SBS
SBS Swahili - SBS Swahili
Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili
Where to listen?
Podcasts in the app Replaio Radio Coming soonPodcasts are coming to the app soon. Install now and be the first to see a whole new take on podcasts
Episodes
SBS Learn Eng pod Ep 6 Liking disliking Australian desserts 26.03.2025 12:29
Je, unajua namna yakusema unapenda au haupendi kitu katika Kiingereza?
Taarifa ya Habari 25 Machi 2025 25.03.2025 18:16
Naibu Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa Ulinzi Richard Marles, amesema kutakuwa uwekezaji wa ziada katika idara ya Ulinzi wa dola bilioni 1 katika bajeti itakayo tangazwa usiku wa leo Jumanne Machi 25.
Bajeti ya 2025: Je, tume andaliwa nini? 25.03.2025 7:24
Bajeti ya shirikisho inatarajiwa kurejesha nakisi. Haswa uchaguzi mkuu unapo karibia, bajeti hiyo ime mulika nafasi ngumu kuendelea mbele kwa wanao ongoza nchi.
Taarifa ya Habari 24 Machi 2025 24.03.2025 6:40
Serikali ya Labor na Upinzani wana sifu sera zao za Uchumi, kabla ya kutangazwa kwa bajeti ya shirikisho kesho Jumanne 25 Machi.
Mark "karibuni Kusini Australia tusherehekee utamaduni wetu" 22.03.2025 7:51
Wa Kenya wanao ishi Australia, wana elekea mjini Adelaide, Kusini Australia kuhudhuria tamasha ya kila mwaka inayo andaliwa na jumuiya ya Kitwek jimboni humo.
Taarifa ya Habari 21 Machi 2025 21.03.2025 23:11
Onyo kuu la marufiko limetolewa kwa jumuiya za Kaskazini Queensland, karibu ya Lower Herbert River. Kiwango cha maji kimepita kiwango cha mafuriko cha mita 5.5 asubui ya Alhamisi 20 Machi.
Islamophobia in everyday life - Kunyanyaswa kwa wa Islamu katika maisha ya kila siku 18.03.2025 9:41
Against the backdrop of the Israel-Hamas war, incidents of Islamophobia in Australia have surged – whether verbal, physical or online. What's the lasting impact on victims, and what can be done? - Kufuatia vita vya Israel-Hamas, matukio yawa Islamu kunyanyaswa yame ongezeka nchini Australia, iwe kwa maneno, kimwili au mtandaoni. Athari ya kudumu kwa wa athiriwa ni gani, na nini kinaweza fanywa?
Taarifa ya Habari 18 Machi 2025 18.03.2025 19:34
Shinikizo lakisiasa lina ongezeka kwa chama cha Labor kiache makubaliano ya AUKUS, ambayo kupitia makubaliano hayo Australia inafaa pata manowari ya nyuklia.
Utofauti wa Lugha za Mataifa ya Kwanza 18.03.2025 12:00
Mtu yeyote mgeni nchini Australia anaweza fahamu umuhimu waku weka hai lugha yako ya mama. Lugha ni muhimu kwa utamaduni wako na lugha za asili za Australia si tofauti, kuwaunga watu na ardhi pamoja na maarifa ya mababu.
Taarifa ya Habari 17 Machi 2025 18.03.2025 6:16
Waziri Mkuu na kiongozi wa zamani wa chama cha Liberals Malcolm Turnbull, amesema hadhani Australia inastahili endelea mbele na ushirikiano wa AUKUS, ametoa maoni hayo wakati wasiwasi una ongezeka iwapo mkataba huo uta tekelezwa chini ya muhula wa pili wa uongozi wa Trump.
Matt Gitau "wakati wakuongoza kulingana na katiba na matumaini yawa Kenya umefika" 14.03.2025 12:43
Wakenya wana endelea kukabiliana na uongozi mpya wa mseto kati ya serikali ya Kenya Kwanza na chama kikuu cha upinzani cha Orange Democratic Movement (ODM).
Taarifa ya Habari 14 Machi 2025 14.03.2025 18:27
Wauguzi na wakunga wanaomba mageuzi ya udhibiti yatakayo waruhusu kuagiza vipimo vya uchunguzi, kutoa rufaa kwa watalaam na kuagiza dawa fulani. Ni hatua mashirika ya kilele yamesema itapunguza muda wakusubiri nakupiga jeki matokeo ya huduma ya afya.
