Innocent Ngaoh
Maisha Ni Kuthubutu Podcast
Podcast mahususi kujifunza mambo ya maendeleo binafsi (Personal development/Self-improvement), maisha, mahusiano, saikolojia na elimu ya fedha. Ni podcast ya kipekee ambayo utajifunza mambo mengi ambayo yanatokea kwenye maisha yetu ya kila siku, kila kitu kinachozungumzwa hapa kina uhalisia na siyo nadharia ya kusadikika. Kuwa sehemu ya familia hii na uhakika hautakuwa kama ulivyokuwa mwanzo, podcast ambayo itaboresha na kuongeza thamani ya maisha yako mara 10X au zaidi. Hakikisha unafollow ili uwe wa kwanza kupata episode mpya kila wiki.
Author
Innocent Ngaoh
Category
Podcast website
Latest episode
Apr 18, 2026
Where to listen?
Podcasts in the app Replaio Radio Coming soonPodcasts are coming to the app soon. Install now and be the first to see a whole new take on podcasts
Episodes
Njia 04 Za Kugundua Kipaji Chako...! 09.08.2023 12:50
Umebarikiwa zawadi ya kipaji ndani yako pasipo kujali unajua au hujui, lakini una kipaji umebeba ndani yako. Kwahiyo Ondoa mtazamo kuwa hauna kipaji na Upo Upo tu au kuna kundi la watu wachache ndiyo wana vipaji na wewe hauna. Hii episode itakusaidia kujibu swali Muhimu “Nitajuaje kipaji changu” kwa sababu njia hizi 04 ni uhakika kujua na kugundua kipaji chako kwa asilimia 100% nakutakia Safari nj...
Jinsi Ya Kuwa Na Muendelezo (Consistency) Ya Kumaliza Kile Kitu Ulichokianzisha...! 02.08.2023 14:07
Utajifunza Siri 04 za kuwa muendelezo kwenye kitu unachofanya pasipo kuishia njiani. Utaweza kujua kwanini kuanza ni Muhimu ila kumaliza kile ulichoanzisha ndiyo Muhimu zaidi. Episode hii Ina kila kitu cha kufanya wewe uwe na muendelezo na siyo kuwa mghairishaji sugu kwa kutomiza kile ambacho umekianzisha. Muendelezo ni mama na baba wa Mafanikio ya watu wote duniani
Tumia Kanuni Ya 80/20 Ili Utimize Malengo Yako Kwa Kishindo....! 24.07.2023 12:59
Ijue kanuni yenye maajabu ambayo itakusaidia kutimiza malengo yako makubwa pasipo kuwa na kisingizo chochote, dakika kumi na mbili za kuijua kanuni hii kazi kwako.
Njia 04 Za Kugundua Kusudi La Kuzaliwa Kwako Hapa Duniani...! 19.07.2023 14:18
Kabla ya kuona hauna thamani au umezaliwa kwa bahati mbaya, ukweli ni kwamba wewe umezaliwa na kusudi ndani yako, Je unajua kusudi la kuzaliwa kwako?
Siri 04 Za Kujua Leo Ili Uishi Maisha Ya Furaha Na Amani Ya Moyo...! 12.07.2023 9:47
Kabla ya kutaka watu wengine wakupe furaha kwenye maisha yako, tambua mtu pekee wa kukupa furaha halisi ni wewe hivyo ni wajibu wako asilimia 100% kujua nini ufanye ili uwe na furaha na amani ya moyo.
Sababu 04 Za Kwanini Unahitaji Ujuzi Wa “Copywriting” Kama Unataka Kuuza Kwenye Mitandao Ya Kijamii. 05.07.2023 12:34
Ujuzi wa Copywriting ni ujuzi Muhimu kuwa nao kama unataka kufanya vizuri kwenye mitandao ya kijamii. Unajiuliza kwanini Netflix wanauza movies zao kuliko makampuni mengine? Unajua kwanini kampuni ya Apple inaongoza kwa mauzo makubwa ya bidhaa zao? Unajua kwanini unanunua bidhaa na kusoma tangazo kwenye mitandao ya kijamii? Ni kwa sababu... Ujuzi wa Copywriting ambao unauza chochote kupitia maandi...
