radiorahma
RadioRahma
Tutakuwa tunaweka makala ya mada mbali mbali katika mtandao wetu wa podcast yetu. Karibu sana
Where to listen?
Podcasts in the app Replaio Radio Coming soonPodcasts are coming to the app soon. Install now and be the first to see a whole new take on podcasts
Episodes
JINSI WANAFUNZI WANAUZA MILI YAO KUPATA PESA 21.06.2021 4:24
Kuhusu jinsi wanafunzi wanauza miili yao ili wapate pesa ya kununua sodo kutokana na umaskini by Baya
DHANA KUWA TANGAWIZI LIMAU NA ASALI NI KINGA NA TIBA YA CORONA | PART 2 18.06.2021 11:28
Awamu ya pili ya makala ya dhana kuwa mchanganyiko wa tangawizi, limau na asali ni kinga na vilevile tiba ya Covid-19. by Mwanaharusi Rashid
HABARI ZA URONGO KUHUSU ASTRAZENECA MITANDAONI 18.06.2021 9:01
Makala haya mitandao ya kijamii inavyoeneza habari za urongo kuhusu chanjo ya virusi vya Corona ni sehemu ya pili. Inazungumzia jinsi watu waliokuwa tayari kupata chanjo ya virusi vya corona pindu tu vilipothibitishwa humu nchini. Lakini kwa sasa wamebadili nia zao kwasababu ya habari walizozisoma kutoka mitandao ya kijamii kuhusu chanjo hizo. by Ruth Keah
DHANA YA KUTOKUWEPO KORONA NCHINI | PART 2 18.06.2021 9:15
Tunaendelea na sehemu ya pili ya makala dhana ya kutokuwepo na Corona nchini Kenya. Katika sehemu hii ya pili tunaungana na wakenya waliopata virusi vya Corona hapa nchini. by Nuru Mwalimu
DHANA POTOFU KUWA WAGONJWA WA SICKLE CELL HAWASHIKWI NA CORONA | PART 2 14.06.2021 4:38
Licha ya baadhi ya watu katika jamii zetu kuamini kuwa watu wanaougua ugonjwa wa Sickle Cell yaani Selimundu hawashikwi na korona, tumepata kuona kuwa dhana hiyo haina ushahidi wowote wa kitaalamu. Karibu katika makala haya ambapo leo tuna weka wazi kuwa wagonjwa wa sickle cell wanashikwa na corona kinyume na inavyodhaniwa na baadhi ya watu. Kulingana na mtaalamu wa sickle Cell kutoka London...
DHANA KUWA HAKUNA CORONA NCHINI KENYA 11.06.2021 10:23
Baadhi ya wakenya wako na dhana kuwa hakuna corona nchini kenya kutokana na kuwa wa afrika wako na kinga thabith ambayo inawakinga didhi ya kupatwa na virusi hivyo huku baadhi wakidai kuwa ni mpango wa serikali kujipatia fedha. by Nuru Mwalimu
DHANA KUWA TANGAWIZI LIMAU NA ASALI NI KINGA NA TIBA YA CORONA 07.06.2021 9:28
Ni kuhusu dhana kuwa mchanganyiko wa tangawizi, maji ya limau na asali ni kinga na vilevile tiba ya corona. Hii ni sehemu ya kwanza ya makala. Lengo ni kusambaza ujumbe kwa wale wanaoamini dhana hii kuwa dawa. ....Baada ya kuzuka kwa virusi vya corona kumekua na habari aina tofauti kuhusu hatua za kuchukua kuepuka kuambukizwa, na habari nyengine kuhusiana na tiba ya corona. Mojawapo ya habari iliy...
DHANA POTOFU KUWA WAGONJWA WA SICKLE CELL HAWASHIKWI NA CORONA 04.06.2021 7:20
Janga la corona, limekuja na changamoto si haba kwa watu wote duniani na hapa nchini Kenya, watoto wameathirika zaidi. Katika kaunti za Mombasa, Kwale na Kilifi, Watoto wanaougua maradhin ya sickle cell wako katika hatari ya kuambukizwa virusi vya korona kwani kuna dhana potofu kuhusu hali yao na jinsi corona haiwezi kuwaathiri. Baadhi ya wazazi wanadai kuwa wagonjwa wa sickle cell hawashikw...
HABARI KUHUSU CHANJO YA VIRUSI VYA CORONA 31.05.2021 8:31
Makala haya MITANDAO YA KIJAMII INAVYOCHANGIA UTOAJI WA HABARI KUHUSU CHANJO YA VIRUSI VYA CORONA yanazungumzia kuhusu jinsi watu wanavyopokea habari tofauti tofauti kuhusu chanjo ya ugonjwa wa Covid- 19 hasa kupitia mitandao ya kijamii. Ruth Keah.
WASANII NA CORONA 28.05.2021 8:42
Makala by Ruth Keah
UPANZI WA NYASI ZA BAHARINI 24.05.2021 9:30
Makala by Faiz Musa
WANAWAKE NA MAZINGIRA | PART 2 21.05.2021 6:34
Makala by Ruth Keah
ULAJI WA MOGOKA MOMBASA 17.05.2021 9:36
Makala by Faiz Musa
WANAWAKE NA MAZINGIRA | PART 1 14.05.2021 9:03
Makala by Ruth Keah
UHABA WA MAJI NA MAZINGIRA MOMBASA 10.05.2021 9:43
Makala by Faiz Musa
UVUMBUZI WA NJIA ZA KISASA ZA KILIMO 07.05.2021 11:38
Makala by Ruth Keah
SUMU YA UCHAFUZI WA HEWA 03.05.2021 9:43
Makala by Faiz Musa
USALAMA WA CHAKULA 30.04.2021 9:36
Makala by Ruth Keah
SHERIA KUZUIA BIASHARA HARAMU BANDARINI MOMBASA 26.04.2021 9:18
Makala by Faiz Musa
ONGEZEKO LA BAHARI 23.04.2021 9:36
Makala by Faiz Musa
UFUFUAJI WA MAZINGIRA | PART 2 19.04.2021 7:45
Makala by Ruth Keah
UFUFUAJI WA MAZINGIRA | PART 1 16.04.2021 8:42
Makala by Ruth Keah
TEKNOLOJIA YA KUSAKA HAKI | PART 2 12.04.2021 7:40
Makala by Ruth Keah
BARAKOA KWA WALIO NA CHANGAMOTO YA KUSIKIA NA KUZUNGUMZA | PART 2 09.04.2021 8:45
Makala haya yanazungumzia ubunifu wa barakoa maalum kwa watu walio na changamoto ya kusikia na kuzungumza uliofanywa na shirika la Coast Association with persons living with disability. Barakoa ambazo zitawawezesha kuwasiliana na watu kwa urahisi na kwa wakati huo huo kujikinga na virusi vya Corona Makala by Ruth Keah
BARAKOA KWA WALIO NA CHANGAMOTO YA KUSIKIA NA KUZUNGUMZA | PART 1 05.04.2021 9:45
Makala haya yanazungumzia ubunifu wa barakoa maalum kwa watu walio na changamoto ya kusikia na kuzungumza uliofanywa na shirika la Coast Association with persons living with disability. Barakoa ambazo zitawawezesha kuwasiliana na watu kwa urahisi na kwa wakati huo huo kujikinga na virusi vya Corona Makala by Ruth Keah
Similar podcasts
Replaio is not a podcast publisher; show names, artwork and audio belong to their authors and are distributed through public RSS feeds.