Sabai na Alexa

Bongo Bila Borders

Society SW ↓ 14 episodes

Karibu kwenye Bongo Bila Borders — podcast inayozungumzia mambo yanayogusa tamaduni, imani, afya, mtindo wa maisha, mahusiano ya kimataifa, na kadhalika! 💥Tunavunja stereotypes, tunajenga madaraja ya tamaduni, na tunashiriki hadithi halisi!🎧 Kipindi kipya kila wiki (Alhamisi)Follow, share na ujiunge🔉Tunapeleka Bongo duniani kote!💫#BongoBilaBorders 🌍#Kiswahilikitukuzwe #Kiswahilikienee

Author

Sabai na Alexa

Category

Society

Podcast website

linktr.ee

Latest episode

Nov 27, 2025

Where to listen?

Podcasts in the app Replaio Radio Coming soon

Podcasts are coming to the app soon. Install now and be the first to see a whole new take on podcasts

Get it on Google Play Install for free Android 5M+ downloads · 4.8 rating iOS soon

Episodes

LUGHA NA UTAMBULISHO 27.11.2025

Je, lugha unayozungumza ndiyo kitambulisho chako? 🎙️ Katika Bongo Bila Borders Episode 13 tunaizungumzia lugha kama pumzi ya utambulisho, kama mwanga unaoangaza njia mpya, na kama mlango unaoweza kufunguka unapozungumza zaidi ya lugha moja. Tunagusia namna maneno yanavyoweza kukuinua, kukutambulisha na kukupa nafasi ambazo wengine hawazifikii kwa urahisi. Lugha ni nguo tunazovaa, ni muziki tunaoub...

SAFARI 30.10.2025

🌍Kwa wengi huko Magharibi, “Safari” ni adventure; picha za simba, tembo na milima mikubwa. Lakini kwetu Waafrika, ‘Safari’ ni zaidi ya hili. Bongo Bila Borders inavunja mipaka ya tafsiri, tukizungumza maana halisi ya Safari kutoka mtazamo wa Kiafrika. 🎙️ Sikiliza sasa Safari ipo hewani! #BongoBilaBorders #Safari #AfricanPerspective #HadithiZaKwetu

FOOD/CHAKULA 23.10.2025

🇹🇿🍲 Bongo Bila Borders inakuletea ladha halisi za Afrika Mashariki! Kutoka kwa mitaa yenye pilipili kali ya Dar es Salaam hadi vibanda vya chakula vinavyochemka usiku kucha, tunachunguza chakula, tamaduni, na watu wanaofanya jiji hili kuwa kitovu cha ladha barani Africa. 🌍🔥 #BongoBilaBorders #DarEats #ChakulaChaBongo #EastAfricanFlavors #TanzaniaVibes

MUONEKANO | VIWANGO VYA UREMBO 16.10.2025

Katika kipindi hiki, tunachambua tofauti na kufanana kwa viwango vya urembo kati ya Marekani na Tanzania/Mashariki ya Afrika. Ni nani anayeamua nini ni "urembo"? Je, mitazamo ya kijamii, historia na utamaduni vina athari gani kwenye mwonekano? Usikose! #BongoBilaBorders #Urembo #Mwonekano #PodcastYaKiswahili #EastAfricaMeetsUSA #SwahiliPodcast

Transportation/Usafiri 09.10.2025

🚆✈️ Episode 9 imewasili! Leo kwenye #BongoBilaBorders tunajadili usafiri — kutoka 🇹🇿 SGR na TRC hadi 🇺🇸 Amtrak, Greyhound Bus, na American Airlines! 🚍✈️ Je, unadhani mfumo wa usafiri wa Marekani ni bora zaidi kuliko wa Tanzania? Au tunapaswa kujivunia maendeleo ya reli mpya na huduma za #AirTanzania? 🇹🇿✨ 🎙️ Sikiliza mjadala wetu kuhusu changamoto, teknolojia, na tofauti za kitamaduni katika kus...

Burudani/Entertainment 02.10.2025

🎙️ Bongo Bila Borders, Episode ya 8! Leo tunazungumzia burudani 🌍🎶🎬—tukiangalia tofauti na mfanano kati ya Tanzania 🇹🇿 na Marekani 🇺🇸. Kuanzia muziki wa Bongo Flava na Hip-Hop hadi matamasha kubwa na starehe za mitaani, tunauliza: nini kinatufanya tufanane na wapi tuna tofauti kubwa? Karibu kwenye mazungumzo haya yenye ladha ya kipekee ya burudani bila mipaka! #Bongobilaborders #bongo #swahili...