Jinsi Ya Kuwa Mvumilivu Na Kuishinda Hali Ya Kukata Tamaa, Ili Utimize Malengo Yako...! 29.06.2023 11:24
Hata upate sababu milioni za kukata tamaa kwenye maisha yako, jitahidi kutafuta sababu moja ya kusonga mbele pasipo kukata tamaa. Kwa sababu... Kukata tamaa haifanyi maisha kuwa rahisi hata kidogo, ni lazima upambane kwa asilimia 100% kutimiza malengo yako, maana ingekuwa rahisi basi kila mtu anagetimiza malengo yake si ndiyo? Unakumbuka mwaka mpya ulisema huu ndiyo mwaka wa kupiga hatua na kutimi...
Aina 05 Za Marafiki Wa Kuwapiga Chini Ili Uishi Maisha Ya Furaha...? 24.06.2023 13:20
Kuna marafiki ukiwa nao unapoteza furaha ya maisha na unadumaa kwa kutopiga hatua, inawezekana wewe ni shahidi wa hili si ndiyo? Vizuri kwa kujibu ndiyo. Kwahiyo... Una haki ya kuwapiga chini aina fulani ya marafiki siyo ubaya, lakini kwa kujali furaha ya moyo wako na shauku ya kupiga hatua zaidi kwenye maisha yako Hivi... Unajisikiaje rafiki yako wa karibu anakusema vibaya wakati haupo na kukutan...
Siri 05 Za Kujua Ili Uwe Bora Mara 10X Zaidi Ya Ulivyo Sasa...! 20.06.2023 15:53
vuta picha unakuwa bora mara kumi zaidi ya ulivyo sasa ukuwaje? hiyo picha unayopata unaweza kuwa hivyo ni suala la uthubutu na kufanyia kazi ambayo utajifunza kupitia episode hii. kuwa na uhakika utakuwa bora mara 10X zaidi kwa kujua siri ambazo nimekushirikisha siku ya leo.
Njia 04 Za Kujua Ili Kuacha Tabia Ya Kuwaridhisha Watu Wengine...! 14.06.2023 10:50
Tabia au hali ya kutaka kuwaridhisha watu wengine imekuwa sababu kubwa ya kutoishi maisha ya furaha na amani ya moyo. Na unajua hakuna faida yeyote unapata kwa kuridhisha watu wengine si ndiyo? Basi dakika 10 kutoka sasa baada ya Kusikiliza episode hii utaenda kuwa mtu wa kitofauti.
Jinsi Ya Kuacha Tabia ya Kujilinganisha Na Watu Wengine....! 30.03.2023 13:33
Hivi kuna faida yeyote unapata kwa Kujilinganisha Na kutaka kuwa kama watu wengine jinsi walivyo kwenye maisha yako? Kwa sababu... Kujilinganisha ndio sababu ya kupoteza furaha, kukosa amani ya moyo, kuona umechelewa na Hakuna cha maana umefanya. Kumbuka kuwa... Ukitaka kuishi maisha ya mtu mwingine kwenye maisha yako, Je maisha yako atayaishi nani? Umeshapata jibu si ndiyo? Kuna sababu nyingi za...
Mambo 05 Ya Kufanya Ili Uwe Na Matumizi Mazuri Ya Muda Wako...! 20.03.2023 13:58
Tuna masaa 24 ambayo yanatutofautisha kati ya mtu mmoja na mwingine kwa namna ambavyo tunatumia muda. Huna muda wa kupoteza kwa kufanya mambo yasiyo Muhimu na msingi kwako na kuacha kufanya mambo ya msingi na Muhimu kwenye maisha yako. Kwani hujui muda ukienda umeenda na hauna mbadala? Kwani hujui future yako inajengwa na nini unafanya kwenye dakika tano zijazo? Kwani hujui wewe ndiyo unapaswa kut...
Aina Tano (05) Ya Marafiki Ambao Hupaswi Kuwapoteza...! 07.03.2023 15:51
Hivi unajua kuna Marafiki ukiwa nao ni zaidi ya Baraka kubwa maishani pia kuna aina ya Marafiki ukiwa nao ni mwanzo wa kukaribisha majanga. Unajua kwamba... Wewe ni wastani wa Marafiki sita ambao unashinda nao muda mwingi. Hata kama hupendi au hauna marafiki, lakini bado unahitaji watu si ndiyo? Na watu hawa wakiwa na sifa fulani fulani ni Muhimu kuwatunza maana tupo zama tumezungukwa na Marafiki...
