Luphurise Lema

Uplifting Moment with Luphurise Mawere

Education SW ↓ 97 episodes

Hongera sana kwa kuchukua nafasi kusikiliza masomo haya ambayo yanaletwa kwako kila Jumatatu. Masomo haya yatakupa maarifa na hekima kutoka kwa Mungu itakayakusaidia uwe na Wiki yenye mafanikio na ushindi. Watumie wengine link hii ili waweze kujifunza.

Author

Luphurise Lema

Category

Education

Podcast website

podcasters.spotify.com

Latest episode

Feb 5, 2026

Where to listen?

Podcasts in the app Replaio Radio Coming soon

Podcasts are coming to the app soon. Install now and be the first to see a whole new take on podcasts

Get it on Google Play Install for free Android 5M+ downloads · 4.8 rating iOS soon

Episodes

Kuwa makini wakati wa kuishi kawaida kawaida umeisha by Luphurise Mawere 18.05.2022

Somo lililofundishwa kwenye Fellowship ya Wanawake iliyofanyika Jumanne tarehe 17 Mei 2022

Kuamini tu haitoshi chukua hatua by Luphurise Mawere 11.05.2022

Neno lililofundishwa kwenye Fellowship ya Wanawake iliyofanyika Jumanne tarehe 10 Mei 2022.

Yesu ni rafiki mwema by Luphurise Mawere 20.04.2022

Somo lililofundishwa kwenye Fellowship ya Wanawake iliyofanyika Jumanne tarehe 19 April 2022.

Msubiri Bwana yeye atafanya by Luphurise Mawere 01.04.2022

Somo lililofundishwa kwenye Fellowship ya Wanawake iliyofanyika Jumanne tarehe 29 Machi 2022

Kuwa macho unaweza kuanza na Mungu ukamaliza ukiwa muovu by Luphurise Mawere 08.03.2022

Neno lililofundishwa kwenye Ibada ya Wanawake iliyofanyika Jumanne tarehe 08 Machi 2022.

Nguvu ya ajabu iliyoko kwenye Neno la Mungu na Luphurise Mawere 20.02.2022

Somo lililofundishwa kwenye Mkesha wa Wanawake uliofanyika Ijumaa tarehe 18 Februari 2022.

Siri ya Maombi yanayojibiwa by Luphurise Mawere 01.02.2022

Somo lililofundishwa kwenye Retreat ya Wanawake iliyofanyika kuanzia tarehe 28 hadi tarehe 30 Januari 2022.

Kutembea katika nguvu za Mungu mwaka 2022 by Luphurise Mawere 07.01.2022

Somo lililofundishwa kwenye Fellowship ya Wanawake iliyofanyika Jumanne tarehe 4 Januari 2022

Ushuhuda wangu wa Wokovu kupitia Bishop Prof Ranwel Mwenisongole by Luphurise Mawere 25.12.2021

Namna Bishop Prof Ranwel Mwenisongole alivyoimpact maisha yangu Hadi nikaokoka pamoja na kuwa moyo mgumu sana.

Utoaji unaleta baraka by Luphurise Mawere 22.12.2021

Somo lililofundishwa kwenye Fellowship ya Wanawake iliyofanyika Jumanne tarehe 21 Decemba 2021

Mateso yanavyokuwa mengi ndivyo unavyozidi kuongozeka by Luphurise Mawere 01.12.2021

Somo lililofundishwa kwenye Fellowship ya Wanawake iliyofanyika Jumanne tarehe 30 Novemba 2021

Madhara ya Kiburi by Luphurise Mawere 24.11.2021

Somo lililofundishwa kwenye Fellowship ya Wanawake iliyofanyika Jumanne tarehe 23 Novemba 2021.

Tambua nafasi yako katika Kristo by Luphurise Mawere 17.11.2021

Somo lililofundishwa kwenye Fellowship ya Wanawake iliyofanyika Jumanne tarehe 16 Novemba 2021.

Karama na Kipawa chako kitakutoa gerezani by Luphurise Mawere 09.11.2021

Somo lililofundishwa kwenye Fellowship ya Wanawake iliyofanyika Jumanne tarehe 09 Novemba 2021

Kujenga Mahali palipoharibiwa by Luphurise Mawere 03.11.2021

Somo lililofundishwa kwenye Fellowship ya Wanawake iliyofanyika Jumanne tarehe 02 Novemba 2021.

Kujenga Mahali Paliboharibiwa by Luphurise Mawere 03.11.2021

Somo lililofundishwa kwenye Fellowship ya Wanawake iliyofanyika Jumanne tarehe 02 Novemba 2021.

Nguvu ya Damu ya Yesu by Luphurise Mawere 26.10.2021

Somo lililofundishwa kwenye Fellowship ya Wanawake iliyofanyika Jumanne tarehe 26 Octoba 2021

Becoming Powerful where you are planted by Luphurise Mawere 21.10.2021

Lunch Hour Fellowship on Instagram Live ONLINE on Thursday 21st October 2021

Maombi yanayovunja Minyororo by Luphurise Mawere 20.10.2021

Somo lililofundishwa kwenye Fellowship ya Wanawake iliyofanyika Jumanne tarehe 19 Octoba 2021

Kutembea katika Mamlaka by Luphurise Mawere 13.10.2021

Somo lililofundishwa kwenye Fellowship ya Wanawake inayofanyika Kila Jumanne saa 11:30 Jioni, Makumbusho Dar es Salaam. Kupata maelezo zaidi wasiliana nasi 0754934693

Maombi yanavyokutengeneza uushinde Ulimwengu by Luphurise Mawere 06.10.2021

Somo lililofundishwa tarehe 05 September 2021 kwenye Fellowship ya Wanawake inayofanyika kila Jumanne. Namna ya kufika Wasiliana nasi +255628704781

Ukiamini yote yanawezekana by Luphurise Mawere 28.09.2021

Somo lililofundishwa leo Jumanne tarehe 28 September 2021 kwenye Fellowship ya Wanawake

Watapigana nawe lakini hawatakushinda by Luphurise Mawere 22.09.2021

Somo lililofundishwa kwenye Fellowship ya Wanawake iliyofanyika Jumanne tarehe 21 September 2021

Mtazamo Unaoleta Matokeo by Luphurise Mawere 18.09.2021

Neno lililofundishwa kwenye Mkesha wa Wanawake uliofanyika Ijumaa tarehe 17 September 2021

Ziko faida kwenye kuwa na Ushirika na Mungu by Luphurise Mawere 14.09.2021

Fellowship ya Wanawake iliyofanyika Jumanne tarehe 13 September 2021

Listen to the Uplifting Moment with Luphurise Mawere podcast in Replaio

Radio and podcasts in one app - free, with no sign-up. Install today and do not miss the launch

Get it on Google Play

Replaio is not a podcast publisher; show names, artwork and audio belong to their authors and are distributed through public RSS feeds.