Innocent Ngaoh
Maisha Ni Kuthubutu Podcast
Podcast mahususi kujifunza mambo ya maendeleo binafsi (Personal development/Self-improvement), maisha, mahusiano, saikolojia na elimu ya fedha. Ni podcast ya kipekee ambayo utajifunza mambo mengi ambayo yanatokea kwenye maisha yetu ya kila siku, kila kitu kinachozungumzwa hapa kina uhalisia na siyo nadharia ya kusadikika. Kuwa sehemu ya familia hii na uhakika hautakuwa kama ulivyokuwa mwanzo, podcast ambayo itaboresha na kuongeza thamani ya maisha yako mara 10X au zaidi. Hakikisha unafollow ili uwe wa kwanza kupata episode mpya kila wiki.
Author
Innocent Ngaoh
Category
Podcast website
Latest episode
Apr 18, 2026
Where to listen?
Podcasts in the app Replaio Radio Coming soonPodcasts are coming to the app soon. Install now and be the first to see a whole new take on podcasts
Episodes
Je Unapata Hali Ya Kukata Tamaa? Sikiliza Episode Hii Itakupa Mwanga Na Hamasa….! 18.04.2026 10:09
Kama unapumua basi unayo nafasi ya kubadili maisha yako, usichoke endelea kupambana. Sikiliza episode Hii ujifunze mengi
Je Unataka Kuwekeza Katika Hisa? Pata Elimu Ya Hisa Hapa-Part 01 14.04.2025 8:29
Je wewe ni mwanahisa na una hisa zozote unamiliki katika soko la DSE? Kama jibu lako ni hapana. Basi… Ndio muda sahihi wa kuanza kuwekeza katika hisa ili ufaidikie na faida kubwa mbili; 1. Ongezeko la mtaji (Capital gain). 2. kupata gawio (Divindend). Lakini… Kabla ya kutaka kuwekeza katika hisa hakikisha unakuwa na maarifa sahihi kuhusu hisa ili usije ukapigwa za uso. Bahati nzuri ni kwamba… Podc...
Siri 02 Za Kuanza KUJIUZA Ili Ufanikiwe Kwenye Maisha Yako Ni Kujiuza…! 18.03.2025 7:07
Jifunze mbinu za Kujiuza kupitia episode ili upige hatua kwenye maisha yako. Sikiliza mpaka mwisho episode hii.
Tumia Kanuni Ya 40/20/10/10/10/10 Kupanga Bajeti Ya Fedha Zako…! 15.03.2025 10:46
Kanuni ya 40/20/10/10/10 itakusaidia kuanza kupanga bajeti ya fedha zako kwa mafanikio. Sikiliza episode hii mpaka mwisho kujifunza.
Siri 02 Za Kuwa Mwekaji Mzuri Wa Akiba Ya Fedha Zako…! 30.01.2025 6:51
Upo tayari kujua Siri za kuwa mwekaji mzuri wa akiba za fedha zako? Basi sikiliza episode hii mpaka mwisho
Sehemu 06 Za Kuanza Kuwekeza Fedha Zako Kwa Mafanikio…! 26.01.2025 15:22
Hizi sehemu 06 ambazo unaweza kuanza kuwekeza akiba yako ili ikuzalishie zaidi.
Jinsi Ya Kuweka Akiba Kwa Mafanikio Mwaka 2025…! 21.01.2025 11:16
Je unataka kujua kwa namna gani unaweza kuweka akiba kwa mafanikio mwaka 2025? Episode hii itakueleza mbinu 04 ambazo ukianza kuzifanyia kazi basi utakuwa mwekaji mzuri wa akiba. Usikubali mwaka 2025 uishe bila ya kuweka akiba. Kwa sababu… Kama wao wanaweza kwanini wewe ushindwe? Jibu kwamba unaweza kama utafanyia kazi maarifa ambayo utajifunza katika episode hii. Chukua hatua sasa
Tumia Kanuni Ya 40/30/20/10 Kupanga Bajeti Ya Fedha Zako...! 13.08.2024 8:32
Anza kuelekea uhuru wako wa kifedha Kwa Kuanza Kupanga Bajeti Ya Fedha Zako Kwa kutumia Kanuni ya 40/30/20/10.
