SBS
SBS Swahili - SBS Swahili
Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili
Where to listen?
Podcasts in the app Replaio Radio Coming soonPodcasts are coming to the app soon. Install now and be the first to see a whole new take on podcasts
Episodes
Taarifa ya Habari 22 Mei 2025 22.05.2025 5:38
Kiongozi wa New South Wales, Chris Minns, amesema rasilimali za ziada zinatolewa kwa jumuiya ambazo zime athiriwa kwa mafuriko, katika eneo la kati ya pwaZaidi ya idadi ya watu elfu 48,000 kwa sasa wame tengwa kwa sababu ya maji ya mafuriko.
SBS Learn Eng pod 84 Jinsi ya kuelezea uwezo wako waku kimbia (Med) 22.05.2025 14:33
Je, unajua jinsi ya kuzungumzia sifa zako za kukimbia au kufanya riadha?
Jinsi ya kufurahia maeneo ya nyika ya Australia kwa kuwajibika 22.05.2025 14:12
Mandhari yakupendaza na tofauti ya Australia, kuanzia pwani hadi jangwani na yote yaliyo katikati, ni nyumbani kwa mimea ya asili na wanyama wakushangaza.
Taarifa ya Habari 20 Mei 2025 20.05.2025 17:59
Jimbo la Victoria lina tarajia kupata ziada yake ya kwanza tangu janga la UVIKO-19, wakati serikali ya Allan itakapo toa bajeti ya jimbo hii leo Jumanne 20 Mei 2025.
Watu wakujitolea wana jukumu kubwa nchini Australia, ila idadi yao inapungua 20.05.2025 10:42
Wiki ya kitaifa yakujitolea ime anza, ita kuwa kuanzia 19 Mei hadi 25 Mei 2025.
Taarifa ya Habari 16 Mei 2025 16.05.2025 15:11
Kiongozi wa Upinzani wa Shirikisho Sussan Ley, amesema kuungana tenana wanawake itakuwa kipaumbele chake kama kiongozi wa Upinzani wa shirikisho.
Jeremiah "wahafidhina wanastahili acha kutumia Biblia kutafuta kura zetu" 14.05.2025 7:10
Baadhi ya wanachama wa jumuiya yawa Afrika wanao ishi Melbourne, Victoria wame kuwa waki kabiliana na wakati mgumu katika kipindi cha kampeni za uchaguzi wa jimbo na shirikisho.
Taarifa ya Habari 13 Mei 2025 13.05.2025 17:28
Sussan Ley ame chaguliwa kuwa kiongozi wa chama cha Liberal. Bi Ley alikuwa Naibu Kiongozi wa chama hicho cha Liberal, alimshinda mpinzani wake mwekahazina kivuli Angus Taylor, katika kura yakumchagua kiongozi mpya muda mfupi ulio pita mjini Canberra.
Nafasi za baraza la waziri za tangazwa: Nani yuko ndani, nani yuko nje? 13.05.2025 9:13
Tanya Plibersek ame shushwa cheo nakupewa wizara ya Huduma za Jamii, wakati Anthony Albanese anatangaza baraza lake la mawaziri, atakao fanya kazi nao katika muhula wake wa pili serikalini.
Taarifa ya Habari 9 Mei 2025 09.05.2025 18:08
Anthony Albanese akosolewa kwa kumshasha cheo waziri pekee Muislamu katika baraza lake la mawaziri, wakati vyama vya upinzani vya ongeza juhudi yaku wachagua viongozi wao wapya.
Adam Bandt akubali kushindwa, asema chama cha Greens kili feli ku kwea mlima Everest 09.05.2025 8:19
Adam Bandt amekubali ameshindwa nakupoteza kiti chake cha Melbourne bungeni, katika matokeo ambayo yame acha chama cha Greens bila kiongozi.
Taarifa ya Habari 8 Mei 2025 08.05.2025 6:13
Waziri Mkuu Anthony Albanese amesema mtazamo wa mhula wa pili wa serikali ya Labor, utakuwa kuimarisha mahusiano na washiriki walio ng’ambo, kuhakikisha utulivu wa kiuchumi nyumbani.
