Maranga Amos Atima
Kiswahili Kitukuzwe - Afrika Imara (Swahili Podcast)
Karibu kwenye podcast inayokupa maarifa ya teknolojia, sayansi na majibu ya maswali ya maisha kwa Kiswahili! Tunaangazia maendeleo ya kisasa, kuanzia akili unde yaani AI hadi ukubwa wa ulimwengu. Kila wiki, tunashirikisha uchambuzi wa habari za teknolojia, ufafanuzi wa dhana ngumu, na ushauri wa kivitendo. Jiunge nasi kupata elimu na burudani kupitia lugha yenye utajiri na asili ya Kiafrika. Kiswahili Kitukuzwe kwani ni lugha yetu na urithi wetu#TeknolojiaAfrika #SayansiKiswahili #AfrikaImara
Author
Maranga Amos Atima
Category
Podcast website
Latest episode
Jun 15, 2026
Where to listen?
Podcasts in the app Replaio Radio Coming soonPodcasts are coming to the app soon. Install now and be the first to see a whole new take on podcasts
Episodes
Zebaki - Sayari Ambayo NASA Ilihangaika Kuiifikia Kwa Miaka 30! 15.06.2026 13:05
Je, ulijua kwamba sayari iliyo karibu zaidi na Jua ndiyo mojawapo ya sehemu ngumu zaidi kufikiwa na binadamu? Katika video hii tunachunguza siri za Zebaki (Mercury) — sayari ya kwanza katika mfumo wa Jua.
Newton Alikosea? Jinsi Einstein Alivyobadilisha Maana ya Gravity Mwaka 1915 12.06.2026 4:31
Kwa zaidi ya karne mbili, maelezo ya Newton ndiyo yaliyotawala sayansi. Kisha mwaka 1915, Albert Einstein akaja na wazo lililobadilisha kila kitu: gravity si nguvu ya kuvutana — ni kupinda kwa nafasi na wakati (space-time). 🌌Kwenye video hii utajifunza kwa mifano rahisi: mfano maarufu wa shuka na mpira, jinsi Jua linavyopindisha njia ya Dunia, uthibitisho wa kupatwa kwa Jua wa mwaka 1919, na kwa...
Kwa Nini Kila Kitu Huanguka CHINI? Siri ya Gravity Iliyowashinda Wanasayansi 11.06.2026 4:22
Ukitupa jiwe juu, kwa nini LAZIMA lirudi chini? 🌍Kwenye video hii utajifunza siri ya nguvu isiyoonekana inayotawala kila kitu — kuanzia tufaha la Newton hadi "space-time" ya Einstein. Na mwishoni, swali moja kubwa ambalo hata wanasayansi wa leo hawajapata jibu lake.
Acha Niseme - (ep3) - Je, unajua kwa nini jina lako la kwanza ni la kingereza au kikristo? 17.05.2026 35:03
Chanzo cha waafrika kukua na jina la kwanza la kingerezea ni ipi? Video hii inachambua usuli wa tabia hii ili kukufahamisha historia ambayo wengi wetu hatujapata kuelewa. Tazama ujifunze mengi.
Acha Niseme - (ep2) - Ujio wa Dini kwenye Ukanda wa Afrika Mashariki 10.05.2026 20:55
Dini hizi ambazo zimechukua sehemu kubwa ya maisha yetu, zilitoka wapi? Video hii inagusia ujio wa dini ya kiislamu na kikristo kwenye ukanda wa East Africa. Tazama kisha ushiriki mawazo yako. Asante
Acha Niseme - Utangulizi 27.04.2026 5:07
Karibu kwenye msururu mpya wa vipindi vya uchambuzi wangu wa maudhui tofauti tofauti katika maisha yetu. Natumai utafurahia
maana ya Conspiracy theory 25.04.2026 1:48
Je, maana ya Conspiracy theory ni nini?
Angahewa Ya Dunia 31.03.2026 15:54
Elewa kuhusu matabaka tofati ya dunia na kazi tufauti zinazofanya kufanikisha maisha kwenye sayari hii yetu.
Sonic boom ni nini? 18.03.2026 21:21
Tazama video hii ujue mengi
Mauaji ya Kiongozi Mkuu wa Iran Yalifanikiwa Kwa Sababu ya Matumizi ya AI - Akili Unde 06.03.2026 4:45
Ikiwa hujakuwa ukifuatilia vita vya Marekani pamoja na Israeli dhidi ya Iran, huwenda usijue matukio ya kipekee ambayo yametokea kwenye vita hivi. Kwa mara ya kwanza, akili unde ambayo tunaitumia kila kuchao, ilitumika kufanya mashambulizi dhidi ya Iran. Tazama video hii ujue mengi
Maelezo ya Muundo wa Dunia 02.03.2026 18:34
Je, unajua kile ambacho kinaendela chini ya ardhi unayoikanyaga? Tazama video hii ili uelewe muundo wa dunia hii yetu.
