Leonce Godfrey
Eleven Digital The Podcast
Eleven Digital is the Digital Youth Forum dedicated to education in the field of the safe, creative and positive use of the Internet and new technologies. This is ‘Open Forum' aims to encourage dialogue and spread digital awareness on different issues by providing a platform on which ideas, creativity, thoughts and questions can be expressed and tackled in an open environment.
Be sure to visit the podcast's website and support the creator: podcasters.spotify.com
Author
Leonce Godfrey
Category
Podcast website
Latest episode
May 7, 2025
Where to listen?
Podcasts in the app Replaio Radio Coming soonPodcasts are coming to the app soon. Install now and be the first to see a whole new take on podcasts
Episodes
Hizi Ndio Sehemu Salama Zaidi Za Kutunza Data Zako Mtandaoni 16.01.2023 13:39
Je unawaza ni sehemu gani salama ya kutunza na kuhifadhi taarifa zako na rahisi kufikika pale unapozihitaji?. Katika Episode hii, tumekuletea SITES na APPS bora unazoweza kulinda na kuhifadhi data zako kwa usalama zaidi na rahisi kuzipata pale utakapozihitaji. Chukua muda wako na sikiliza hii;
Hizi Ndio Browser Salama Zaidi Na Nzuri Kutumia Kwenye Simu na Laptop Yako 09.01.2023 23:04
Katika ulimwengu wa kidigitali kuna browsers nyingi sana ambazo zinakupa uwezo wa kuingia kwenye majukwaa mbalimbali ya Internet. Katika episode hii, tumekuletea baadhi tu ya browsers salama na nzuri kutumia kwenye simu na laptop zako bila kusahau Tips mbalimbali zinazoweza kukufanya uwe salama katika majukwaa ya mtandao.
Similar podcasts
Replaio is not a podcast publisher; show names, artwork and audio belong to their authors and are distributed through public RSS feeds.