Maneno 04 Ambayo Ukianza Kutumia Leo Yatafanya Ukubalike Zaidi...! 30.07.2024 9:29
Maneno Yako Yana nafasi kubwa ya kufanya Ukubalike au ukataliwe kwenye eneo lolote. Sikiliza episode hii ujue maneno 04 Ambayo Yatafanya Ukubalike Zaidi.
Jinsi Ya Kuweka Akiba Ya Fedha Zako...! 23.07.2024 12:17
Anza kuweka akiba Leo kama unajali kesho na future Yako. Sikiliza episode hii mpaka MWISHo ujue kila kitu Kuhusu namna ya kuweka akiba
Tumia Kanuni Ya 70/20/10 Kulipa MADENI Yako Na Kuweka Akiba Ya Fedha Zako...! 16.07.2024 8:11
Je Unataka Kulipa MADENI Yako na wakati huohuo unaweka akiba ya fedha zako? Basi sikiliza episode kujua Kanuni ya 70/20/10
Tumia Kanuni Ya 50/10/10/10/10/10 Kupanga Bajeti Ya Fedha Zako...1 10.07.2024 9:54
Kanuni ya 50/10/10/10/10/10 itakusaidia Kuanza Kupanga Bajeti Ya Fedha Kiurahisi. Anza kuitumia Leo.
Hivi Unajua Wewe Una Nguvu Ya Sumaku Ndani Yako...? 04.07.2024 5:07
Inakushangaza kusikia kauli ya kuwa "WEWE NI SUMAKU" sikiliza episode hii ujifunze na uje ukweli wote.
Sehemu Tatu (03) Ambazo Hupaswi Kuweka Akiba Yako Ya Malengo Ya Muda Mrefu...! 30.06.2024 7:43
Kama unajali kesho Yako na kuelekea uhuru wa kifedha basi suala la kuweka akiba ni lazima. Lakini.... Kuna makosa ambayo wengi hufanya Katika uwekaji wa akiba zao na pengine na wewe unafanya. Akiba ya malengo ya muda mrefu haipaswi kuwekwa kwenye; 1. Kibubu, 2. Taasisi za kibenki, 3. Chini ya godoro 4. Mitandao ya simu. Unajiuliza kama sipaswi kuweka huku niweke wapi akiba zangu? Swali zuri, ni hi...
Tumia Kanuni Ya 60/10/10/10/10 Kupanga Bajeti Ya Fedha Zako. 02.06.2024 9:22
Haijalishi wewe ni mpambanaji kiasi gani kama hauna msingi mzuri wa elimu ya fedha. Basi kuna uwezekano mkubwa utapambana sana ila kiuchumi inakuwa vigumu kukua. Kwa sababu... Umekosa nidhamu ya pesa ambayo ni muhimu kuwa nayo kama unataka kufanikiwa katika eneo la fedha. Kwahiyo... Ukianza kupanga bajeti ya fedha zako inakuwa rahisi kurekodi matumizi yako ya siku, wiki, mwezi, miezi n.k. Kwa kuju...
Sifa 04 Zinazonyesha Wewe Ni MNYENYEKEVU Kwenye Maisha Yako...! 05.05.2024 10:57
Hivi unajua nguvu ya unyenyekevu kwenye maisha yako? Basi fahamu sifa 04 za mtu mnyenyekevu kupitia episode hii.
Njia Rahisi Ya Kujenga Uwezo Wa Kujiamini Ndani Ya Dakika 3...! 19.04.2024 6:27
Unahitaji sana kujiamini kuliko unavyofikiri, episode ya dakika 6 itakusaidia kuongeza uwezo wa kujiamini kwa njia rahisi kabisa.
Kama Haupendi Kusoma VITABU Fanya Hivi Kupata Maarifa Kiurahisi...! 14.04.2024 8:26
Upende au usipende unahitaji sana maarifa na taarifa kupitia kujifunza, umejaribu kusoma vitabu umeshindwa? Basi episode hii itakusaidia kujua sehemu gani rahisi unaweza kupata maarifa kiurahisi kwenye eneo lolote na upige hatua kwenye maisha yako.
