SBS
SBS Swahili - SBS Swahili
Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili
Where to listen?
Podcasts in the app Replaio Radio Coming soonPodcasts are coming to the app soon. Install now and be the first to see a whole new take on podcasts
Episodes
Taarifa ya Habari 15 Aprili 2025 15.04.2025 15:58
Waziri Mkuu Anthony Albanese ametupilia mbali madai kuwa sera ya nyumba ya chama chake, ita ongeza bei za nyumba.
Msamaha wa Rais Tshisekedi kwa wafungwa wafanya raia wa Rubero kuishi kwa wasiwasi 15.04.2025 7:23
Raia wanao ishi Butembo na miji ya karibu, wamesema wanaishi kwa hofu baada ya zaidi ya wafungwa 100 kuachiwa huru.
Taarifa ya Habari 11 Aprili 2025 11.04.2025 11:25
Waziri Mkuu amekabiliana na maswali kuhusu uwezekano wa mkataba wa manowari ya Australia na Marekani pamoja na Uingereza, kufuatia utoaji wa ushuru wa Marekani ambao ume tikisa dunia nzima.
Zaidi ya vitabu: Jinsi maktaba hujenga jumuiya 11.04.2025 13:04
Maktba za umma za Australia ni mahali maalum. Ndio, huwa zina kuruhusu ukope vitabu bure ila pia, zina toa utajiri wa miradi na huduma, bure pia na hukaribisha kila mtu, kutoka watoto wachanga hadi wazee.
Taarifa ya Habari 10 Aprili 2025 11.04.2025 5:27
Uamuzi wa Donald Trump kuregeza ushuru kwa nchi kadhaa, hauta athiri moja kwa moja Australia ila, uamuzi huo unaweza fungua mlango kwa mazungumzo ya ziada na marekani.
SBS Learn Eng pod 68 Kujadili taarifa za habari 11.04.2025 16:49
Je, unajua namna ya kufanya majadiliano kuhusu taarifa za habari?
Sean MMG "mitandao yaki jamii imefanya iwe rahisi kwa vijana kama sisi kutokea katika muziki" 10.04.2025 7:38
Wasanii maarufu kutoka Kenya; Sean MMG, Ssaru na Tipsy Gee walitembelea studio yet hivi karibuni wakati wa ziara yao ya Australia.
Taarifa ya Habari 8 Aprili 2025 08.04.2025 16:53
Serikali ya Albanese imesema uwekezaji wa serikali wa $1 bilioni moja inatambua pengo muhimu la wafanyakazi katika huduma ya afya ya akili inayo stahili fanyiwa kazi.
Uchaguzi Mkuu 2025: Dutton afuta sera yakumaliza mpangilio wakufanyia kazi nyumbani 08.04.2025 9:19
Kiongozi wa upinzani wa shirikisho Peter Dutton, ame tupa nje mpango wake waku walazimisha wafanyakazi wa umma kurejea ofisini aki kiri sera hiyo ilikuwa kosa.
Taarifa ya Habari 7 Aprili 2025 08.04.2025 6:08
Waziri Mkuu Anthony Albanese amesema serikali ya shirikisho ina wasiwasi kuhusu athari za msukosuko wa kifedha, kufuatia ushuru wa marekani ulio tangazwa mwaka jana na jinsi hali hiyo ina wa athiri wa Australia.
Australia Yafafanuliwa: Jinsi yakupiga kura katika uchaguzi wa shirikisho 04.04.2025 12:04
Wa Australia milioni kumi na nane wame sajiliwa kupiga kura katika uchaguzi wa shirikisho mwezi ujao.
Taarifa ya Habari 4 Aprili 2025 04.04.2025 15:34
Kiongozi wa chama cha Greens Adam Bandt amerudia sera yake muhimu ya uchaguzi yaku wasilisha matibabu ya meno bure kwa mfumo wa Medicare, akisema wa Australia wanalipa hela nyingi sana kwa huduma muhimu ya afya.
