RFI Kiswahili
Changu Chako, Chako Changu
Changu Chako, Chako Changu ni makala inayozungumzia masuala ya historia, utamaduni, muziki na lugha ya Kifaransa Afrika Mashariki na Kati na duniani. Makala haya yatakuhabarisha pia kuhusu Jumuiya ya Kimataifa ya Watu Wanaotumia lugha ya Kifaransa kwenye Mawasiliano (L'OIF) na jinsi gani kujifunza na kuelewa lugha nyingine inaweza kuimarisha mahusiano kwenye sehemu zote za maisha ya binadamu.
Where to listen?
Podcasts in the app Replaio Radio Coming soonPodcasts are coming to the app soon. Install now and be the first to see a whole new take on podcasts
Episodes
Changu Chako Chako Changu: Miaka 16 ya matangazo ya RFI Kiswahili Julay 5 2026 05.07.2026 20:00
Karibu katika Makala yetu ya leo change chako chako changu maalum kabisa kuhusu kumbukumbu ya miaka 16 tangu kuzanzishwa kwa matangazo ya idhaa ya Kiswahili ya RFI yalianza kurindima Julay 5 mwaka 2025 Mubashara jijini Dar es salaam nchini Tanzania kabla ya kuhamia jijini Nairobi baadae. Utawasikiliza baadhi ya watangaezaji, lakini pia nitakuletea burudani ya Muziki kutoka nchini Kenya Otile Brown...
Changu chako: Historia ya Uhuru wa Burundi juni 28 2026 28.06.2026 20:01
Karibu katika makala changu chako chako changu Jumapili ya leo, Makala ambayo hukuletea historia ya mambo mbalimbali, utamaduni le parler francophone na Muziki, ambapo leo nakuletea historia ya uhuru wa Burundi na kwenye kipengele cha utamaduni nitakuletea tamasha la Umutwenzi lililoandaliwa na wasanii wa Burundi katika mkesha wa siku ya Uhuru wa Burundi na kwenye Muziki nitakuletea kibao cha wasa...
Changu chako: Tamaduni mbalimbali zilizopitwa na wakati juni 21 2026 21.06.2026 20:01
Karibu katika Makala changu Chako Chako Changu, Makala ambayo hukuletea Historia ya mambo mbalimbali, utamaduni le parler francophone na Muziki, ambapo leo nakuletea Makala kuhusu tamaduni mbalimbali ambazo zimepitwa na wakati katika makabila mbalimbali, na kwenye Muziki nitakuletea mwanamuziki Dully Sikes kutoka nchini Tanzania. Mimi ni Ali Bilali, Binevenue ama Karibu.
Changu Chako: Tamaduni mbalimbali za kiafrika na mlimbwende kutoka Kenya 14.06.2026 20:05
Karibu katika Makala yetu ya leo changu chako chako changu, Makala ambayo hukuletea historia ya mambo mbalimbali utamaduni le parler francophone na Muziki. Mimi ni Ali Bilali nakukaribisha karibu, ama Bienvenue. Kumbuka pia kunifuatilia @billy bilali
Changu Chako Chako Changu: Utamaduni wa kupenda kusafiri juni 7 2026 07.06.2026 20:05
Makala haya yanazungumzia kuhusu utamaduni wa kupenda kusafiri kutoka katika eneo moja hadi lingine. Utamaduni huu unashuhudiwa tu kwa wenzetu wazungu. Ali Bilali amempokea influancer maharufu kutoka Afrika mashariki Casspyool ambae ametembelea nchi kadhaa duniani, na hapa anatueleza alichojifunza katika safari zake za Tanzania, Uganda na Rwanda. Kumbuka pia kumfollow mtangazaji wako @billy bilal...
Changu Chako Chako Changu: Historia ya Xenophobia barani Afrika Mei 17 2026 17.05.2026 20:02
Karibu katika Makala yetu ya leo changu chako chako changu, makala ambayo hukuletea historia ya mambo mbalimbali utamaduni le parler francophone na Muziki ambapo leo nakuleteza historia ya xenophobia (chuki au woga dhidi ya wageni) tutaungana naye Mariam Posho joélle akiwa nchini Afrika kusini na kwenye Muziki nitakuletea mwanamuziki Mario na wimbo wake mpya Mombasa. Kumbuka kunifuatilia @billy...