Namna Rahisi Ya Kujenga NIDHAMU YA KAZI Na Ufanikiwe Zaidi Maishani...! 09.04.2024 7:17
Hivi unajua Nidhamu ya kazi ndiyo inatofautisha wafanyakazi makini na wafanyakazi wakawaida. Kiwango cha mafanikio yako inategemea Sana kiwango cha nidhamu binafsi.
Zijue Aina 05 Za Nidhamu Zenye Kuleta Mafanikio Makubwa...! 02.04.2024 10:28
Hivi unajua Kiwango Cha Mafanikio Yako inategemea sana na Kiwango Cha Nidhamu Yako. Kupitia episode hii utajua Aina Tano za Nidhamu Zenye Kuleta matokeo Makubwa kama utazingatia na kuziishi kwenye maisha Yako. Unahitaji sana kuwa na Kiwango kikubwa Cha Nidhamu. Sikiliza na uanze kufanikiwa Kwa kuwa utaanza kuishi Kwa Nidhamu kwe ye maisha Yako.
Jinsi Ya KUJITAMBULISHA DM Au Kwenye Text Kwa Mara Ya Kwanza Unapomtafuta Mtu Yoyote. 14.03.2024 8:13
Kama wewe ni wale ambao unawatumia watu DM au text za kawaida Kwa Mara ya Kwanza kama vile "Niaje, Mambo, Vipi, Shwari Mkuu, Harakati Ni Vipi Kiongozi, Mrembo mambo n.k" Tambua unakosea sana Tena sana hiyo siyo Kujitambulisha badala ni salamu tu. Swali linakuja unajua jinsi ya Kujitambulisha mtu akiona DM au text Yako apate kuijibu bila kupuuzia. Unahitaji kuzingatia maeneo matano wakati unamuandi...
Jinsi Ya Kuamini UWEZO Wako Na Kuamini Katika Wewe...! 05.03.2024 10:03
Umekosa sapoti au kushikwa mkono Katika kazi zako au mapambano Yako? Unapitia hali ya kukataliwa na kuona hakuna anayejua thamani Yako Wala Kuamini Katika Wewe? Unapitia hali ya kukata tamaa kwenye kitu unachofanya kwa kuwa matokeo yamechelewa. Unatamani kuwa Bora ila hujui ufanye Nini? Kuna watu wanakurudisha nyuma na kutoamini katika mapambano Yako ila unashindwa kuwaondoa kwa sababu yoyote Ile....
Jinsi Ya Kumla TEMBO Mzima Bila Kubakisha Hata Mfupa...! 28.02.2024 8:22
Kama unataka Kutimiza Malengo yako Unahitaji kwanza kula Tembo mzima bila kumbakisha mfupa wala mkia. Sikiliza episode mpaka mwisho na ujifunze. Kula Tembo nzima Tumia mbinu ya SYSTEMATIC APPROACH
Ijue Kanuni Ya ATM Na Ubadili Maisha Yako...! 21.02.2024 9:55
Hiyo siyo ATM ya kutoa Hela, ni tofauti na ATM unazozijua kwa sababu Kanuni ya ATM itakusaidia kujua maeneo matatu ya kuboresha Maisha Yako kwa asilimia 100% Sikiliza na ujifunze.
Jinsi Ya Kuacha Tabia Ya Kuwasema Watu Wengine Vibaya...! 15.02.2024 9:29
Umekuwa na tabia ya kuwasema watu wengine kwa namna yoyote kwenye maisha yao? Hii ni tabia mbaya, lakini hujui ufanye nini ili uache tabia hii ya kimaskini na ni tabia mbaya. Inawezekana siyo wewe ila kuna watu wa karibu yako wana tabia hii, basi kupitia maarifa haya utaweza kuwa chachu ya kubadilika kwake. Huwezi kumbadilisha mtu ila unaweza kuwa sababu ya yeye kubadilika kama atakuwa tayari kuba...
Similar podcasts
Replaio is not a podcast publisher; show names, artwork and audio belong to their authors and are distributed through public RSS feeds.