radiorahma

RadioRahma

Society SW ↓ 186 episodes

Tutakuwa tunaweka makala ya mada mbali mbali katika mtandao wetu wa podcast yetu. Karibu sana

Author

radiorahma

Category

Society

Podcast website

www.radiorahma.co.ke

Latest episode

Nov 27, 2023

Where to listen?

Podcasts in the app Replaio Radio Coming soon

Podcasts are coming to the app soon. Install now and be the first to see a whole new take on podcasts

Get it on Google Play Install for free Android 5M+ downloads · 4.8 rating iOS soon

Episodes

STORY YANGU NA MWENYE UMAR SHARIFF 27.11.2023

story yangu na Mwenye Umari

STORY YANGU NA MOHAMMAD ABBAS 13.11.2023

Story Yangu

STORY YANGU NA SALIM MOHAMMED 10.10.2023

Professional diver

STORY YANGU MOHAMMED THABIT 30.09.2023

Kisa cha Ferry ya Mtongwe Kuzama

STORY YANGU NA SWALEH YAHYA 19.09.2023

Vile Mwanabaharia Swaleh Yahya alipata kisanga akiwa baharini na ndugi yake na Mtalii

STORY YANGU NA MURAD SWALEH 13.09.2023

Vile kijana Murad Swaleh aliingilia Dawa za Kulevya tokea utotoni na kueza kujitoa baadae

STORY YANGU NA CHARITY CHIGULU 08.09.2023

Vile Mwanahabari alipoteza macho yake kwa ugonjwa unaoitwa Glaucoma

Nipe Sanitary pads na miti nikupe chupa za plastiki tukabili climate change 08.08.2023

Utunzaji wa mazingira umekua changamoto kubwa sana kote ulimwenguni kwani mabadiliko ya hali ya hewa imeathiri vigezo vingi katika jamii ikiwemo afya, hewa safi, maji safi ya kunywa,chakula na makazi salama.   Kufuatia hali hio wanafunzi katika shule ya Salex Transition Academy iliyoko eneo la Mtongwe kaunti ya Mombasa wamejitosa katika kukabili mabadiliko ya tabia nchi,kwa kutumia mbinu ya kubadi...

WANAWAKE WATUMIA TEKNOLOGIA KUJIIMARISHA KIUCHUMI 07.08.2023

Licha ya idadi ya wanawake katika taalum ya teknologia kuwa ndogo ikilinganishwa na idadi ya wanaume, wanawake wameonekana kupambana ili kukabiliana na tofauti hiyo. Ripoti kutoka benki kuu ya dunia inaonyesha kuwa wanawake wako chini ya thuluthi moja ya wafanyikazi ulimwenguni katika nyanja zinazohusiana na teknolojia. Ambapo wanashikilia asilimia 28 ya kazi zote za kompyuta na hisabati, na asili...

Mtiririko wa taka baharini, tishio la kuangamia kwa viumbe vya bahari 15.05.2023

Makala haya yanazungumzia kuhusu uchafuzi wa bahari hasa katika eneo la Mbuyuni-Mji wa Kale kaunti ya Mombasa. Eneo hilo limeathirika na maji taka yanayotoka katika nyumba zinazopakana na ufuo wa bahari. Makala haya yametayarishwa na Ruth Keah.

Challenges of teenage pregnancy facing girls with mental disability. 25.04.2023

17-year-old Jane is among the children with mental disabilities who were molested and impregnated. Jane is currently raising a three-month-old baby boy. By Rose Tawa.

Wakulima Wanavyokabiliana na Afya ya Akili Inayosababishwa na Climate Change 03.04.2023

Mabadiliko ya Tabia Nchi yameathiri sana wakulima na wafugaji hatua inayo wafanya wengi kukumbwa na tatizo la afya ya Akili. Kufuatia hatua hio sasa baadhi ya wakulima wanajizatiti kukabiliana na Afya ya Akili Inayosababishwa na mabadiliko hayo. Sasa wakulima hao,wamejitosa katika ufugaji wa nyuki na vipepeo,huku wengine wakifanya biashara ndogo ndogo za kukimu mahitaji ya familia. Athuman Luchi ,...

Kumaliza Dhulma za Mtandao Hatua kwa Hatua 17.03.2023

Makala haya yanazungumzia kuhusu hatua ambazo zimepigwa na wadau mbalimbali kuhakikisha kuwa dhulma za mtandaoni zinaripotiwa na wahusika kuchukuliwa hatua za kisheria. Yametayarishwa na Ruth Keah.

Ujangili wa viumbe vya baharini 09.03.2023

Makala haya yanazungumzia kuhusu ujangili unaofanyiwa viumbe vya baharini. Yametayarishwa na Ruth Keah.

Teknolojia ya Rangi Katika Kukabiliana na Uhalifu Mombasa 07.03.2023

Makala haya yanazungumzia kuhusu mbinu ya Rangi ambayo wanabodaboda kaunti ya Mombasa wanatumia kutofautisha sehemu wanazohudumu kama njia moja ya kukabiliana na visa vya uhalifu. Makala yametayarishwa na Ruth Keah.

