SBS

SBS Swahili - SBS Swahili

News SW ↓ 930 episodes

Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili

Author

SBS

Category

News

Podcast website

www.sbs.com.au

Latest episode

Jul 10, 2026

Where to listen?

Podcasts in the app Replaio Radio Coming soon

Podcasts are coming to the app soon. Install now and be the first to see a whole new take on podcasts

Get it on Google Play Install for free Android 5M+ downloads · 4.8 rating iOS soon

Episodes

Taarifa ya Habari 20 Juni 2025 20.06.2025

Australia imesimamisha oparesheni katika ubalozi wake katika mji mkuu wa Iran, nakuamuru kuondoka kwa maafisa wote wa Australia kwa sababu yakudorora kwa mazingira ya usalama.

Jinsi bima ya nyumba na vilivyomo hufanya kazi nchini Australia 20.06.2025

Haipendezi kufikiria kuhusu matukio yanayo weka nyumba na mali yako hatarini, ila haviko kawaida.

Taarifa ya Habari 19 Juni 2025 20.06.2025

Ulaya imechukua nafasi yaku fanya mashauriano na Iran, mawaziri wa mambo ya nje wa Uingereza, Ujerumain na Ufaransa wanazungumza na mshirika wao kutoka Iran.

Wakimbizi wafunga magoli na kujenga madaraja 17.06.2025

Wachezaji wa soka katika mashindano mjini Perth, wanafanya mengi zaidi yakufunga magoli, wanajenga madaraja kati ya jamii naku mulika nguvu ya jamii zawakimbizi wa Magharibi Australia.

Taarifa ya Habari 17 Juni 2025 17.06.2025

Waziri Mkuu Anthony Albanese amefanya mikutano na rais mpya wa Korea Kusini, pamoja na katibu mkuu wa NATO pembezoni mwa mkutano wa G7.

Vyombo vya habari hufanyaje kazi nchini Australia? 17.06.2025

Uhuru wa vyombo vya habari na vyombo vya habari tofauti ni alama muhimu ya afya nzuri ya demokrasia ambako raia na waandishi wa habari wana mamkalaka ya kujielezeza, kupata taarifa na kuchapisha bila hofu ya kuingiliwa au adhabu kutoka kwa serikali.

Taarifa ya Habari 16 Juni 2025 16.06.2025

Waziri Mkuu Anthony Albanese, amesema mazungumzo kati yake na mshiriki wake kutoka Canada katika mkutano wa G7, ilikuwa fursa yaku imarisha tena uhusiano kati ya nchi hizo mbili.

Socceroos wafuzu kucheza katika Kombe la Dunia baada ya kuishinda Saudi Arabia 13.06.2025

Wiki hii timu ya mpira wa miguu ya taifa Socceroos, ili fuzu kwa Kombe la Dunia tena baada yakupata ushindi dhidi wenyeji wao Saudi Arabia.

Taarifa ya Habari 13 Juni 2025 13.06.2025

Balozi wa zamani wa Australia nchini Marekani, Arthur Sinodinos, amesema mkataba wa AUKUS unastahili kuwa kipaumbele kikuu katika mkutano kati ya Waziri Mkuu Anthony Albanese na Rais wa Marekani Donald Trump.

Jinsi ya kuepuka ulaghai wa mapenzi nchini Australia 11.06.2025

Mwaka jana pekee, zaidi ya kesi 3200 za ulaghai wa mapenzi zili ripotiwa nawa Australia.

Taarifa ya habari 10 Julai 2025 10.06.2025

Kiongozi wa Tasmania wa chama cha Liberal anatarajiwa kuitisha rasmi uchaguzi wa mapema hii leo, hatua itakayo rejesha jimbo hilo la kisiwa katika uchaguzi wa pili katika muda wa miaka mbili.

Miaka 50 ya SBS- Waandishi wa habari waelezea nyakatu muhimu 10.06.2025

SBS ina sherehekea miaka 50.

Zambia ya mpoteza Rais mstaafu Edgar Lungu 06.06.2025

Rais wa zamani wa Zambia, Edgar Lungu amefariki akiwa na umri wa miaka 68.

