SBS
SBS Swahili - SBS Swahili
Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili
Where to listen?
Podcasts in the app Replaio Radio Coming soonPodcasts are coming to the app soon. Install now and be the first to see a whole new take on podcasts
Episodes
Taarifa ya Habari 22 Oktoba 2024 22.10.2024 19:57
Mfalme Charles na Malkia Camilla waanza sehemu ya mwisho, ya ziara yao mjini Sydney, katika sehemu ya ziara yakifalme.
Steve "Na amini naweza kuwa kiongozi bora" 22.10.2024 12:55
Wanafunzi wa chuo cha ECU mjini Perth wana ingia debeni kuwachagua viongozi wao wapya.
Taarifa ya Habari 18 Oktoba 2024 18.10.2024 19:25
Serikali ya Shirikisho ya tetea takwimu zake za utoaji wa ajira milioni moja, wakati upinzani una sisitiza kuwa asilimia kubwa ya ajira hizo zime fadhiliwa na serikali ya shirikisho.
Mhe Dkt Kogo "Kwa unyenyekevu hakuna haja yawa Kenya kupewa mitihani ya Kiingereza" 18.10.2024 12:54
Wanafunzi na wahamiaji wengi kutoka Afrika Mashariki haswa Kenya, wame kuwa waki kabiliwa kwa changamoto yaku thibitisha uwezo wao wakuzungumza Kiingereza nchini Australia kabla yaku endeleza masomo yao.
Taarifa ya Habari 15 Oktoba 2024 15.10.2024 23:15
Mawaziri wa afya wa Australia wame idhinisha mchakato wa haraka, kwa madaktari waliofunzwa ng'ambo kuanza kufanya kazi kote nchini.
Mercy"Tunatazamia kupokea huduma bora kutoka kwa balozi wetu" 15.10.2024 8:13
Viongozi wa shirika la Kenyans in Sydney Welfare Association kwa ushirikiano na mashirika mengine yawakenya wanao ishi mjini Sydney wali andaa kongamano la wanafunzi.
Taarifa ya Habari 11 Oktoba 2024 11.10.2024 18:06
Wa Australia wanaweza lipishwa zaidi watakapo enda tena kuweka petroli ndani ya gari zao ila, mweka hazina wa taifa ame wahamasisha wauzaji wa reja reja wasi wadhulumu wateja.
Prof Chacha "mtu ambaye amekuwa katika hali ya uchochore hawezi mkashifu anaye msaidia" 11.10.2024 7:45
Nchi kadhaa barani Afrika zina endelea kuongeza ushirikiano na China, ambayo kwa upande wayo ina toa zawadi mbali mbali kwa nchi hizo.
Taarifa ya Habari 8 Oktoba 2024 08.10.2024 19:13
Wa Australia wanao rejea nchini kutoka Lebanon katika ndege za kwanza zilizo kodishwa na serikali ya shirikisho wame wasili mjini Sydney.
Matt "wakenya hawataki Gachagua aondolewe mamlakani" 08.10.2024 5:59
Wikendi iliyopita wakenya wanao ishi Sydney, New South Wales walijumuika katika kitongoji cha Chester Hill kwa mkutano maalum.
Lydia "ukiwa Africultures nikama umetembea Afrika nzima" 08.10.2024 9:04
Maelfu ya wa Australia wenye asili ya Afrika, kwa mwaka mwingine wali jumuika katika viwanja vya Sydney Olympic Park kuhudhuria tamasha ya Africultures.
Taarifa ya Habari 4 Oktoba 2024 04.10.2024 17:26
Idara ya Afya ya New South Wales ina wahamasisha watu wanao stahiki wapate dozi zao mbili za chanjo za mpox sasa hivi, wasiwasi unapo endelea kuwa kuhusu ongezeko ya kesi na wanao lazwa hospitalini jimboni humo.