Changu Chako Chako Chako Changu: fursa za kikao cha Ufaransa na Mataifa ya Afrika 10.05.2026 20:06
Katika makala haya mtangazaji wako Ali Bilali anaangazia utamaduni wa kujifunza lugha na furza za mkutano wa wakuu wa nchi za Afrika na Ufaransa, mkutano ambao hapo awali ulifahamika kama France Afrique. Kumbuka kunifollow @billybilali
Historia ya siku ya kimataifa ya uhuru wa vyombo vya habari 03.05.2026 20:11
Tarehe 03 mei ya kila mwaka ni siku ya kimataifa ya uhuru wa vyombo vya habari, na mwaka wa 2026 imetimia miaka 35 tangu siku hiyo kutangazwa na baraza la umoja wa mataifa, na katika utamaduni tumeendelea na utaratibu wa jamii ya watu wa kabila la wabembe huko DRC na taratibu za kuoa. Ungana na mwandishi wetu Ruben Lukumbuka kupata mengi zaidi
Historia ya vita vya Iran na Israeli huko mashariki ya kati 25.04.2026 20:13
Makala hii imejikita huko mashariki ya kati ambapo tumeangazia kwa undani historia ya nchi ya Iran, na katika utamaduni kabila la wabembe kutoka Fizi mashariki mwa jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, na maeneo mengine ya nchi jirani, wakati katika kipengee cha muziki ni maadhimisho ya miaka kumi tangu alipotoweka mwanamuziki nguli, mfalme wa rumba almaarufu Papa Wemba huko Ivory Coast
Changu chako: Utamaduni wa watu kutoka Embu nchini Kenya 19.04.2026 19:45
Karibu katika Makala yetu ya leo changu chako chako changu jumapili hii, Makala ambayo hukuletea historia ya mambo mbalimbali utamaduni le parle francophone na Muziki ambapo leo nitakuletea utamaduni wa watu kutoka huko Embu kwenye maswala ya chakula, mazazi na uvhumba. Tutamaliza na vibwagizo kadhaa vya Muziki, mimi ni Ali Bilali Bienvenue ama Karibu Kumbuka pia kutufuatilia @billy bilali
Changu Chako Chako Changu: Utamaduni wa kuishi pamoja makabila mbalimbali April 12 2026 12.04.2026 20:00
Karibu katika Makala yetu ya leo changu chako chako changu jumapili hii, Makala ambayo hukuletea historia ya mambo mbalimbali utamaduni le parler francophone na Muziki ambapo leo nitakuletea utamaduni huu wa watu kutoka eneo moja kuishi pamoja mijini, na kwenye muziki nitakletea mwanaumizi Coco Finger kutoka nchini Uganda, Kumbuka kunifollow @billy bilali
Changu Chako Chako Changu: Utamaduni wa matumizi ya viungo kwenye chakula march 22 2026 21.03.2026 20:00
Ni jumapili nyingine tunakutana katika makala Changu chako chako changu, makala ambayo hukuletea historia ya mambo mbalimbali, utamaduni le parler francophone na Muziki, ambapo leo nakupelekea visiwani Zanzibar kuangazia utamtuni wa matumizi ya viungo kwenye chakula, kwenye le parler francophone tutaangazia kuhusu sherehe za siku ya kimataifa ya nchi zinazo zungumza lugha ya Kifaransa, mimi ni Al...
Changu Chako Chako Changu: Zanzibar yavunja rekodi ya utamaduni wa kufturisha 12.03.2026 20:01
Karibu katika Makala yetu ya leo Changu Chako Chako Changu, makala ambayo hukuletea Historia ya mambo mbalimbali utamaduni, le parler francophone na Muziki, ambapo leo nakupeleka huko Visiwani Zanzibar kuzungumzia utamaduni wa kufturisha ambapo JMarch 7 umati wa watu ulijitokeza kuhudhuria Iftar ilioandaliwa kwa mara ya kwanza kwenye ngazi ya Kitaifa. Tutahitimisha na Muziki kutoka visiwani Zanzib...