Sababu Kuu 04 Za Kwanini Unachepuka...? 22.02.2023 14:40
Hivi unajua kwamba asilimia 20% watu wanachepuka kwenye mahusiano yao, asilimia 30% wapo katika mahusiano ambayo wameyachoka tayari... Asilimia 20% wapo kwenye mahusiano na mume au mke wa mtu, asilimia 15% wapo single lakini wanachepuka na Ex wako. Asilimia 5% wapo single na asilimia 10% tu ndiyo wanafurahia mahusiano yao. Tatizo la kuchepuka ni tatizo kubwa sana ambalo si wanawake au wanaume kiwa...
Faida Za Kuandika ‘TO DO LIST’ Ya Kutimiza Malengo Yako. 15.02.2023 12:29
Umekuwa unashindwa kutimiza malengo yako na kuishia kupoteza hamasa ya kuendelea kupambana kwa kuona haiwezekani? Una malengo makubwa sana ambayo unaona haiwezekani kuyatimiza? Sio kosa lako. Kwa sababu siyo wewe pekee yako ambaye unashindwa kutimiza malengo yako. Lakini... Tatizo kubwa kwa kushindwa kutimiza malengo yako inafanya watu wengi inawezekana Hata wewe unaweka visingizio kuwa siyo mwaka...
Jinsi Akili Yako Inavyofanya Kazi Na Namna Inaweza Kuboresha Maisha Yako. 31.01.2023 17:19
Akili yako inawajibika kupokea, kutunza na kuchakata TAARIFA ambazo zinatoka sehemu mbalimbali za mwili. Akili haipimwi kwa alama za darasani. Akili haipimwi kwa cheo ambacho mtu anapata. Akili haipimwi kwa umri ambao unao. Akili haipimwi kwa kukubalika na watu. Kwa bahati mbaya.... Hakuna sehemu ambayo wanaeleza jinsi gani akili inafanya kazi zaidi ya kukueleza kuwa na fikra au mawazo chanya si n...
Sababu Nne (04) Za Kwanini Unashindwa Kutimiza Malengo Yako. 23.01.2023 18:35
Unaweza kutimiza malengo yako, kama utajua mbinu sahihi ambazo ni chachu ya kutimiza malengo yako. Lakini... Kuna sababu ambazo zinafanya watu wengi washindwe kutimiza malengo yako, inawezekana hata wewe mwaka 2022 ulishindwa kutimiza malengo yako kwa sababu fulani fulani si ndiyo? Kutimiza malengo siyo ajali bali ni mchakato mtalaamu. Kati ya sababu hizi inaweza kuwa chachu ya kushindwa kutimiza...
Tabia Tano (05) Za Kuepuka Ili Utimize Malengo Yako. 16.01.2023 19:05
Tabia Ina nafasi ya moja kwa moja ya wewe kutimiza au kutotimiza malengo yako, kwa bahati mbaya watu wengi wanachukulia poa sana suala la tabia. Ukitazama elimu kuhusu tabia gani zinaleta mafanikio na kutimiza malengo yako kwa kishindo haitolewi kwa ukubwa zaidi katika mazingira ambayo tupo. Unauliza “Innocent” ni kwa namna gani? Swali zuri Mtaalamu. Ni hivi.... Kuna tabia ambazo zilifanya utimize...
Jinsi Kanuni Ya 3K’s Inavyojenga Hatima Ya Maisha Yako. 09.01.2023 13:49
Watu ni hodari wa kupanga mipango kikubwa si ndiyo? Watu ni hodari sana wa kupanga malengo makubwa si ndiyo? Una Kumbuka hata siku ya mwaka mpya ulipanga malengo makubwa na kusema huu ni mwaka wako si ndiyo? Lakini... Watu wengi licha ya kujua kupanga, wanashindwa sehemu mbili ambazo ni; 1. Kuamua/kuthubutu. 2. Kutenda. Hebu fikiria ukiamua kupambania mipango na malengo yako utakuwa wapi? Haitoshi...
