Leonce Godfrey
Eleven Digital The Podcast
Eleven Digital is the Digital Youth Forum dedicated to education in the field of the safe, creative and positive use of the Internet and new technologies. This is ‘Open Forum' aims to encourage dialogue and spread digital awareness on different issues by providing a platform on which ideas, creativity, thoughts and questions can be expressed and tackled in an open environment.
Be sure to visit the podcast's website and support the creator: podcasters.spotify.com
Author
Leonce Godfrey
Category
Podcast website
Latest episode
May 7, 2025
Where to listen?
Podcasts in the app Replaio Radio Coming soonPodcasts are coming to the app soon. Install now and be the first to see a whole new take on podcasts
Episodes
Neuralink & AI: Mustakabali wa Binadamu ni Upi? 07.05.2025 4:30
Kama ungepewa nafasi ya kuunganisha akili yako moja kwa moja na kompyuta ungekubali? Teknolojia ya Neuralink imeleta uwezekano huo… lakini gharama yake ni ipi? Je, ni uwezo zaidi au ni udhibiti zaidi katika maisha ya binadamu? 🎧Bofya link kwenye Bio na Insta story ili kusikiliza. Jibu hilo liko kwenye episode yetu mpya hosted by @jackline_mgina & @maria_ukhotya 🎬 Producer: @ombloxgenius Foll...
"Fursa za Teknolojia 2025: Ujuzi Wa Kidijitali Utakaokufungulia Milango" 26.03.2025 9:15
Fursa za Teknolojia 2025: Ujuzi wa kidijitali kutoka AI hadi Cybersecurity, tunachambua mustakabali wa kidijitali na fursa zake. 🎧 Bofya link kwenye Bio na Insta story ili kusikiliza Hosted By Jackline Francis & Maria Ukhotya Producer Jeremiah Ombelo Instagram: eleven_digital255 Facebook: eleven_digital255 LinkedIn: eleven_digital255 #TechTrends2025 #ElevenDigitalThePodcast"
Wanawake, Mapinduzi Na Teknolojia: Mahojiano Maalum na Asha Abinallah 09.03.2025 7:18
Katika #ElevenDigitalThePodcast, tunazungumzia nafasi ya wanawake katika teknolojia, changamoto wanazokutana nazo, na jinsi ya kuwawezesha zaidi. Je, jamii inaweza kufanya nini kusaidia wasichana wengi zaidi kuingia kwenye teknolojia? Sikiliza podcast yetu kwa maarifa na msukumo zaidi! 🎙️ #WomenInTech #DigitalRevolution 📲 Instagram | Facebook | LinkedIn: @eleven_digital255
Teknolojia ya 5G na Mapinduzi ya Kidijitali 16.04.2024 11:20
Teknolojia ya 5G na Mapinduzi ya Kidijitali Kupitia mazungumzo haya, tunachunguza jinsi teknolojia ya 5G inavyochochea mapinduzi ya kidijitali na kuunda msingi wa mabadiliko makubwa katika mawasiliano, biashara, na maisha yetu ya kila siku. 🎧 Bofya link kwenye Bio na Insta story ili kusikiliza Hosted By Owen Bariki & Maria Joseph Producer Owen Bariki. Instagram: eleven_digital255 Facebook: el...
Kuwa Mtaalamu Wa Mitandao Ya Kijamii Bila Kuihatarisha Faragha Yako 09.04.2024 19:10
Mitandao ya kijamii ni sehemu muhimu ya maisha yetu ya kila siku. Ni muhimu kutumia njia salama kwa kuweka nywira tofauti kwa kila akaunti. Episode hii tutaanganzia Namna ya Kuwa Mtaalam wa Mitandao ya Kijamii Bila Kuihatarisha Faragha Yako 🎧 Bofya link kwenye Bio na Insta story ili kusikiliza Hosted By Owen Bariki & Maria Joseph Producer Owen Bariki. Instagram: eleven_digital255 Facebook: el...
Tambuwa Barua Pepe Za Ulaghai (Phishing Emails) 30.01.2024 12:50
Tambuwa barua pepe za ulaghai (phishing emails) Katika episode hii, utajifunza jinsi ya kutambua barua pepe za ulaghai, Sikiliza leo na ujifunze jinsi ya kulinda taarifa zako za kibinafsi na pesa zako kutokana na ulaghai wa mtandaoni! (Tuma kwa namba hii wamehamia kwenye email 🤣🤣🤣) Hosted By Owen Bariki & Maria Joseph Producer Owen Bariki. Instagram: eleven_digital255 Facebook: eleven_digital25...