Ushirikiano unavyosaidia kupambana na mbinu za uvuvi haramu Shimoni-Kwale. 06.03.2023

Makala haya yanazungumzia kuhusu juhudi za mashirika mbalimbali ambayo yamekuja pamoja kukabiliana na uvuvi wa kutumia mbinu haramu katika eneo la Shimoni Kwale. Yametayarishwa na Ruth Keah.

Mti Wa Kukabiliana Na Mabadiliko Ya Tabia Nchi Katika Kila Boma. 02.03.2023

Ukataji wa miti kiholela umesababisha mabadiliko ya tabianchi,kiangazi,mmomonyoko wa udongo,mafuriko na ongezeko la hewa chafu hatua inayochangia athari mbali mbali kwa jamii. Kufuatia mabadiliko hayo ya tabia nchi,sasa jamii imejitokeza kuja na mbinu mbali mbali za kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabia nchi. Makundi ya wanawake na vijana katika kaunti ya kwale yanaendeleza mpango wa upanzi...

Uhifadhi Wa Mazingira Umesababisha Kujengwa Kwa Mkahawa Unaovutia Watalii Dabaso. 02.03.2023

Makala haya yanazungumzia kuhusu jamii ilivyoungana kulinda mazingira hasa mikoko katika eneo la Mida Creek Dabaso. Hatua iliyowafanya kujenga mkahawa juu juu ya mikoko na kwasasa mkahawa huo umekuwa kivutio kikubwa cha watalii kutoka humu nchini na hata nje ya nchi. Mtayarishi ni Ruth Keah.

Watu wenye ulemavu wanavyokabili climate change 01.03.2023

Mabadiliko ya tabia nchi yanazidi kuathiri kila mtu kila siku,kufuatia hayo watu wenye ulemavu wamejikita katika mbinu mbali mbali za kukabiliana na mabadiliko hayo ya tabia nchi jijini Mombasa. Mwanahabri wetu Nuru Mwalimu ametuandalia makala yanayosimulia juhudi za watu wenye ulemavu katika kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi.

Wanahabari wa Radio Wanavyopambana na ongezeko la habari za Kupotosha 13.02.2023

Makala haya yanazungumzia kuhusu juhudi mbalimbali ambazo wanahabari wa Radio wanafanya kuhakikisha kuwa habari wanazopeperusha hewani ni za uhakika. Yametayarishwa na Ruth Keah

Soka inavyotumika kukabili mimba za mapema Kilifi 04.02.2023

Kaunti ya Kilifi katika miaka ya hivi karibuni imetajwa kuwa Moja wapo ya kaunti zinazoongoza Kwa idadi kubwa ya wasichana wanaopata mimba za mapema nchini. Takwimu kutoka kwa mfumo wa taarifa za afya nchini yaani Kenya Health Information System zikionyesha kuwa jumla ya wasichana 4,909 walio na umri wa kati ya miaka 15-18 walipata mimba katika kipindi Cha mwezi Januari Hadi Agosti Mwaka 2021. Na...

Kifafa Siyo Uchawi 31.01.2023

Kifafa ni ugonjwa wa ubongo unaosababisha mtu kupoteza fahamu kwa muda. Ugonjwa huu unaweza kumsababishia mtu kufanya vitendo visivyokuwa vya kawaida kama vile kuanguka, kufifitika na hata baadhi ya wagonjwa kutojielewa. Kulingana na takwimu kutoka kwa shirika la afya dunia WHO, takriban watu milioni 50 duniani wanaugua maradhi haya, na kuyafanya kuwa miongoni mwa maradhi maarufu zaidi ya ubongo d...

Uji Wa Chekechea 27.01.2023

Makala haya kuhusu Uji wa chekechea yametayarishwa na Baya Kitsao.

Saratani Ya Matiti Sio Kifo, Inatibika. 17.01.2023

Idadi kubwa ya wanawake wenye saratani ya matiti maeneo ya vijijini wamezongwa na kasumba kwamba saratani ya matiti ni kifo na sio rahisi kwa mgonjwa kupona. Ili kufutilia mbali kasumba kuwa saratani ya matiti ni kifo,nilifanikiwa kufanya mahojiano na Anna Nyambura ambaye alipona saratani ya matiti baada ya kupata matibabu humu nchini pamoja na Daktari Riyaz Kasmani ambaye ni mtaalamu wa ungojwa w...

Habari ghushi kuhusu corona 11.01.2023

Makala ya habari ghushi kuhusu Corona ambazo zilikuwa zikisambaa kuwa madaktari wa kienyeji walikuwa wakitibu virusi vya Corona. Imetayarishwa na Baya Kitsao.

Listen to the RadioRahma podcast in Replaio

Radio and podcasts in one app - free, with no sign-up. Install today and do not miss the launch

Get it on Google Play

Replaio is not a podcast publisher; show names, artwork and audio belong to their authors and are distributed through public RSS feeds.