RFI Kiswahili

Habari RFI-Ki

News SW ↓ 68 episodes

Makala ya kila siku yanayompa fursa msikilizaji kutoa maoni yake juu ya habari zilizopewa uzito wa juu kwa siku husika. Msikilizaji hushiriki kwa kutuma ujumbe mfupi pamoja na kupiga simu.

Be sure to visit the podcast's website and support the creator: www.rfi.fr

Author

RFI Kiswahili

Category

News

Podcast website

www.rfi.fr

Latest episode

Nov 21, 2026

Where to listen?

Podcasts in the app Replaio Radio Coming soon

Podcasts are coming to the app soon. Install now and be the first to see a whole new take on podcasts

Get it on Google Play Install for free Android 10M+ downloads · 4.7+ rating iOS soon

Episodes

Maoni huru ya waskilizaji wiki hii yakiwemo maswala ya EU na Ebola 21.11.2026
Rwanda kuwapokea wahamiaji wanaofukuzwa kutoka nchi tano za Ulaya 21.11.2026
Kauli za jenerali Muhoozi Kainerugaba mitandaoni zimeendelea kuibua hisia kali 20.11.2026
Uchaguzi mkuu nchini Sudan Kusini umeahirishwa hadi Februari mwaka 2027 20.11.2026
Miezi sita baadaye Ebola Bundibugyo bado ni hatari nchini DRC 20.11.2026

WHO pamoja na Africa CDC zinaonya bado mlipuko wa Ebola Bundibugyo bado haujadhibitiwa

Dunia: Wapenzi wauawana kwa nini? 11.11.2026

Visa vya wapenzi kuuawana vimeongezeka hivi karibuni katika maeneo mbalimbali duniani. Tunakuuliza, unadhani ni mambo gani yanayochangia kuongezeka kwa visa hivi?

Kenya: Bunge kujadili mswaada wa kudhibiti mitandao 10.11.2026

Nchini Kenya, mswaada umewasilishwa bungeni unaolenga kushinikiza mitandao ya kijamii kudhibiti maudhui hasi kuwafikia watoto chini ya umri wa miaka 18, au kutozwa dolla millioni 3 iwapo itakiuka sheria hiyo, hatua kama hii imechukuliwa na bara ulaya Je unahisi hatua hii itafaulu kudhibiti athari za mitandao ya kijamii kwa watoto ? Skiza makala.

Kenya : Paul Mackenzie afungwa jela miaka 200 09.11.2026

Wiki iliyopita Mahakama nchini Kenya, ilimuhukumu kifungo cha miaka 200 mchungaji mwenye utata Paul Mackenzie, baada ya kumpata na hatia ya kuhusika na mauaji ya shakahola, hukumu iliyoibua hisia mseto. Tuambie unazungumziaje adhabu iliyotolewa na mahakama, unafikiri inatosha?   Haya hapa maoni yako.

Kenya: Yaadimisha miaka 63 ya uhuru wake 20.10.2026

Taifa la Kenya linaadhimisha miaka 63 ya kuwakumbuka mashujaa waliopigania uhuru wa taifa hilo Tunakuuliza ni njia ipi sahihi ya kuwakumbuka wote waliopigania uhuru barani Afrika ?   Skiza makala.

Africa : Umaskini unatatiza bara Africa 20.10.2026

Oktoba 17 dunia huadimisha siku ya kumaliza umaskini kwa wote. Bara Africa bado umaskini ni donda sugu, hapa mskilizaji anatoa maoni yake kuhusu swala hilo.

