa na matumaini yakutumia shahada yake ya masoko, katika kazi sawia na alivyo kuwa akifanya nchini Kenya.

Taarifa ya Habari 28 Februari 2025 27.02.2025

Kiongozi wa upinzani ame mkosoa waziri mkuu kwa kufeli kuwa wazi kuhusu wakati jeshi la ulinzi lili pewa taarifa kuhusu mazoezi ya China katika Bahari la Tasman.

Jinsi yakupata shughuli za baada ya shule za bei nafuu na jumuishi 25.02.2025

Shughuli za baada ya shule huwapa watoto na vijana faida nyingi, kuanzia kujifunza ujuzi mpya hadi jinsi yakupata marafiki wapya. Wakati kuna chaguzi nyingi nchini ya vitu vyakufanya nchini Australia, shughuli hizo zina weza kuwa ghali.

Taarifa ya Habari 25 Februari 2025 25.02.2025

Waziri Mkuu amesema serikali ya shirikisho inapitia bajeti "mstari kwa mstari" kupata jinsi yakuwekeza ahadi yake ya Medicare.

Anthony Albanese azindua jeki ya kihistoria ya thamani ya $8.5 bilioni ya matibabu bila malipo 25.02.2025

Waziri Mkuu Anthony Albanese, Jumapili mchana alizindua ahadi yaki historia kwa Medicare, kama lengo la kampeni ya uchaguzi mkuu wa shirikisho wa 2025 wa chama cha Labor.

Taarifa ya Habari 24 Februari 2025 24.02.2025

Chama cha Matibabu cha Australia (A-M-A) kimesema ni vigumu kujua kama jeki ya uwekezaji wa $8.5 bilioni ya serikali ya Labor, kwa huduma za matibabu bila malipo zita wafikia wanao ihitaji zaidi.

Hezron "Tuwe na mazoea ya kujuliana hali" 24.02.2025

Mwenyekiti wa Jumuiya yawa Kalenjin wanao ishi mjini Sydney, New South Wales Bw Hezron Baranga, ali andaa mkutano maalum wa wanaume wa jumuiya yake kwa lengo lakujuliana hali nakupanga malengo ya mwaka.

Taarifa ya Habari 20 Februari 2025 20.02.2025

Mkuu wa shirika la usalama wa ndani nchini Australia ana onya, kuna ongezeko la wimbi la watoto wanao lengwa kutumia maudhui ya itikadi kali mtandaoni, na ame ongezea kuwa makampuni makubwa ya mtandao wakijamii yana nafasi kubwa yaku zuia shughuli hizo, kwa kutumia vifaa vinavyo wezesha bidhaa zao.

Jinsi ya kukabiliana na unyanyasaji shuleni au mtandaoni 19.02.2025

Kutoa mazingira salama na jumuishi ni dhamira ya msingi ya kila jumuiya ya shule ya Australia. Ila wazazi wanastahili fanya nini mtoto wao anapo nyanyaswa shuleni?

Taarifa ya Habari 18 Februari 2025 18.02.2025

Onyo limetolewa kuhusu matokeo ya kura ambayo matokeo hayo ya karibu huenda yasi mulike kura zawa Australia.

Uchomaji wakitamaduni: kutumia moto kulinda dhidi ya moto na kufufua Nchi 18.02.2025

Kuishi katika mazingira yenye moto kama Australia, wengi wetu hupata ugumu waku ona moto kama kitu kingine zaidi yakuwa tisho.

Taarifa ya Habari 17 Februari 2025 17.02.2025

Kiongozi wa upinzani wa shirikisho Peter Dutton amesema yuko tayari kufanya mazungumzo na wabunge huru, kama vyama viwili vikubwa nchini havita weza unda serikali ya wengi.

Taarifa ya Habari 13 Februari 2025 13.02.2025

Waziri wa Afya wa jimbo la New South Wales, ameomba msamaha jumuiya ya wayahudi baada ya video inayo zungushwa mtandaoni, kuwaonesha wauguzi wawili waliokuwa wakitoa vitisho kwa wagonjwa wenye asili ya Israel.

Dkt Damacent afunguka kuhusu umuhimu wakuwafanya vipimo vya tezi dume 12.02.2025

Wanaume mara nyingi hujipata katika hali tata kiafya kwa sababu ya kuchelewa kuchukua hatua zinazo faa kupata huduma.

Taarifa ya Habari 11 Februari 2025 11.02.2025

Kundi maarufu la madaktari limezindua mpango mpya kabla ya uchaguzi mkuu, kundi hilo limesema lita hakikisha upatikanaji kwa huduma yama GP kwa bei nafuu kwa kila mtu nchini Australia.

Jinsi ya kuandaa ombi la kazi 11.02.2025

Unapo ona tangazo la kazi linalo kuvutia, kuelewa hatua zinazo fuata ni muhimu.

Taarifa ya Habari 10 Februari 2025 10.02.2025

Hesabu zina endelea katika chaguzi dogo katika eneo bunge la Werribee ambalo liliwahi kuwa ngome ya chama cha Labor katika vitongoji vya magharibi ya mji wa Melbourne.

Nanga "Tutaweka polisi wa taifa, utawala, na mfumo wa haki” 10.02.2025

Waasi wa M23 wametangaza nia yao ya “kuikomboa Kongo yote” wakati wa mkutano wa hadhara mjini Goma.

Taarifa ya Habari 7 Februari 2025 07.02.2025

Serikali ya Wilaya ya Kaskazini ime fikia makubaliano ya thamani yama milioni ya dola na mashirika yawa Australia wa kwanza, kutoa huduma kwa maeneo ya vijijini.

Jinsi ya kupata Malipo ya Likizo ya Wazazi nchini Australia 07.02.2025

Nchini Australia, baadhi ya wazazi wanaweza pokea malipo ya likizo ya wazazi kutoka serikali na waajiri wao. Ila si kila mtu ana stahiki.

Taarifa ya Habari 6 Februari 2025 06.02.2025

Nchi zaki Arabu, Umoja wa Mataifa na washirika wakaribu wa Marekani wamekosoa pendekezo la Donald Trump kuchukua ukanda wa Gaza, naku tawanya wa Palestina kuwa hatua hiyo ita yumbisha kanda hiyo na kudhoufisha juhudi zakupata suluhu ya nchi mbili.

Listen to the SBS Swahili - SBS Swahili podcast in Replaio

Radio and podcasts in one app - free, with no sign-up. Install today and do not miss the launch

Get it on Google Play

Replaio is not a podcast publisher; show names, artwork and audio belong to their authors and are distributed through public RSS feeds.