Taarifa ya Habari 6 Juni 2025 06.06.2025

Bunge ya Tasmania yapitisha kura yakutokuwa na imani kwa kiongozi wa jimbo hilo Jeremy Rockliff. Mswada huo ulio wasilishwa na kiongozi wa chama cha Labor Dean Winter, ulipita kwa kura 18 dhidi ya 17, Spika wa Labor Michelle O'Byrne alipiga kura iliyo toa uamuzi wa muswada huo.

Australia Yafafanuliwa: Unaweza zingatia kumteua mtu kwa tuzo ya Order of Australia? 06.06.2025

Unajua mtu anaye toa mchango usio wa kawaida katika jamii? Anaweza kuwa mtu kutoka mazingira yoyote, au mwenye taaluma yoyote.

Taarifa ya Habari 5 Juni 2025 05.06.2025

Marekani imetumia kura yake ya turufu dhidi ya azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, lililo kuwa likiomba kusitishwa kwa vita pamoja na misaada yakibinadam kuruhusiwa kuingia katika ukanda wa Gaza bila vizuizi.

Wito watolewa kwa hatua ya ziada kuchukuliwa kushughulikia gharama ya janga yaki asili 03.06.2025

Uchambuzi mpya wa hazina ume onesha gharama ya Kimbunga Alfred na mafuriko mengine katika majimbo ya New South Wales na Queensland imefika takriban $2.2 bilioni dollars.

Taarifa ya Habari 3 Juni 2025 03.06.2025

Seneta Dorinda Cox wa Magharibi Australia ametangaza anahama kutoka chama cha Greens, na atakuwa Seneta wa chama cha Labor hii leo Juni 3.

Who are the Stolen Generations? - Vizazi vilivyo ibiwa ni kina nani? 01.06.2025

Australia has a dark chapter of history that many are still learning about. Following European settlement, Aboriginal and Torres Strait Islander children were removed from their families and forced into non-Indigenous society. The trauma and abuse they experienced left deep scars, and the pain still echoes through the generations. But communities are creating positive change. Today these people ar...

Taarifa ya Habari 30 Mei 2025 30.05.2025

Wakati inaweza chukua zaidi ya mwaka kwa baadhi ya madai ya bima ya mafuriko kutatuliwa, malipo ya mara moja kwa walio athirika jimboni New South Wales yata anza kutolewa leo 30 Mei 2025.

Warudiana tena: mkataba mpya wa upinzani wa mseto baada ya siku nane zaku achana 30.05.2025

Siku nane baada ya upinzani wa mseto kuachana, vyama vya Liberal na Nationals vime tangaza kuwa vime rudiana tena.

Taarifa ya Habari 27 Mei 2025 27.05.2025

Idadi ya nyumba zilizo haribika kabisa katika mafuriko jimboni New South Wales imeongezeka mara mbili nakufika takriban 800. Huduma ya dharura ya jimbo [[SES]] imesema nyumba 794 katika kanda ya pwani ya kati ya kaskazini, zime zingatiwa kuwa haziwezi tumiwa tena baada ya zaidi ya tathmini 5000 za uharibifu kufanywa.

Tafakari, na wito wakuchukua hatua, katika siku ya Kitaifa yakusema Pole 27.05.2025

Matukio yame fanyika kote nchini Kuadhimisha Siku ya Kitaifa yakuomba msamaha 26 Mei, hatua ambayo ni kukiri kuondolewa kwa lazima kwa watoto wa Mataifa ya Kwanza kutoka kwa familia na tamaduni zao.

Taarifa ya Habari 26 Mei 2025 26.05.2025

Waziri Mkuu Anthony Albanese amesema hatua ya Israel kuzuia msaada “hai kubaliki kabisa”. Israel ina ruhusu msaada mdogo wakibinadam kuingia Gaza, baada ya takriban miezi mitatu yaku izuia, hali iliyo sababisha uhaba wa chakula na matibabu.

UNHCR yaomba msaada kwa wakimbizi wa Sudan Kusini walio DRC 26.05.2025

Ukosefu wa vyakula na bidhaa zingine muhimu, umelazimisha UNHCR kuomba msaada wa dharura kwa wakimbizi wenye asili ya Sudan Kusini, walio kimbilia DRC.

Listen to the SBS Swahili - SBS Swahili podcast in Replaio

Radio and podcasts in one app - free, with no sign-up. Install today and do not miss the launch

Get it on Google Play

Replaio is not a podcast publisher; show names, artwork and audio belong to their authors and are distributed through public RSS feeds.