Changu Chako Chako Changu historia ya ngome ya Yesu Mombasa March 8 08.03.2026 19:31
Katika makala yetu ya leo Jumapili mtangazaji wako Ali Bilali anatupeleka Mombasa Pwani ya Kenya kuskiliza historia ya Ngome Kongwe pamoja na ile ya ngome ya Yesu ama fort Jesus. Kumbuka pia kumfuatilia kwa kubonyeza @billy bilali https://www.facebook.com/billy.bilali.9
Changu Chako Chako Changu ukumbusho wa mizinga ya kale huko lamu Feb 15 2026 05.03.2026 20:02
Makala haya mtangazaji Benson Wakoli alipata nafasi ya kutembelea county ya Lamu Pwani ya Kenya kuangazia kuhusu mizinga iliotumika zama za ukoloni. utapta pia kumsikiliza msanii kutoka nchini Burundi Baino. Kumbuka pia kunifuata @billy bilali
Changu Chako Chako Changu vijana wa Mombasa na fursa kwenye tasnia ya filamu Feb 1 2026 02.03.2026 20:01
Katika safari yangu huko Mombasa, nimekutana na vijana kwenye tasnia ya Filamu na kufanya nao mazungumzo kuhusu tasnia hii namna inavyopiga hatuwa pamoja na chamgamoto zake. Kumbuka kutufualia @billy bilali
Changu chako chako changu siku ya mashujaa nchini DRC 02.03.2026 20:00
Makala haya mtangazaji wako Ali Bilali anakukumbusha historia ya mashujaa nchini DRC
Changu Chako Chako Changu Historia na tamaduni za wabajuni march 1 2026 01.03.2026 19:59
Karibu katika Makala haya Changu Chako Chako Changu Jumapili hii nakuletea Historia na tamaduni mbalimbali za watu wa kabila la wabajuni, na kwenye Muziki nitakuletea mwanamuziki Maud Elka kutoka Ufaransa mwenye asili ya Congo. Watu wa Wabajuni ni kabila la Wabantu wanaoishi hasa katika jiji la Mombasa nchini Kenya. Wengi walihama kutoka kusini mwa Somalia hadi Kenya kutokana na vita na ukoo wa...
Changu ChakO chako Changu waigizaji kutoka Mombasa wachangamkia fursa sehemu ya pili 28.02.2026 20:00
Waigizaji wa filamu kutoka nchini Mombasa wachangamkia fursa kwa kuwezeshwa na kituo cha utamaduni wa Ufaransa Allaince Francaise ya Mombasa. Huyu hapa ni Lina Sande mmoja wapo tuliekutana naye katika ziara yetu huko Mombasa. Kumbuka pia kunifuata kwa kubonyeza hapa @billy bilali
Changu Chako Chako Changu fursa ya kujifunza lugha za kigeni Feb 22 2026 22.02.2026 19:45
Karibu katika Makala haya Changu chako Chako Changu jumapili ya leo ambapo tumejikita zaidi katika swala la kujifunza lugha za kigeni kama Fursa. Nitakuletea pia mwanamuziki kutoka Mombasa Chikuzee, Mimi ni Ali Bilali mtangazaji wako asiependa makuu, nikukatibishe Karibu. Ama Bienvenue. Nifuate pia @billy bilali
Baadhi ya watangazaji wa RFI Kiswahili watuma salamu za mwaka mpya 2026 04.01.2026 19:53
Karibu katika Makala haya ya kwanza kabisa mwaka mwaka 2026, changu chako chako changu, nikutakie heri ya mwaka mpya. Kumbuka makala haya hukuletea historia ya mambo mbalimbali, utamaduni le parler francophone na Muziki, ambapo leo nakuletea pongezi za mwaka mpya kutoka kwa watangazaji wenzangu hapa RFI Kiswahili. Mimi ni Ali Bilali mtangazaji wako asiependa makuu, bienvenue, ama Karibu.
Salam za mwisho wa mwaka kutoka kwa waskilizaji wapenzi wa makala Changu Chako Dec 28 28.12.2025 20:05
Karibu katika Makala haya ya mwisho kabisa katika mwaka 2025, ambapo kama ilivyo ada hukupa nafasi kutathmini ni mada gani iiokugusa katika kipindi cha mwaka 2025, lakini pia hutowa nafasi kwa waskilizaji ktoa salam za mwisho wa mwaka 2025
Kumbukumbu ya makala za mwaka 2025 sehemu ya pili desemba 21 2025 21.12.2025 20:05
Karibu katika Makala yetu ya leo Jumapili Desemba 21, wakati tukielekea kutamatisha mwaka 2025, ambapo nakukumbusha baadhi ya makala tulizokuwa nazo mwaka huu, utapata kuskiliza makala kuhusu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, lakini pia sehemu ya makala kuhusu mambo ambayo ni miiko kutoka makabila mbalimbali, na mwisho kabisa nitakuletea burudani ya Muziki kutoka kwake. Mimi ni A LI Bilali bienv...
Kumbukumbu ya Makala za mwaka 2025 sehemu ya kwanza Desemba 14 2025 14.12.2025 20:06
Katika Makala haya mtagazaji wako Ali Bilali anakukumbusha baadhi ya makala zilizoruka hewani katika mwaka 2025 ikiwa ni sehemu ya kwanza.
Similar podcasts
Replaio is not a podcast publisher; show names, artwork and audio belong to their authors and are distributed through public RSS feeds.