RFI Kiswahili

Habari RFI-Ki

News SW ↓ 63 episodes

Makala ya kila siku yanayompa fursa msikilizaji kutoa maoni yake juu ya habari zilizopewa uzito wa juu kwa siku husika. Msikilizaji hushiriki kwa kutuma ujumbe mfupi pamoja na kupiga simu.

Be sure to visit the podcast's website and support the creator: www.rfi.fr

Author

RFI Kiswahili

Category

News

Podcast website

www.rfi.fr

Latest episode

Nov 11, 2026

Where to listen?

Podcasts in the app Replaio Radio Coming soon

Podcasts are coming to the app soon. Install now and be the first to see a whole new take on podcasts

Get it on Google Play Install for free Android 10M+ downloads · 4.7+ rating iOS soon

Episodes

Waziri wa Uingereza kuondoka afisini Septemba 23.06.2026

Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer ametangaza kujiuzulu baada ya shinikizo kutoka ndani ya chama chake na kupungua kwa uungwaji mkono wa raia. Je, viongozi wanapaswa kujiuzulu wanapopoteza uungwaji mkono wa wananchi? Skiza makala ya maoni ya waskilizaji.

Msongo wa mawazo changamoto kwa wanaume 22.06.2026

Ulimwengu umeadhimisha wiki ya afya ya akili kwa wanaume, wataalamu wanaonya kuwa msongo wa mawazo na matumizi ya dawa za kulevya vinachangia matatizo ya afya ya akili miongoni mwa wanaume. Unafikiri kwa nini wanaume wengi huumia kimya bila kutafuta msaada? Skiza maoni ya mskilizaji.

Maendeleo ya timu za Afrika kwenye mechi kuwania kombe la dunia 2026 19.06.2026
Je ,Haki za mtoto wa Kiafrika zinaheshimiwa au ni maadhimisho tu ? 19.06.2026
Marekani na Iran zimekubaliana kufikia makubaliano ya kukomesha vita 16.06.2026

Rais  Donald Trump anasema Mlango Bahari wa Hormuz pia utafunguliwa tena hivi karibuni. Mkataba wa amani, unatarajiwa kutiwa saini siku ya Ijumaa, wiki hii nchini Uswizi

Siku ya kimataifa ya watu wanaoishi na Albinism au Ualbino, kuhamasisha haki, usalama na ustawi wao 15.06.2026

Licha ya jitihada mbalimbali, bado watu wenye ualbino wanabaguliwa kwenye baadhi ya jamii na hata kuuawa kwa imani za kishirikina.

Kipute cha kombe la dunia kinaanza rasmi 11.06.2026

Kipute cha kombe la dunia kinaanza leo, huku Afrika Kusini ikipambana dhidi ya Mexico mwenyeji. Je, unazungumziaje timu za Afrika zinazoshiriki mashindano ya huu? Skiza makala haya.

Marekani : Yamzuia refa wa Somalia kuingia nchini humo 10.06.2026

Mwamuzi kutoka nchini Somalia Omar Abdulkadir, amezuiwa kuingia nchini Marekani, alikokuwa ameteuliwa na Shirikisho la soka duniani, FIFA kuchezesha mechi za kombe la dunia,  kutokana na kile utawala wa rais Trump umemhusisha na maswala ya ugaidi Skiza makala haya kufahamu maoni ya mskilizaji wetu.

Kenya : Mahakama kuu yaidhinisha uamuzi wa Rigathi kuondolewa afisini 09.06.2026

Jopo la majaji watatu nchini Kenya limeidhinisha hatua ya bunge la kumuondoa afisini aliyekuwa naibu rais, Rigathi Gachagua kwa kile walichosema, katiba ilifuatwa. Je, unaunga mkono uamuzi wa mahakama kuhusu Rigathi Gachagua na kwa nini? Skiza maoni ya baadhi ya waskilizaji wetu.

Uchafuzi wa mazingira baharini ni kikwazo 08.06.2026

Leo dunia inaadhimisha siku ya kimataifa ya Bahari, siku inayolenga kuhamasisha umuhimu wa bahari katika maisha ya binadamu na mazingira. Hata hivyo, bahari zinakabiliwa na changamoto kubwa ikiwemo uchafuzi wa plastiki, mabadiliko ya tabianchi na uvuvi haramu, katika siku hii tunakuuliza.   Unadhani hatua gani zinazopaswa kuchukuliwa ili kupunguza uchafuzi wa bahari? Skiza makala haya kufahamu mao...

Maadhimisho ya siku ya mazingira duniani yana umuhimu gani nchini mwako 04.06.2026

Karibu kwenye kipindi cha habari Rafiki ,mada ikiwa  kuhusu maadhimisho ya siku ya mazingira duniani  ambayo yatafanyika Ijumaa,huku kauli mbiu ikiwa kuchukua hatua dhidi ya mabadiliko ya hali ya hewa. Tumekuuliza, serikali ya nchi yako inafanya vya kutosha kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa ? Na je , sekta binafsi na wananchi wanapaswa kufanya nini sasa,ili kuimarisha mazingira,,karibu tua...

Mada huru kila Ijumaa ndani ya rfi Kiswahili 22.05.2026

Kila Ijumaa ndani rfi Kiswahili unapata nafasi kuchangia mada yoyote. skiza makala

Kenya : msimamo wa kisiasa yazua balaa 22.05.2026

Nchini Kenya, msimamo ya kisiasa ya baadhi ya raia kisiasa yazidi kuibua uhasama. Skiza makala

Listen to the Habari RFI-Ki podcast in Replaio

Radio and podcasts in one app - free, with no sign-up. Install today and do not miss the launch

Get it on Google Play

Replaio is not a podcast publisher; show names, artwork and audio belong to their authors and are distributed through public RSS feeds.