Artemis II - Binadamu Wanarudi Mwezini 25.02.2026 15:25
Lakini Je, Roketi ya NASA Iko Tayari?
Tanuru la Moto Lisilozima 21.01.2026 8:19
Kwa miaka bilioni nne na nusu, vita isiyoisha imekuwa ikishindaniwa moyoni mwa Jua, uvutano ukitaka kuliangamiza, na mlipuko wa nyuklia ukipigana kuliokoa. Safari hii ya kushangaza inakupeleka ndani ya nyota yetu, kupitia matabaka ya moto na shinikizo lisilowezekana, hadi kwenye siri inayowasha uhai wote Duniani. Jifunze jinsi mwanga unavyozaliwa, unavyofungwa kwa maelfu ya miaka, na hatimaye unav...
Tofauti Kati Ya Nuclear Fusion Na Fission 16.01.2026 29:24
Gundua tofauti za kimsingi kati ya mpasuko wa nyuklia (fission) na muungano wa nyuklia (fusion) katika uchambuzi huu mfupi wa kisayansi. Tunafafanua jinsi mpasuko unavyogawanya atomi kuendesha mitambo ya sasa, ukilinganishwa na muungano unaoiga jinsi Jua linavyofanya kazi kwa kuunganisha atomi. Tazama video hii ili uelewe ni kwa nini muungano wa nyuklia unatazamwa kama 'suluhisho kuu' la n...
Jedwali ya Elementi 23.12.2025 13:40
Sikiliza au tazama video hii ujue mengi kuhusiana na jedwali la elementi
Nguvu kuu ya nyuklia 16.12.2025 14:11
Je, unafahamu chochote kuhusiana na nguvu kuu ya nyiklia? Tazama video hii ili ujue mengi.
Utupu wa Atomi 09.12.2025 13:39
Ni asilimia ngapi ya atomi ambayo ni tupu?
Chembe Chembe Ndogo Ndani Ya Atomi 05.12.2025 18:50
Ni vitu gani hupatikana ndani ya atomi? Sikiliza maelezo haya ya kiswahili ili uweze kujua zaidi
Chaji ya Umeme 01.12.2025 3:34
Tofauti ni gani kati ya chanya na hasi
Ni nini huipa atomi umbo lake? 03.11.2025 2:56
Katika video hii fupi na ya kielimu, tunaingia ndani kabisa ya ulimwengu mdogo wa atomi na kuchunguza siri inayofanya muundo wake kuwa imara na thabiti. Tutatumia mifano rahisi, kama vile sumaku, kukusaidia kuelewa sheria za msingi za fizikia zinazotawala ulimwengu wetu. Jifunze sayansi kwa njia rahisi na ya kuvutia!
Maana ya atomi 12.10.2025 3:31
Atomi ni nini na imeundwa na nini?
Atomu ni nini? 25.08.2025 7:27
Je, umewahi kujiuliza ni nini hasa kinachojenga kila kitu unachokiona na kukigusa? Kuanzia kikombe chako cha chai, simu yako, hadi mwili wako mwenyewe? Jibu liko katika chembe ndogo sana isiyoonekana kwa macho inayoitwa ATOMU.Katika makala haya, tunakupeleka kwenye safari ya ajabu na ya kustaajabisha kuelewa msingi wa uhai na maada yote. Tutaanza na wazo rahisi la kukata nyanya hadi tufike kwenye...
AI, AGI na ASI zinamaanisha nini? 09.08.2025 8:22
Katika makala haya ya kipekee, tunafichua siri kuhusu Akili Bandia—kuanzia AI ya kawaida, hadi AGI (Artificial General Intelligence), na hatimaye ASI (Artificial Super Intelligence)! Tunakufafanulia kwa Kiswahili sanifu na kwa lugha rahisi:✅ AI ni nini na kwa nini iko kila mahali sasa?✅ AGI inatishia kazi zako—ina uwezo sawa na binadamu!✅ ASI ni hatua ya hatari sana—inaweza kuwa mwisho au mwanz...
Akili Unde Na Masomo 02.08.2025 25:44
Je, AI inaharibu au kuboresha elimu ya juu? Mojawapo ya sekta zilizoathirika zaidi na ujio wa Artificial Intelligence (AI) ni sekta ya elimu, haswa katika vyuo vikuu. Kila siku, matumizi ya AI katika kufanya assignments, utafiti, na kujifunza yanazidi kuongezeka. Lakini hii ina maana gani kwa walimu, wanafunzi, na mfumo mzima wa elimu? Sikiliza podcast hii ili ujue mawazo yangu kisha ushiriki maon...
Akili Unde Na Kazi 25.07.2025 15:46
Je, hatima ya kazi zetu katika enzi hii mpya ya Akili unde ni ipi? Sikiliza podcast hii ili uwezekujua manoi yangu.
Similar podcasts
Replaio is not a podcast publisher; show names, artwork and audio belong to their authors and are distributed through public RSS feeds.