Hatua Saba (07) Za Kuzingatia Wakati Unapanga Malengo Ya Mwaka 2023. 02.01.2023 21:33
Kabla ya kusema mwaka 2023 ni mwaka wa wewe kupiga hatua na kufanikiwa kwa kiwango cha juu kwa kutimiza malengo yako. Jiulize mpaka sasa, umeshapanga malengo yako ya mwaka 2023? Au. Unataka kupiga hatua lakini Hakuna hata malengo ambayo umeandika kwenye diary yako, nikuambie haupo “Serious” kabisa. Hebu kuwa Serious kidogo basi... Sababu unakuwa bado hauna malengo, badala yake unakuwa na matamanio...
Mambo Manne (04) Muhimu Ya Kufanya Mwaka 2023 Ili Uwe Mwaka Wa Mafanikio. 28.12.2022 17:46
Fanya yote siku ya leo, lakini hakikisha unasikiliza episode hii. Unajua ni kwanini nakuambia hivyo? Kwa sababu sitaki uwe kwenye kundi la watu ambao mwaka 2023 unakuwa msindikizaji wa watu wengine. Eeeh! Unashangaa ni hivi... Nimezungumzia kitu kinaitwa “High income skills” ambayo ni Muhimu kuijua na utaijua baada ya wewe kusikiliza. Utaelewa “Smart Goals” yaani malengo smart unayajua, utajua kwa...
Maeneo Matano (06) Ya Kuzingatia Ili Ujitambue Kwa Kiwango Cha Juu Kwenye Maisha Yako. 21.12.2022 18:01
Kujitambua ni nini? Kujitambua, ni uwezo wa kujifahamu/kujijua wewe ni nani unapaswa kufanya nini na kwa wakati gani. Usipojitambua wewe ni nani tambua watu ambao wamejitambua kukutumia wewe kutimiza malengo yao, ndoto zao pamoja na maono yao. Kwahiyo... Kujitambua ni wajibu wako wa asilimia 100% siyo kujitambua tu badala yake kujitambua kwa kiwango cha juu. Dhana potofu kudhani kujitambua ni kuwa...
Sababu Sita (06) Za Kwanini Unaweza Ku-move On Kwenye Mahusiano Ambayo Siyo Sahihi. 02.12.2022 23:18
Unajisikiaje mtu ambaye unampenda kwa moyo wote anakusaliti na anakupa visingizio kuwa shetani alimpitia. Hakuna usaliti unafanywa kwa bahati mbaya. Kila siku ni mtu wa kupasha viporo na ex wake kwa kusema toka tuachane umekuwa na umbo namba nane la kibantu... ...toka muachane amekuwa mkaka “Handsome” unasema hapa ndiyo penyewe. Unajua kabisa siyo mtu sahihi kabisa kwako lakini kila siku unang’ang...
Mambo Matano (05) Ambayo Hupaswi Kulazimisha Kwenye Mahusiano. 23.11.2022 16:36
Mahusiano hayawahi kuwa mabaya hata siku moja, shida ni watu ambao wanaingia kwenye mahusiano. Hivi Mahusiano ni nini? Lakini... Hakuna maana rasmi ya mahusiano kwa sababu kila mtu ana tafsiri yake, lakini tafsiri yako ni sahihi au ya kufuata mkumbo. Leo hii imekuwa ni kawaida... Kusema wanaume wote ni mbwa kwa sababu ya mwanaume mmoja kukusaliti kwenye mahusiano. Kusema wanawake wote ni malaya kw...
Jinsi Ya Kushinda Roho Ya Kukata Tamaa Hata Pale Unapopata Hali Ya Kukata Tamaa. 04.11.2022 22:19
Je, umekuwa unakata tamaa kirahisi? Je, umekuwa una pata roho ya kukata tamaa kwenye maisha yako? Je, unaamini huwezi kuendelea tena kwenye kitu unachofanya (Taja kimoyo moyo) na kuona ni bora uache kwa kukatatamaa? Lakini... Kumbuka kukata tamaa haifanyi maisha yako kuwa rahisi hata kidogo. Episode hii itaenda kuvunja kila kitu na roho ya kukata tamaa haitakuwa sehemu ya maisha yako tena. Kukata...
Similar podcasts
Replaio is not a podcast publisher; show names, artwork and audio belong to their authors and are distributed through public RSS feeds.