Elisha Chuma

Echu Podcast

Society SW ↓ 6 Folgen

Kufundisha na kuelimisha

Autor

Elisha Chuma

Kategorie

Society

Podcast-Website

www.echu.co.tz

Neueste Folge

21. Sep 2025

Wo hören?

Podcasts in der App Replaio Radio Bald verfügbar

Podcasts kommen bald in die App. Installiere sie jetzt und erlebe als Erster einen ganz neuen Blick auf Podcasts

Bei Google Play herunterladen Kostenlos installieren Android 5 Mio.+ Downloads · Bewertung 4,8 iOS bald

Folgen

Tofauti kati ya Kuumba na kufanya 21.09.2025

Kuumba na kufanya ni kanuni ya Ki-Mungu, ikiwa unahitaji kufanikiwa huna budi kujifunza na kuitumia.

Majibu ya asili ya jina Adamu 09.12.2024

Majibu ya asili ya jina Adamu kwa kufuata msingi wa swali kutoka kitabu cha Mwanzo 5 : 1-2

Echu Maarifa : Mbinu za kuweka akiba 04.12.2024

Mbinu 8 bora za kukusaidia kuwa na tabia ya kuweka akiba.

MAJIBU YA 1 : Adamu alikuwa wa jinsia gani? 03.12.2024

Kulingana na Mwanzo 5:1-2 "Mungu akawaita jina lao Adamu" ikiwa jina lao wote wawili lilikuwa ni Adamu kwa nini ilibadilika na kuwa utambulisho wa kiume, lakini pia kama ilikuwa ni kwa mmoja kwanini biblia imeandikwa kwa wingi. Majibu ya Ma'mtu ( Mrs Echu). Episode inayofuata itakuwa ni majibu ya Echu mwenyewe.

Episode 2 : Adamu alikuwa wa jinsia gani? 21.11.2024

MSINGI WA SWALI : “Hiki ndicho kitabu cha vizazi vya Adamu. Siku ile Mungu alipoumba mtu, kwa sura ya Mungu alimfanya; mwanamume na mwanamke aliwaumba, akawabariki akawaita jina lao Adamu, siku ile walipoumbwa.” ‭‭Mwa‬ ‭5‬:‭1‬-‭2‬ ‭SUV‬‬ SWALI: 1. Je Adamu alikuwa ni wa jinsia gani? 2. Ikiwa alikuwa ni wa kiume, Biblia imeandika "akawaita " ni wingi je mwingine alieitwa ni nani? 3. Ikiwa wote maji...

Mungu alikuwa wapi wakati anaumba mbingu na nchi? 18.11.2024

Swali la mjadala lililotoka kwenye kitabu cha biblia Mwanzo 1:1 ( Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi.)

Höre den Podcast Echu Podcast in Replaio

Radio und Podcasts in einer App - kostenlos und ohne Anmeldung. Installiere sie noch heute und verpasse den Start nicht

Bei Google Play herunterladen

Replaio ist kein Herausgeber von Podcasts; die Namen der Sendungen, Cover und Audioinhalte gehören ihren Autoren und werden über öffentliche RSS-Feeds verbreitet