Waafrika wanaofikiria.

Watushule Swahili Podcast

Education SW ↓ 10 episodes

Podikasti ya WatushuleTunafikiri, basi tunakuwa. Watushule ni podikasti kwa watu wanaotaka kuishi maisha yenye mwelekeo na uelewa mzuri. Kila kipindi kinazungumzia mambo muhimu yanayoathiri maisha yetu — kama kusudi, nidhamu, utambulisho, kazi, na hali halisi ya maisha ya Mwafrika katika dunia ya leo. Hii si motisha. Hii ni fikra. Kama unahisi kuna zaidi katika maisha kuliko yale uliyozoea au kuambiwa…basi hii ni sehemu sahihi kwako. www.watushule.com

Author

Waafrika wanaofikiria.

Category

Education

Podcast website

www.watushule.com

Latest episode

May 31, 2026

Where to listen?

Podcasts in the app Replaio Radio Coming soon

Podcasts are coming to the app soon. Install now and be the first to see a whole new take on podcasts

Get it on Google Play Install for free Android 5M+ downloads · 4.8 rating iOS soon

Episodes

Kuwa na watu wengi wa karibu haimaanishi wengi watakuwa na umuhimu kwako. 31.05.2026

Kanuni ya ufanisi wa Pareto inasema asilimia themanini ya matunda inatokana na asilimia ishirini ya mbegu au juhudi. Hii ni kwenye kazi, biashara, mahusiano au afya yako. This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit www.watushule.com

Pesa inazaa pesa. Na pesa inayozaa pesa huzaa pesa zaidi. 24.05.2026

Pesa, ujuzi na mahusiano vinahitaji kukua. Na namna bora zaidi ya ukuaji ni kwa mfumo wa riba juu ya riba kwa pesa, ujuzi juu ya ujuzi na mahusiano juu ya mahusiano. Hili ni wazo la compounding kwenye maisha ambaoo Albert Einstein aliwahi kusema ni ajabu la nane la dunia. This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit www.w...

Watu wengi kufanya jambo fulani haimaanishi hilo jambo ni sahihi. 14.05.2026

Watu wengi tunafanya maamuzi binafsi kwa kufuata mkumbo wa watu. Tunaogopa kufanya maamuzi yetu au tunakubali kufanya maamuzi ya familia na jamii kwa kuogopa kuoishana nao. Madhara ya maamuzi hayo huwa yanarudi kwetu na yanakuwa na mdhara ya muda mrefu sana au ya milele. Kwenye episode hii tutaangalia namna ya kujifunza kufikiria kinyume na makundi au kujiuliza kama maamuzi unayofanya ni binafsi a...

Usitafute mafanikio. Tafuta njia za kutokufeli 04.05.2026

Kuna vitu vingi sana vinahitajika kutokea kwenye maisha kuketa mafanikio. Na vitu hivi havipo kwenye uwezo wetu muda mwingi. Lakini kuna vitu vingi sana ambavyo vinafelisha watu, hivi vitu ni rahisi kuviona na kuvifanyia kazi. Episode ya leo tunaangalia kwa undani modo ya kufikiria (mental model) ya kuwaza vitu kinyume. Badala ya kuangalia vitu vya kusaidia mafanikio tunaangalia vitu vya kuzuia ku...

Malengo yanakusaidia kuanza. Mifumo inakusaidia kumaliza. 28.04.2026

Wengi wanaishi na ndoto ambazo hazina malengo. Wenye malengo hawana sababu yenye nguvu zaidi kuwafanya wavumilie mambo yakiwa magumu. Wenye sababu hawana mfumo mzuri wa kutimiza malengo hayo. Episode hii inaangalia namna bora ya kutengeneza malengo na mifumo ili kutimiza ndoto na matamanio yetu duniani. This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get acces...

Kuna tofauti kati yako na kazi yako 21.04.2026

Katika episode hii ya Watushule, ninatafakari maana ya kazi kupitia hatua mbalimbali za maisha. Kutoka kazi za shambani utotoni, kuuza matunda na mboga kwa ajili ya pesa ya matumizi, hadi maisha ya kazi katika mazingira ya kitaaluma na safari ya kujenga miradi mbalimbali huku nikirudi tena na tena kwenye upendo wa usimulizi wa hadithi, episode hii inaangalia ukweli mmoja muhimu: Kuna tofauti kati...

Kutokuwa na ugonjwa haimaanishi una afya 14.04.2026

Nini maana halisi ya kuwa na afya? Katika kipindi hiki cha Watushule, natafakari maisha ya bibi yangu Anna, ambaye aliendelea kuwa mwenye nguvu, mwenye bidii, na mwenye utulivu wa ndani hata hadi uzee. Katika siku yake ya kuzaliwa ya miaka 100, nilipomuuliza siri ya afya yake, alitabasamu na kusema, “Mimi ni binti mpendwa wa Mungu.” Miaka mingi baadaye, baada ya kifo chake, jibu hilo lilianza kuwa...

Mahusiano ni muhimu sana kwenye maisha, na bado ndio chanzo cha maumivu makubwa sana kwa watu. 05.04.2026

Mahusiano ni muhimu zaidi kwenye maisha, na ndio yenye changamoto zaidi maishani. Kwenye episode hii ya Watushule Podcast tunaangalia misingi mikuu ya mahusiano: Familia, marafiki na mapenzi. Kwa kuangalia historia za familia, filosofi na mifano hai, episode hii inaangalia namna gani familia inaweza kukujenga au kukharibia msingi wa maisha yako. Tunaangalia namna wewe ni wastani wa marafiki zako w...

Mambo Muhimu Maishani Huja kwa Utatu, Lakini Maisha Huja Mara Moja Tu 28.03.2026

Kipindi cha 2: Mambo Muhimu Maishani Huja kwa Utatu, Lakini Maisha Huja Mara Moja Tu Katika kipindi hiki cha Watushule, tunaacha Kidogo Kungwi’s kwa undani zaidi katika nguzo tatu za maisha — mahusiano, kazi, na afya — ili kuukabili ukweli unaozipa mambo hayo uharaka na muhimu wake: KIFO kwa mwanadamu. Maisha hubadilika kwa misimu. Katika hatua tofauti za maisha, mambo tofauti huwa na uzito tofaut...

Vitu vya muhimu kwenye maisha vinaonekana kuja kwa tatu 23.03.2026

This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit www.watushule.com

Listen to the Watushule Swahili Podcast podcast in Replaio

Radio and podcasts in one app - free, with no sign-up. Install today and do not miss the launch

Get it on Google Play

Replaio is not a podcast publisher; show names, artwork and audio belong to their authors and are distributed through public RSS feeds.