Elisha Chuma
Echu Podcast
Kufundisha na kuelimisha
Where to listen?
Podcasts in the app Replaio Radio Coming soonPodcasts are coming to the app soon. Install now and be the first to see a whole new take on podcasts
Episodes
Tofauti kati ya Kuumba na kufanya 21.09.2025 20:32
Kuumba na kufanya ni kanuni ya Ki-Mungu, ikiwa unahitaji kufanikiwa huna budi kujifunza na kuitumia.
Majibu ya asili ya jina Adamu 09.12.2024 10:14
Majibu ya asili ya jina Adamu kwa kufuata msingi wa swali kutoka kitabu cha Mwanzo 5 : 1-2
Echu Maarifa : Mbinu za kuweka akiba 04.12.2024 8:46
Mbinu 8 bora za kukusaidia kuwa na tabia ya kuweka akiba.
MAJIBU YA 1 : Adamu alikuwa wa jinsia gani? 03.12.2024 16:03
Kulingana na Mwanzo 5:1-2 "Mungu akawaita jina lao Adamu" ikiwa jina lao wote wawili lilikuwa ni Adamu kwa nini ilibadilika na kuwa utambulisho wa kiume, lakini pia kama ilikuwa ni kwa mmoja kwanini biblia imeandikwa kwa wingi. Majibu ya Ma'mtu ( Mrs Echu). Episode inayofuata itakuwa ni majibu ya Echu mwenyewe.
Episode 2 : Adamu alikuwa wa jinsia gani? 21.11.2024 13:23
MSINGI WA SWALI : “Hiki ndicho kitabu cha vizazi vya Adamu. Siku ile Mungu alipoumba mtu, kwa sura ya Mungu alimfanya; mwanamume na mwanamke aliwaumba, akawabariki akawaita jina lao Adamu, siku ile walipoumbwa.” Mwa 5:1-2 SUV SWALI: 1. Je Adamu alikuwa ni wa jinsia gani? 2. Ikiwa alikuwa ni wa kiume, Biblia imeandika "akawaita " ni wingi je mwingine alieitwa ni nani? 3. Ikiwa wote maji...
Mungu alikuwa wapi wakati anaumba mbingu na nchi? 18.11.2024 14:57
Swali la mjadala lililotoka kwenye kitabu cha biblia Mwanzo 1:1 ( Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi.)
Similar podcasts
Replaio is not a podcast publisher; show names, artwork and audio belong to their authors and are distributed through public RSS feeds.