Sherehe za Kitamaduni/Cultural Celebrations 25.09.2025

Sherehe si tu burudani, bali ni kioo cha tamaduni na historia zetu. Katika sehemu hii, tunachunguza namna jamii zetu husherehekea ndoa, siku za kuzaliwa, na Krismasi—tukigusia tofauti na mfanano kati ya Tanzania na Marekani. Tunazungumzia mila na desturi zinazohusiana na harusi, kuanzia ngoma za jadi na vyakula maalum, hadi changamoto na furaha zinazokuja na kuanzisha familia mpya. Pia tunaangazia...

Afya ya Akili/Mental Health 18.09.2025

🎧 "Ukiumia Kimoyoni, Unasema au Unanyamaza?" Episode mpya imetoka! Sasa inapatikana kwenye Spotify na Apple Podcasts – tafuta "Bongo Bila Borders" au tumia Linktree kwenye bio. Katika episode hii maalum kwa ushirikiano na @mambo_vipiinitiative kupitia kampeni ya #MwanumeNiMtu, tunazungumza kwa undani kuhusu afya ya akili kwa wanaume nchini Tanzania na Afrika Mashariki. Tunaang...

Elimu/Education 11.09.2025

🎓🌍 Elimu si mashindano — ni safari ya maarifa. Katika episode hii ya #BongoBilaBorders, tunavuka mipaka ya kijiografia na kielimu kwa kuangazia mifumo ya elimu ya Tanzania 🇹🇿 na Marekani 🇺🇸. Tunasikia kutoka kwa vijana waliopitia au wanaopitia elimu katika nchi hizi mbili — wakishare uzoefu wao, changamoto, mafanikio na yale wanayoyaona kama tofauti au mfanano katika safari ya kujifunza. 🗣📚 🧠...

Lugha na Mawasiliano 04.09.2025

🌍 #BongoBilaBorders Ep. 4 iko hewani! 🔥 Katika kipindi hiki tunazungumzia lugha na mawasiliano— nguzo kuu zinazotuunganisha, kutufundisha, na kutuvusha mipaka ya tamaduni na mataifa. Je, lugha imeshawahi kuwa daraja au kizuizi katika safari yako ya maisha? Tushirikishe! 💬 Tunaangazia namna ya kuwasiliana kwa ufanisi katika mazingira mapya, changamoto za lugha ya pili, na nafasi ya utambulisho k...

Bongo Bila Borders Ep 3 | Health and Wellness 28.08.2025

Discover fresh insights in our new episode: "Health and Wellness." Join us as we explore practical tips, expert advice, and inspiring stories to help you prioritize your health and live your best life. Tune in and take the first step towards a healthier, more balanced you! #BongoBilaBorders #HealthAndWellness #WellnessJourney

Bongo Bila Borders Ep. 2 | Family & Traditions 21.08.2025

Karibu kwenye Episode ya pili ya Bongo Bila Borders Podcast! 🎙️✨ Tunajadili kuhusu "Familia na Desturi" 👨‍👩‍👧‍👦🌿 – umuhimu wa familia na mila zinazotufanya tukae pamoja na kuendeleza urithi wetu. 🏡✨ Usikose kujifunza kutokana na mazungumzo haya na kushiriki nasi! 📚🤝 #BongoBilaBorders #FamiliaNaDesturi #Podcast

Bongo Bila Borders Introduction Ep. 1 14.08.2025

🔥 EPISODE YA KWANZA IMEWASILI! 🔥 Karibu kwenye ulimwengu wa #BongoBilaBorders – ambapo tunavunja mipaka ya fikra, Imani, afya, utamaduni, na kadhalika! 🌍🇹🇿 👀 Usikose kutazama na kusikiliza Episode hii – link kwenye bio! Episode mpya kila Alhamisi #BongoFlava 🔊 #MadeInTanzania 🇹🇿 #EastAfricaToTheWorld 🌍 #KwaSasaNiMoto 🚀 #bongo #tanzania #kenya #eastafrica #africa #travel 

Real Talk. No Borders. | Welcome to Bongo Bila Borders Podcast 07.08.2025

🚨 EPISODE YA KWANZA ya Bongo Bila Borders inakujia Alhamisi ijayo 14/8/25! 🌍🎙 Je, uko tayari kusikia sauti za Afrika bila mipaka? 
Tag rafiki unayejua angependa kusikiliza! 🎧🔥 #PodcastMpya #BongoBilaMipaka #bongó #bongo #tanzania #mipaka #sautiyakiswahili #kiswahili #utamaduni #UtamaduniWaBongo

Listen to the Bongo Bila Borders podcast in Replaio

Radio and podcasts in one app - free, with no sign-up. Install today and do not miss the launch

Get it on Google Play

Replaio is not a podcast publisher; show names, artwork and audio belong to their authors and are distributed through public RSS feeds.