Jinsi Virtual Reality Inavobadiliasha Maisha Yetu 11.12.2023 12:02
Jinsi Virtual Reality Inavobadiliasha Maisha Yetu Karibu kwenye ulimwengu wa mshangao na uvumbuzi! Kupitia podcast yetu, tumechimba kina kwenye jinsi Virtual Reality inavyotikisa msingi wa maisha yetu. Tunaangazia jinsi teknolojia hii inavyobadilisha uhalisia, kutufanya tuone ulimwengu kupitia macho mapya, na kuleta mageuzi katika njia tunavyoshirikiana na mazingira yetu. Ni safari ya kipekee ya k...
Jinsi ya Kuandika Maudhui ya Kimtandao (Content) Yenye Kuvutia. 05.12.2023 10:54
Jinsi ya Kuandika Maudhui ya Kimtandao (Content) Yenye Kuvutia. Leo, tutajadili mambo muhimu ya kuzingatia unapotaka kutengeneza maudhui ya kimtandao ambayo yatavutia wasomaji wako na kuwafanya waweze kuchukua hatua. Kujenga maudhui ya kimtandao yenye nguvu na yenye kuvutia ni muhimu sana katika ulimwengu wa leo unaoshiba habari. Ndiyo sababu, katika Episode hii, tutakupa mwongozo wa hatua kwa hat...
Application Ambazo Hutakiwi Kukosa Kama Unafanya Biashara 28.11.2023 12:16
Application ambazo hutakiwi kukosa kama unafanya biashara Kuna application nyingi ambazo upo nazo kwenye simu yako lakini wewe kama mfanyabiashara karibu nikuambie application ambazo kama unataka kufanikiwa uwezi kuzikosa kwenye simu. Katika Episode hii Tutachunguza application Tano kwa undani jinsi gani zitarahisisha utendaji wa biashara, na pia kuboresha ufanisi, mawasiliano, na matokeo ya kifed...
Application Tano Bora Za Ku-Edit Video 21.11.2023 10:43
Mfanyabiashara au mtu wa kawaida lakini unataka kuwa na video nzuri kitika mitandao yako ya kijamii. Katika Episode hili utajifunza Application 5 za kuedit video zako. Hosted By Owen Bariki & Maria Joseph Producer Owen Bariki. Instagram: eleven_digital255 Facebook: eleven_digital255 LinkedIn: eleven_digital255
Tumia Application Hizi Kuediti Picha Zako 13.11.2023 9:08
Wewe ni kijana au mfanyabiashaa? unapenda kupiga Picha nzuri na unatamani zivutie lakini unashindwa kiediti. Katika Episode hili utajifunza Application 5 za kuedit Picha zako. 🎧 Bofya link kwenye Bio na Insta story ili kusikiliza Hosted By Owen Bariki & Maria Joseph Producer Owen Bariki. Instagram: eleven_digital255 Facebook: eleven_digital255 LinkedIn: eleven_digital255
Application tano ambazo zinatoa remote jobs au kazi za freelencing 05.09.2023 6:11
Hivi unafahamu kama Kuingia mtandaoni unakuwa upo kwenye ulimwengu wa fursa zisizo na mwisho. Katika toleo hili utajifunza tovuti na programu ambazo zinatoa fursa za kazi za mbali (remote jobs) au freelancing, nataka nikupatie Tano ambazo unaweza kuzitumia katika kuuza ujuzi wako mtandaoni. 🎧 Bofya link kwenye Bio na Insta story ili kusikiliza Produced and Hosted By Owen Bariki. Instagram: eleven...
Makosa Tano ya kimtandao yanayoweza kusababisha mashtaka nchini Tanzania. 29.08.2023 6:41
Mara kwa mara tumekua tukisikia kuhusu ya makosa ya mtandaoni lakini je, tunayajua? Haya ni makosa Tano ya kimtandao yanayoweza kusababisha mashtaka nchini Tanzania. Produced and Hosted By Owen Bariki. Instagram: eleven_digital255 Facebook: eleven_digital255 LinkedIn: eleven_digital255
Tips tano za kuepuka kuwa hacked kwenye simu na laptop. 22.08.2023 6:16
Elimu ndio inayokosekana kati ya watumiaji wengi wa majukwaa ya kidigitali na kusababisha hasara, kudukuliwa na upotevu wa taarifa na data walizoweka mtandaoni. Katika episode hii, nimekuandalia tips Tano za kufanya Ili wadukuzi wasiweze kupata taarifa zako kwenye simu na laptop. Produced and Hosted By Owen Bariki. Instagram: eleven_digital255 Facebook: eleven_digital255 LinkedIn: eleven_digital25...