Jinsi yakupata mkopo wa kununua nyumba Australia 04.10.2024 12:19
Kununua nyumba kawaida ni moja ya ununuzi mkubwa katika maisha ya mtu.
Taarifa ya habari 1 Oktoba 2024 01.10.2024 19:43
Waangalizi wa watumiaji wa Australia wanatarajiwa kupokea jeki ya dola milioni 30, kuchukua hatua kwa matendo ya kuongeza bei kutoka kwa maduka makubwa na wauzaji reja reja.
Francis "Openmaps Global Study imeziba pengo katika utoaji wa elimu ya juu Australia" 01.10.2024 9:43
Sekta ya elimu ya juu nchini Australia, ina thamani yama bilioni ya dola.
Taarifa ya Habari 20 Septemba 2024 20.09.2024 16:46
Mswada wa serikali ya shirikisho waku ongeza malipo ya uzeeni katika likizo ya wazazi yenye malipo ime idhinishwa na bunge.
Prof Chacha "kuendelea kuahirisha uchaguzi hakuta leta amani au mafanikio Sudan Kusini" 20.09.2024 7:56
Kwa mara nyingine uchaguzi mkuu wa Sudan Kusini ume ahirishwa hadi Disemba 2026.
Francis "wakati wakubadilisha shule ni sasa" 18.09.2024 10:35
Idadi ya wanafunzi wakimataifa itapunguzwa mwaka ujao, serikali inapojaribu kupunguza uhamiaji wa ng’ambo.
Taarifa ya Habari 17 Septemba 2024 17.09.2024 18:49
Mwanaume anaye shukiwa kuhusika katika jaribio laku muuwa Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump, amefunguliwa mashtaka ya uhalifu wakutumia bunduki.
Kinyua "karibuni tusherehekee uafrika wetu kupitia soka ACT" 13.09.2024 7:09
Wanachama wa jumuiya yawa Afrika wanao ishi Canberra, ACT wanajiandaa kushiriki katika kombe la Afrika kesho Jumamosi 14 Septemba 2024.
Taarifa ya Habari 13 Septemba 2024 13.09.2024 17:55
Mdhibiti wa vyombo vya habari nchini, atapewa mamlaka yakuchukua hatua dhidi ya makampuni ya teknolojia kama Meta na X, kwa usambazaji wa habari potofu na habari feki katika mitandao yao.
Upinzani watishia maandamano iwapo wanachama wao hawata achiwa huru Tanzania 13.09.2024 8:02
Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania kimetishia kuanzisha maandamano makubwa zaidi, tangazo linalokuja baada ya kutuhumu mamlaka kwenye taifa la Afrika Mashariki kwa kuwauua na kuwateka wanachama wake.
Taarifa ya Habari 10 Septemba 2024 10.09.2024 17:24
Wauguzi na wakunga kote jimboni New South Wales, wanao ondoka kazini leo Jumanne 10 Septemba, kinyume na amri za tume ya mahusiano ya serikali ya viwanda kusitisha mgomo maramoja.
Embracing the wisdom of traditional Indigenous medicine - Kukumbatia maarifa ya tiba ya asili 09.09.2024 10:18
Understanding and respecting Indigenous knowledge of medicine may be the key to providing more holistic and culturally sensitive care in today's healthcare setting. - Kuelewa nakuheshimu maarifa ya tiba ya asili, inaweza kuwa muhimu kwa kutoa kutoa huduma kamili na inayo faa kitamaduni katika mazingira yakisasa ya huduma ya afya.
#39 Kuwasilisha marejesho yako ya ushuru | Vidokezo vyakudai gharama (Adv) 09.09.2024 17:25
Jifunze jinsi yakuzungumza kuhusu marejesho ya ushuru. Pia jua jinsi punguzo ya ushuru inaweza kusaidia kupunguza bili yako ya ushuru.
Similar podcasts
Replaio is not a podcast publisher; show names, artwork and audio belong to their authors and are distributed through public RSS feeds.