M23 na serikali ya DRC kufanya mazungumzo ya ana kwa ana 04.04.2025 5:52
Duru za pande hasimu nchini Kongo, zimesema serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo na waasi wa M23 wanajiandaa kwa mazungumzo ya ana kwa ana 9 Aprili 2025.
Taarifa ya Habari 3 Aprili 2025 03.04.2025 5:25
Waziri Mkuu Anthony Albanese amesema serikali ita toa dola milioni 50, kwa sekta zitakazo athiriwa kwa tangazo jipya la ushuru kutoka Marekani.
The legal loophole allowing political lies during elections - Mwanya wa kisheria unao ruhusu uongo wakisiasa wakati wa uchaguzi 03.04.2025 7:46
With an election date set for May 3rd, campaigning has officially begun. But political advertisements have already been circulating for months. Can you trust what they say? - Baada ya tarehe ya uchaguzi kutangazwa kuwa 3 Mei, kampeni zime anza rasmi. Ila matangazo ya kisiasa yame kuwa yaku sambazwa kwa miezi kadhaa. Je, unaweza amani wanavyo sema?
Ssaru "Mwanzoni familia hawakutaka tuwe wasanii" 03.04.2025 8:13
Kila kukicha sekta ya sanaa nchini Kenya, huwakaribisha wasanii wapya.
Swahili Taarifa ya Habari 1 Aprili 2025 01.04.2025 19:20
Waziri wa Ajira na mahusiano ya kazini, Murray Watt, ame kosoa ahadi ya upinzani yaku futa baadhi ya mageuzi ya mahusiano ya viwanda ya Serikali ya Labor.
SBS Learn Eng Pod Ep 81 Kuzungumza kuhusu uchaguzi 01.04.2025 14:56
Je, unajua namna ya kufanya majadiliano kuhusu uchaguzi katika Kiingereza?
Taarifa ya Habari 31 Machi 2025 31.03.2025 5:35
Wa Islamu nchini Australia na duniani kote, wana sherehekea Eid al-Fitr baada ya mwezi mtukufu wa Ramadan kumalizika.
What’s Australia really like for migrants with disability? - Australia ikoje kwa wahamiaji wenye ulemavu? 31.03.2025 7:48
Disability advocates and experts say cultural stigma and migration laws leave migrants living with disability further excluded and marginalised. - Watetezi wa ulemavu na wataalam, wanasema unyanyapaa wa kitamaduni na sheria za uhamiaji, huwaacha wahamiaji wanao ishi na ulemavu wakiwa wame tengwa zaidi.
Uchaguzi wa shirikisho wa Australia kufanywa 3 Mei 2025 28.03.2025 6:10
Tarehe ya uchaguzi wa shirikisho wa 2025 ime tangazwa. Tangazo hilo lina maana gani? Na unastahili fanya nini sasa?
Taarifa ya Habari 28 Machi 2025 28.03.2025 18:17
Waziri Mkuu Anthony Albanese ametangaza kuwa tarehe ya uchaguzi mkuu itakuwa 3 Mei 2025. Bw Albanese ali muarifu Gavana Mkuu Samantha Mostyn, nia yake yaku itisha uchaguzi mkuu mapena leo asubuhi.
Wapatanishi wa EAC na SADC waongeza kasi ya kujaribu kusuluhisha mzozo wa DRC 28.03.2025 6:51
Viongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki na ile ya SADC, wameongeza kasi ya kujaribu kusuluhisha mzozo wa mashariki mwa nchi ya DRC.
Taarifa ya Habari 27 Machi 2025 27.03.2025 6:30
Msemaji wa maswala ya hazina katika Upinzani amethibitisha kuwa Upinzani wa Mseto, utafuta makato ya ushuru ya Labor, upinzani ukishinda uchaguzi mkuu.
Future "tunataka serikali ya Australia isaidie kuleta suluhu ya amani DRC" 26.03.2025 7:47
Wa Australia wenye asili ya DR Congo, walijumuika mbele ya bunge la taifa mjini Canberra kuandamana dhidi ya vita vinavyo endelea mashariki mwa DR Congo.
Similar podcasts
Replaio is not a podcast publisher; show names, artwork and audio belong to their authors and are distributed through public RSS feeds.