Betty afunguka kuhusu jinsi yaku badilisha viza yako ukiwa Australia 08.05.2025 9:09
Wanafunzi wengi wakimataifa wame wasili nchini Australia, kupitia msaada wa mawakala wa uhamiaji.
Chama cha Greens cha kabiliana na matokeo yakukatisha moyo katika uchaguzi wa shirikisho 06.05.2025 19:28
Chama cha Greens kina onekana kuwa na viti vichache zaidi ndani ya nyumba ya chini baada ya matokeo ya uchaguzi wa shirikisho wa wikendi iliyo pita ila, wanaweza shikilia usawa wa mamlaka ndani ya Seneti.
Taarifa ya Habari 6 Mei 2025 06.05.2025 16:29
Anthony Albanese ata anza muhula wake wa pili kama Waziri Mkuu akiwa na serikali ya wengi, baada ya ushindi mkubwa wa chama cha Labor, chama chake kilishinda viti 86 bungeni.
Albanese ashinda uchaguzi wa Shirikisho 2025 03.05.2025 4:55
Chama cha Labor kime shinda uchaguzi wa shirikisho wa 2025 na, kita unda serikali.
Taarifa ya Habari 2 Mei 2025 02.05.2025 18:30
Uchambuzi mpya umetabiri Upinzani wa mseto utapitia uzoefu mubaya zaidi wa matokeo katika muda wa miaka 80 katika uchaguzi mkuu wa kesho.
Uchaguzi wa Shirikisho 2025- mazuri, mabaya na maswala ya kukera kutoka wiki tano zilizo pita 02.05.2025 10:39
Kampeni za uchaguzi wa shirikisho wa 2025 zina karibia tamati.
How to vote in the federal election - Jinsi ya kupiga kura katika uchaguzi wa shirikisho 01.05.2025 9:53
On election day the Australian Electoral Commission anticipates one million voters to pass through their voting centres every hour. Voting is compulsory for everyone on the electoral roll, so all Australians should familiarise themselves with the voting process before election day. - Siku ya uchaguzi Tume ya Uchaguzi ya Australia inatarajia wapiga kura milioni moja, watapita katika vituo vya kupig...
Taarifa ya Habari 29 Aprili 2025 29.04.2025 17:27
Waziri Mkuu Anthony Albanese ana fanya kampeni katika eneo bunge la chama cha Greens la Griffith, chama cha Labor kikiwa na matumaini yakushinda eneo bunge hilo la ndani ya Brisbane.
Jinsi yakuanza biashara yako ndogo Australia 29.04.2025 12:18
Kuanza biashara nchini Australia hutoa faida kadhaa. Australia husaidia uvumbuzi na ujasiriamali kupitia miundombinu imara, nguvu kazi yenye ujuzi na mipango ya serikali inayo himiza ukuaji wa biashara ndogo kwa ruzuku, fedha na motisha za kodi.
Taarifa ya Habari 28 Aprili 2025 28.04.2025 5:58
Waziri Mkuu Anthony Albanese ametumia ziara katika shirika linalo toa makaazi ya jumuiya katika eneo la Central Coast jimboni, New South Wales kutangaza ahadi ya uchaguzi yenye thamani ya $20 milioni kwa kituo kipya cha kuondoa kiwewe cha wanawake na watoto.
SBS Learn Eng pod 35 Jinsi ya kuzungumzia sifa zako kazini #2 23.04.2025 15:36
Je, unajua jinsi ya kuzungumzia sifa zako kazini?
Taarifa ya Habari 22 Aprili 2025 22.04.2025 17:46
Zaidi ya idadi yawa katoliki milioni 5 nchini Australia wana omboleza, kufuatia kifo cha Papa Francis. Imeripotiwa kuwa Papa alifariki akiwa na miaka 88, baada yaku kumbwa kwa kiharusi na mshtuko wa moyo.
Australia ikoje kwa wahamiaji wenye ulemavu 22.04.2025 12:29
Katika mwaka wa 2023, Tume ya Kifalme ilipata kuwa watu wenye ulemavu wali kabiliwa kwa visa vya kubaguliwa nakutengwa, pamoja na vurugu, kunyanyaswa na, unyonywaji na kupuuzwa.
Similar podcasts
Replaio is not a podcast publisher; show names, artwork and audio belong to their authors and are distributed through public RSS feeds.