Vijana wengi Afrika hawawezi kumudu majukumu ya kifedha au kuishi maisha mazuri 15.10.2026
Aliyekuwa rais wa DRC Joseph Kabila aunda chama kipya na waasi wa M23 15.10.2026
Raia wengi wa Afrika wanajipata wamesajiliwa kupigana na Urusi kwenye vita Ukraine 15.10.2026
Ongezeko la ajali za barabani katika mataifa ya Afrika Mashariki 13.10.2026
Mzozo wa Sudan waendelea, kiongozi wa kijeshi akikataa mazungumza na RSF 09.10.2026

Kiongozi wa kijeshi nchini Sudan, Abdel Fattah al-Burhan, ameapa kuchukua kila sehemu ya ardhi ya nchi yake iliyo chini ya udhibiti wa wapiganaji wa RSF, huku akikataa majadiliano yanayolenga kumaliza vita nchini humo.

Kenya imeripoti maambukizi ya kwanza ya virusi vya Ebola aina ya Bundibugyo 07.10.2026
Maadhimisho ya Siku ya kimataifa ya Walimu, kutambua mchango wao katika kujenga jamii 05.10.2026

Licha ya hatua zilizopigwa, walimu kwenye nchi nyingi za Afrika wanalipwa mishahara midogo na wanafanya kazi kwenye mazingira magumu. Tunakuuliza je, walimu wanathaminiwa vya kutosha katika jamii yetu? Nchini mwako hali ikoje na nini kifanyike kuthamini na kuboresha maslahi ya walimu?

Maoni ya wasikilizaji kuhusu matukio mbalimbali ulimwenguni juma hili 02.10.2026

Kila siku ya Ijumaa tunakupa nafasi uzungumzie jambo ambalo umeliwazia wiki hii au pia habari kuu ulizozisikia katika matangazo yetu ya juma hili.

Manufaa ya kiwanda cha kusafisha mafuta huko Lamu nchini Kenya. 02.10.2026

Makala haya yameangazia mradi wa ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta huko Lamu nchini Kenya, kitakachojengwa na Bilionea wa Afrika, Aliko Dangote, kiwanda hiki kikitarajiwa kukamilika ndani ya miaka mitatu na kitagharimu Dola za Marekani Bilioni 16. Tumeuliza msikilizaji anazungumziaje uwekezaji huu, hasa kwakuwa unafanywa na raia wa Afrika.

Mbona matukio ya ukatili na mauaji ya wanawake yameongezeka Afrika? 02.10.2026

Wiki hii visa vya wanawake kudhulumiwa na kuuwawa katika baadhi ya mataifa ya Afrika vimekuwa vikiongezeka, matukio ya karibuni ni kupatikana kwa miili zaidi ya 11 ya wanawake waliouawa nchini Afrika Kusini. Mashirika ya kutetea haki za binadamu yanazitaka nchi kukomesha vitendo hivyo. Tumemuuliza msikilizaji wa RFI Kiswahili, anafikiri kwa nini licha ya karne tuliyoko matukio ya ukatili wa wanawa...

Hatua ya rais Salva Kiir kuvunja serikali ya mpito kuelekea uchaguzi wa Disemba 25.09.2026
Wafanyakazi wa umma hadi elfu 10 nchini Kenya walipata ajira kwa udanganyifu 24.09.2026

Idadi kubwa ni wale ambao wameajiriwa na bunge na tume ya uchaguzi na mipaka

Viongozi wa dunia wanakutana wiki hii kwa kikao cha kila mwaka cha UNGA 23.09.2026

Idadi kubwa ni wale ambao wameajiriwa na bunge na tume ya uchaguzi na mipaka ,IEBC.

Siku ya kimataifa ya Amani inamaana kwa wananchi wengi ? 22.09.2026
Maoni yako kuhusu maangazo yetu juma hili 19.09.2026

Kila Ijumaa rfi Kiswahili inakuja nafasi kuchangia mada yoyote kwenye kipindi cha Habari Rafiki.

Listen to the Habari RFI-Ki podcast in Replaio

Radio and podcasts in one app - free, with no sign-up. Install today and do not miss the launch

Get it on Google Play

Replaio is not a podcast publisher; show names, artwork and audio belong to their authors and are distributed through public RSS feeds.