RFI Kiswahili
Habari RFI-Ki
Makala ya kila siku yanayompa fursa msikilizaji kutoa maoni yake juu ya habari zilizopewa uzito wa juu kwa siku husika. Msikilizaji hushiriki kwa kutuma ujumbe mfupi pamoja na kupiga simu.
Koniecznie odwiedź stronę podcastu i wesprzyj twórcę: www.rfi.fr
Gdzie słuchać?
Podcasty w aplikacji Replaio Radio Już wkrótcePodcasty trafią do aplikacji już wkrótce. Zainstaluj teraz i jako pierwszy zobacz nowe podejście do podcastów
Odcinki
Kenya: Yaadimisha miaka 63 ya uhuru wake 20.10.2026 9:46
Taifa la Kenya linaadhimisha miaka 63 ya kuwakumbuka mashujaa waliopigania uhuru wa taifa hilo Tunakuuliza ni njia ipi sahihi ya kuwakumbuka wote waliopigania uhuru barani Afrika ? Skiza makala.
Africa : Umaskini unatatiza bara Africa 20.10.2026 9:19
Oktoba 17 dunia huadimisha siku ya kumaliza umaskini kwa wote. Bara Africa bado umaskini ni donda sugu, hapa mskilizaji anatoa maoni yake kuhusu swala hilo.
Mzozo wa Sudan waendelea, kiongozi wa kijeshi akikataa mazungumza na RSF 09.10.2026 9:50
Kiongozi wa kijeshi nchini Sudan, Abdel Fattah al-Burhan, ameapa kuchukua kila sehemu ya ardhi ya nchi yake iliyo chini ya udhibiti wa wapiganaji wa RSF, huku akikataa majadiliano yanayolenga kumaliza vita nchini humo.
Maadhimisho ya Siku ya kimataifa ya Walimu, kutambua mchango wao katika kujenga jamii 05.10.2026 9:28
Licha ya hatua zilizopigwa, walimu kwenye nchi nyingi za Afrika wanalipwa mishahara midogo na wanafanya kazi kwenye mazingira magumu. Tunakuuliza je, walimu wanathaminiwa vya kutosha katika jamii yetu? Nchini mwako hali ikoje na nini kifanyike kuthamini na kuboresha maslahi ya walimu?
Maoni ya wasikilizaji kuhusu matukio mbalimbali ulimwenguni juma hili 02.10.2026 9:59
Kila siku ya Ijumaa tunakupa nafasi uzungumzie jambo ambalo umeliwazia wiki hii au pia habari kuu ulizozisikia katika matangazo yetu ya juma hili.
Manufaa ya kiwanda cha kusafisha mafuta huko Lamu nchini Kenya. 02.10.2026 9:54
Makala haya yameangazia mradi wa ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta huko Lamu nchini Kenya, kitakachojengwa na Bilionea wa Afrika, Aliko Dangote, kiwanda hiki kikitarajiwa kukamilika ndani ya miaka mitatu na kitagharimu Dola za Marekani Bilioni 16. Tumeuliza msikilizaji anazungumziaje uwekezaji huu, hasa kwakuwa unafanywa na raia wa Afrika.
Mbona matukio ya ukatili na mauaji ya wanawake yameongezeka Afrika? 02.10.2026 10:00
Wiki hii visa vya wanawake kudhulumiwa na kuuwawa katika baadhi ya mataifa ya Afrika vimekuwa vikiongezeka, matukio ya karibuni ni kupatikana kwa miili zaidi ya 11 ya wanawake waliouawa nchini Afrika Kusini. Mashirika ya kutetea haki za binadamu yanazitaka nchi kukomesha vitendo hivyo. Tumemuuliza msikilizaji wa RFI Kiswahili, anafikiri kwa nini licha ya karne tuliyoko matukio ya ukatili wa wanawa...
Wafanyakazi wa umma hadi elfu 10 nchini Kenya walipata ajira kwa udanganyifu 24.09.2026 9:42
Idadi kubwa ni wale ambao wameajiriwa na bunge na tume ya uchaguzi na mipaka
Viongozi wa dunia wanakutana wiki hii kwa kikao cha kila mwaka cha UNGA 23.09.2026 9:52
Idadi kubwa ni wale ambao wameajiriwa na bunge na tume ya uchaguzi na mipaka ,IEBC.
Maoni yako kuhusu maangazo yetu juma hili 19.09.2026 9:59
Kila Ijumaa rfi Kiswahili inakuja nafasi kuchangia mada yoyote kwenye kipindi cha Habari Rafiki.
Kenya kuandaa mashindano ya riadha ya dunia 18.09.2026 9:45
Kenya imeteuliwa kuandaa mashinda ya dunia ya riadha. Skiza maoni ya mskilizaji.
DRC : Upinzani wapinga mpango wa serikali kubadili katiba 16.09.2026 9:50
Upinzani nchini DRC wapinga mpango wa serikali kurekebisha katiba Shabarikiliza maoni ya mskilizaji .
Kenya : Raia wa Burundi wazidi kuondoka nchini Kenya 16.09.2026 9:56
Raia wa Burundi wanaofanya baishara ndogondogo nchini Kenya, wamendelea kuondoka nchini humo kutokana tangazo la rais William Ruto kuwataka wageni kusajili biashara zao. Skiza maoni ya mskilizaji.
EAC : Mvua za El Nino zatarajaiwa 14.09.2026 9:54
Darubini yetu inalenga kanda ya Africa Masharaiki ambapo watalaam wa utabiri wa hali ya hewa wanaonya kuwa nchi za Afrika Mashariki na Kati, zitashuhudia EL Nino kati ya mwezi Oktoba hadi Desemba, ambako mvua kubwa inatarajiwa kunyesha. Umejiandaa vipi kukabiliana na EL Nino ? Skiza maoni ya mskilizaji.
Maadhimisho ya siku ya kimataifa ya kuhamasisha kuzuia visa vya watu kujiuwa. 10.09.2026 9:54
Shirika la afya duniani WHO linasema watu laki 7 na elfu 20 hujitoa uhai kila mwaka. Kujiua ni kati ya sababu tatu kuu ya vifo miongoni mwa vijana wenye umri wa miaka 15–29.
Matumizi ya AI, UN yataka makampuni ya yanayotengeneza teknolojia hiyo kupunguza hatari yake 10.09.2026 9:38
Mkuu wa ofisi ya tume ya haki za binadamu ya umoja wa Mataifa, Volker Turk, hapo jana ameonya kuwa akili unde inaweza kuwa tishio kwa binadam.
Kauli ya Rais wa Kenya William Ruto kuhusu wafanyabiashara wadogowadogo wa kigeni 07.09.2026 9:51
Rais akisema wafanyabiashara wa ndani wanahitaji kulindwa. Agizo lake limeibua mjadala kuhusu nafasi ya wageni katika biashara ndogo nchini Kenya.
Podobne podcasty
Replaio nie jest wydawcą podcastów; nazwy audycji, okładki i audio należą do ich autorów i są rozpowszechniane przez publiczne kanały RSS