Want to help shape Australia’s future? Here’s how to enrol to vote - Unataka saidia kuunda mustakabali wa Australia? Hivi ndivyo unaweza jiandikisha kupiga kura 14.03.2025 6:55
With another federal election due this year, there are steps you will need to take before casting your vote for the first time. Plenty of resources are available to help you enrol to vote and have your say in shaping our nation. - Uchaguzi mwingine wa shirikisho ukitarajiwa mwaka huu, kuna hatua utahitaji chukua kabla yakupiga kura yako kwa mara ya kwanza. Kuna rasilimali nyingi zaku kusaidia kuji...
Taarifa ya Habari 13 Machi 2025 13.03.2025 5:47
Ripoti mpya ya Chuo cha Monash imeonesha matukio ya unyanyasaji dhidi yawa Islamu wa Australia, yali ongezeka zaidi ya mara mbili kati ya Januari 2023 na Novemba 2024.
Matt Gitau "Jumamosi itakuwa fursa nzuri yakutafuta majibu ya changamoto zinazo tukumba" 13.03.2025 11:34
Jumuiya ya wakenya wanao ishi mjini Sydney, New South Wales imekabiliana na taarifa baada ya nyingine yaku sikitisha katika siku za hivi karibuni.
Taarifa ya habari 11 Machi 2025 11.03.2025 17:54
Mamlaka jimboni New South Wales wamesema jibu baada ya kimbunga Alfred lime hamia rasmi katika mwelekeo wa uokoaji. Hakuna onyo za dharura ambazo zimetolewa kwa kuhama.
Uchaguzi wa AI: Je akili ya bandia ita shawishi jinsi wa Australia wata piga kura? 11.03.2025 10:42
Akili ya bandia ni teknolojia mpya ambayo watu wanajaribu kuelewa. Watafiti waki jumuishwa.
Taarifa ya Habari 10 Machi 2025 10.03.2025 7:10
Taarifa za marufiko ya gafla zimetolewa kwa maeneo ya pwani ya New South Wales na Queensland, baada ya tukio la kimbunga cha kitropiki Alfred.
Taarifa ya Habari 7 Machi 2025 07.03.2025 20:26
Waziri Mkuu Anthony Albanese amesema ame idhinisha ombi la wanajeshi 120, watakao enda mara moja New South Wales kusaidia katika juhudi zaku kabiliana na Kimbunga Alfred.
Unataka saidia kuunda mustakabali wa Australia? Hivi ndivyo unastahili fanya kujisajili kupiga kura 07.03.2025 8:28
Uchaguzi mwingine wa shirikisho unatarajiwa kufanywa mwaka huu, kuna hatua unastahili chukua kabla yakupiga kura yako kwa mara ya kwanza.
Taarifa ya Habari 6 Machi 2025 06.03.2025 6:34
Ofisi ya utabiri wa hali ya hewa, ime toa taarifa mpya kuhusu wakati kimbunga chaki tropiki Alfred, kina tarajiwa kufika katika nchi kavu.
Ramadan na Eid ni nini, na huadhimishwaje huku Australia? 05.03.2025 11:33
Australia ni nchi yenye tamaduni nyingi na ina idadi kubwa yawa Islamu wengi.
Jinsi ya kuzungumza kuhusu asili yako 05.03.2025 6:44
Je! wewe ni mgeni nchini? ungependa fanya mazoezi ya kujieleza kwa Kiingereza?
The AI Election: Will artificial intelligence influence how Australia votes? - Uchaguzi wa AI: Je akili ya bandia ita shawishi jinsi wa Australia wata piga kura? 05.03.2025 10:42
Experts say AI could have significant impacts on democracy and trust. - Watalaam wanasema AI inaweza kuwa na madhara makubwa kwa demokrasia na uaminifu.
Taarifa ya Habari 4 Machi 2025 04.03.2025 19:14
Waziri wa Fedha Katy Gallagher amesema wa Australia wanastahili tarajia bajeti ya shirikisho inayotegemewa, na ambayo itasaidia familia kwa shinikizo za gharama ya maisha.
Similar podcasts
Replaio is not a podcast publisher; show names, artwork and audio belong to their authors and are distributed through public RSS feeds.