Luphurise Lema

Uplifting Moment with Luphurise Mawere

Education SW ↓ 97 episodes

Hongera sana kwa kuchukua nafasi kusikiliza masomo haya ambayo yanaletwa kwako kila Jumatatu. Masomo haya yatakupa maarifa na hekima kutoka kwa Mungu itakayakusaidia uwe na Wiki yenye mafanikio na ushindi. Watumie wengine link hii ili waweze kujifunza.

Author

Luphurise Lema

Category

Education

Podcast website

podcasters.spotify.com

Latest episode

Feb 5, 2026

Where to listen?

Podcasts in the app Replaio Radio Coming soon

Podcasts are coming to the app soon. Install now and be the first to see a whole new take on podcasts

Get it on Google Play Install for free Android 5M+ downloads · 4.8 rating iOS soon

Episodes

Kuwa makini usije ukawa mtu wa kiroho ambaye humjui Mungu by Luphurise Mawere 05.02.2026

Je unajua unaweza ukawa mtu wa kiroho lakini ukawa humjui Mungu? Kwenye neno hili utajifunza namna ambavyo mtu anaweza kuwa wa kiroho lakini hamjui Mungu. Pia utajifunza vitu vya kufanya ili usije ukajikuta unakuwa mtu wa kiroho ambaye humjui Mungu. 1 Samuel 8: 1-10 Mungu aseme na wewe unaposikiliza Neno lake, Amen!

Fanya kazi kukiwa bado mchana usiku waja by Pastor Luphurise Mawere 10.07.2024

Somo lililofundishwa kwenye fellowship ya Wanawake tarehe 09 Julai 2024. Mungu akutane na wewe unaposikiliza.

Don't let the storm stop your breakthrough by Pastor Luphurise Mawere 26.05.2024

The sermon preached at Lampshine Church on 26th May 2024.

Namna ya kupata mpenyo mwaka 2024 by Pastor Luphurise Mawere 17.12.2023

Neno lililofundishwa kwenye Fellowship ya Wanawake Jumanne tarehe 12 Disemba 2023. Ujumbe kwa watu wote sio Wanawake tu.

Mkristo na Majaribu na Pastor Luphurise Mawere 14.06.2023

Somo lililofundishwa katika fellowship ya Wanawake Jumanne tarehe 13 Juni 2023. Kwenye Somo hili utajifunza mambo kadhaa kama; Ni kwanini Mkristo upitie majaribu? Namna ya kutoka kwenye majaribu.

Bring out your full potential by Pastor Luphurise Mawere 27.03.2023

Sermon preached at Special Sunday for Professionals and Business Owners, Lampshine Church, Dar es Salaam, Tanzania. For prayers and counseling contact +255754934693

Cultivating the Mind of Christ- Part 2 by Pastor Luphurise Mawere 15.03.2023

Sermon preached at Women Fellowship on Tuesday 14th March 2023

Remembered by God by Pastor Luphurise Mawere 12.03.2023

Sermon preached today 12th March 2023 at Lampshine Church. Have ever been in situation where it seems God have forgotten you? God has remembered you, tune in. For prayer and counseling WhatsApp +255754934693

Cultivating the mind of Christ by Pastor Luphurise Mawere 09.03.2023

Sermon preached on Tuesday 7th March 2023 at Women Fellowship. For prayer and counseling WhatsApp +255754934693

Overcoming in the midst of wickedness by Pastor Luphurise Mawere 21.02.2023

Sermon preached at Women Fellowship on Tuesday 21st February 2023.

Be intentional to be useful in the Kingdom of God by Pastor Luphurise Mawere 15.02.2023

Sermon preached at Lampshine Church on Sunday 12th February 2023, English-Swahili translation

How to discover,operate and activate Spiritual Gifts by Pastor Luphurise Mawere 10.01.2023

English/ Swahili translation Sermon preached at Lampshine Church on Sunday 8th January 2023

Empowered to Shine in 2023 by Pastor Luphurise Mawere 01.01.2023

Sermon preached at Lampshine Church on New Year Service, English -Swahili translation

FREEDOM IN CHRIST SERIES-3. UHURU KATIKA KRISTO by Pastor Luphurise Mawere 11.12.2022

Somo lililofundishwa Jumapili tarehe 11 Decemba 2022 katika Kanisa la Lampshine

Walking in Divine Excellence by Pastor Luphurise Mawere 02.10.2022

Sermon preached at Lampshine Church on Sunday 2nd October 2022. English/Swahili Translation. May God bless you as you listen.

Usimwache Mungu kwasababu ya njama za adui by Pastor Luphurise Mawere 01.09.2022

Somo lililofundishwa kwenye Fellowship ya Wanawake iliyofanyika Jumanne tarehe 30 Agosti 2022.

Who you walk with will determine your destination by Pastor Luphurise Mawere 22.08.2022

Your association will determine your destination. Sermon preached at Lampshine Church on Sunday 21st August 2022. English/Swahili Translation. May the Holy Spirit minister to you as you listen. You are Blessed. For Prayers and Counseling +255 754934694

Jifunze Kuridhika by Pastor Luphurise Mawere 10.08.2022

Somo lililofundishwa kwenye Fellowship ya Wanawake iliyofanyika Jana Jumanne tarehe 09/08/2022.

Praying in the middle of Crisis by Luphurise Mawere 04.08.2022

Sermon preached at Lampshine Church on Sunday 31st July 2022. English/Swahili Translation. May God minister to you as you listen. With Christ Love Pastor Henry and Pastor Luphurise Mawere

Kutembea katika Uwepo wa Mungu by Grace Bitegeko 26.07.2022

Somo lililofundishwa kwenye Fellowship ya Wanawake Jumanne tarehe 26 Julai 2022.

Silaha za Vita by Pastor Luphurise Mawere 20.07.2022

Somo lililofundishwa kwenye Fellowship ya Wanawake iliyofanyika Jana Jumanne tarehe 19 Julai 2022.

Prayer that produces results by Luphurise Mawere 18.07.2022

The sermon preached at Lampshine Church on Sunday 17th July 2022. English/Swahili Translation.

Mwanamke anayejitambua na Pastor Luphurise Mawere 12.07.2022

Somo lililofundishwa leo Jumanne tarehe 22 July 2022 kwenye Fellowship ya Wanawake

Uncommon Faith Part 2 by Luphurise Mawere 28.06.2022

Sermon preached at Lampshine Church on 26th June 2022. English/Swahili Translation.

Uncommon Faith-Part 1 19.06.2022

Sermon preached at Lampshine Church on Sunday 19th June 2022 by Pastor Luphurise Mawere. English/Swahili translation. May God bless you as you listen to his word.

Listen to the Uplifting Moment with Luphurise Mawere podcast in Replaio

Radio and podcasts in one app - free, with no sign-up. Install today and do not miss the launch

Get it on Google Play

Replaio is not a podcast publisher; show names, artwork and audio belong to their authors and are distributed through public RSS feeds.