Fahamu Instagram insights 15.08.2023 6:28
Katika Episode hi nimekuwekea mambo ambayo ni muhimu kuyafahamu kuhusu Instagram wewe kama mfanyabiashara. Produced and Hosted By Owen Bariki. Instagram: eleven_digital255 Facebook: eleven_digital255 LinkedIn: eleven_digital255
Fahamu VPN Tano bora za kuzitumia ili kulinda taarifa zako. 08.08.2023 6:19
Unataka kuficha utambulisho wako ukiwa mtandaoni? Je unataka usiache alama (digital footprint) pale unapotumia mitandao?. Sasa hapo ndio VPN inapokuwa muhimu sana. Katika Episode hi nakulete VPN 5 ambazo ni bora na ningependa uwe unazitumia Ili kukulinda na kukufanya uwe salama pale unapokuwa mtandaoni. Produced and Hosted By Owen Bariki. Instagram: eleven_digital255 Facebook: eleven_digital255 Li...
FAHAMU KUHUSU MITANDAO YA KIJAMII 01.08.2023 4:34
Katika Episode hi ya Pili tutachunguza ukweli usiojulikana na mambo ya kushangaza kuhusu mitandao ya kijamii ambayo ni faida kwa wafanyabiashara na watu wengine wanaotumia mitandao hiyo. Unataka kujuwa nimekuandalia nini kaa nami nikufungulie pazia la siri hizi za mitandao ya kijamii Karibu sana! Produced and Hosted By Owen Bariki. Instagram: eleven_digital255 Facebook: eleven_digital255 LinkedIn:...
Akili Bandia (A.I) Ambazo Unapaswa Uzifahamu. 24.07.2023 8:48
Katika Episode hi ya Kwanza tumewaletea Akili bandia Tano ambazo ni muhimu Kwa wafanyabiashara, wanafunzi na watu wa kawaida kuzifahamu na kuzitumia kwani zinarahisisha kazi mbalimbali za mwanadamu. Produced and Hosted By Owen Bariki.
Unyasasaji Wa Mtandaoni Unaoneka Vipi? | Na Neema Loth 10.02.2023 10:20
Katika episode hii, Neema Loth ametueleza kwa undani vile unyanyasaji wa kimtandao unavyokuwa na kufanyika katika majukwaa mbalimbali ya kidigitali Tanzania.
Je, Usajili Wa Laini Za Simu Umepunguza Matukio Na Makosa Ya Kimtandao? 06.02.2023 13:00
Katika kipindi cha karibuni, kumekuwa na kampeni za uhakiki wa laini na namba za simu ili kuthibiti uhalifu unaofanyika kwa kutumia namba hizo mtandaoni. Je, lengo limefikiwa? Na haya ni maoni ya wananchi kuhusu usajili wa laini za simu na namba zake.
Kiusalama, Kwanini Unatakiwa "Updates" Vifaa Vyako Vya Kidigitali. 03.02.2023 9:45
Teknolojia inabadilika haraka sana. Mambo ya jana sio ya leo, kila siku vitu vinabadilika. Hivyo katika episode hii tumekukuletea sababu za kiusalama kwanini unatakiwa Updates vifaa na apps zako kila wakati ili ubakie salama mtandaoni.
Je, Unaijua Sheria ya Makosa ya Mtandao ya Mwaka 2015? 30.01.2023 8:10
Katika episode hii, tumepima vile wananchi wana uelewa juu ya sheria ya makosa ya mtandao iliyotungwa na kupitishwa mwaka 2015. Chukua muda wako na sikiliza maoni na uelewa wa wananchi wa Tanzania juu ya sheria hii
Unajilinda Vipi Ukiwa Mtandaoni? | Na Oweniz Bariki 27.01.2023 26:27
Elimu ndio inayokosekana kati wa watumiaji wengi wa majukwaa ya kidigitali na kusababisha hasara, kudukuliwa na upotevu wa taarifa na data zako ulizoziweka mtandaoni. Katika episode hii, Ungana na mtaalam wa masuala ya kidigitali akikuelezea ni jinsi gani unaweza kuwa salama mtandaoni.
Zijue njia salama za kujilinda Mtandaoni kwa kuweka nenosiri thabiti. (strong password) 23.01.2023 21:08
Watu wengi wamekuwa wahanga wa taarifa au kurasa zao za mitandao ya kijamii kudukuliwa, katika episode hii tumekuletea njia salama za kuweka katika majukwaa yako ya kidigitali ili uweze kujilinda dhidi ya wadukuzi na waarifu wa mtandaoni.
Nyayo Za Kidigitali Na Umuhimu Wa Kulinda Hatua Zako Mtandaoni 20.01.2023 19:51
Watu wengi wamekuwa wahanga wa kuibiwa taarifa zao mtandaoni, kitu wasichokijua ni kuwa kila sehemu wanayopita mtandaoni wanaacha hatua zao na taarifa binafsi. Katika episode hii tupo na Imani Luvanga, anatuambia ni kivipi tunaweza linda taarifa zetu zisidukuliwe na waarifu na tubaki mtandaoni salama.
Similar podcasts
Replaio is not a podcast publisher; show names, artwork and audio belong to their authors and are distributed through public RSS feeds.