Luphurise Lema
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
Hongera sana kwa kuchukua nafasi kusikiliza masomo haya ambayo yanaletwa kwako kila Jumatatu. Masomo haya yatakupa maarifa na hekima kutoka kwa Mungu itakayakusaidia uwe na Wiki yenye mafanikio na ushindi. Watumie wengine link hii ili waweze kujifunza.
Author
Luphurise Lema
Category
Podcast website
Latest episode
Feb 5, 2026
Where to listen?
Podcasts in the app Replaio Radio Coming soonPodcasts are coming to the app soon. Install now and be the first to see a whole new take on podcasts
Episodes
UKIZIMIA SIKU YA TAABU NGUVU ZAKO NI KIDOGO 28.09.2020 16:50
UKIZIMIA SIKU YA TAABU NGUVU ZAKO NI KIDOGO _By Luphurise Mawere_ _Mithali 24: 10 Ukizimia siku ya taabu, Nguvu zako ni chache._ Tunaishi katika dunia ambayo imejaa taabu nyingi. Vyombo vya habari kila mara vinatoa taarifa za taabu katika mataifa mbalimbali, utaona Taifa hili likipita katika taabu moja hadi nyingine. Lakini watu pia wanapitia taabu mbalimbali. Yamkini unapitia ujumbe huu uko kweny...
Usikatishwe tamaa na makosa uliyoyafanya jifunze, jirekebishe, inuka na uanze upya na Mungu 14.09.2020 15:31
_Luka 15: 11-24_ _Mithali 24: 16 Kwa maana mwenye haki huanguka mara saba akaondoka tena; Bali wasio haki hukwazwa na mabaya._ Katika maisha kuna nyakati tutafanya makosa kwasababu sisi sio wakamilifu, sisi ni wanadamu Leo nataka kuongea na mtu mmoja ambaye unajiona una makosa mengi Unayejiona una dhambi nyingi Labda wewe ni binti una ujauzito kabla ya ndoa Au Umeokoka lakini umerudi nyuma, umefan...
UNAPOPITA KWENYE MAPITO JIFUNZE KUWA NA MTAZAMO CHANYA 07.09.2020 15:09
_*Yohana 16: 33* Hayo nimewaambieni mpate kuwa na amani ndani yangu. Ulimwenguni mnayo dhiki; lakini jipeni moyo; mimi nimeushinda ulimwengu._ _*Ayubu 1: 22* Katika mambo hayo yote Ayubu hakufanya dhambi, wala hakumwazia Mungu kwa upumbavu._ (Soma Ayubu yote mlango 1 na wa 2) Bwana Yesu hatukuahidi kwamba tutaishi tu kwa furaha siku zote Hatukuahidiwa kwamba kila siku itakuwa birthday, wedding ann...
Kitu cha Kukuvusha hapo ulipo kiko nyumbani mwako -STRETCH 31.08.2020 18:44
*KITU CHA KUKUVUSHA ULIPOKWAMA KIKO NYUMBANI MWAKO* _STRETCH !_ By Luphurise Mawere *2 Wafalme 4: 1-7* _1 Basi, mwanamke mmoja miongoni mwa wake za wana wa manabii alimlilia Elisha, akasema, Mtumishi wako mume wangu amekufa; nawe unajua ya kuwa mtumishi wako alikuwa mcha BWANA; na aliyemwia amekuja ili ajitwalie wana wangu wawili kuwa watumwa._ _2 Elisha akamwambia, Nikufanyie nini? Niambie; una k...
15. Usidhulumu Mali ya Mtu 24.08.2020 17:24
VITU VYA KUFANYA ILI UWEZE KUFANIKIWA KIUCHUMI _By Luphurise Mawere_ *15. Usidhulumu Mali ya Mtu* *Kumbukumbu la Torati 24: 14-15* _14 Usimwonee mtumishi mwenye ujira aliye maskini na uhitaji, kama ni wa nduguzo, au kama ni wageni wako mmojawapo walio katika nchi yako, ndani ya malango yako;_ _15 mpe ujira wake kwa siku yake, wala jua lisichwe juu yake; kwa maana ni maskini, moyo wake umeutumainia...
14. Fanya Kazi kwa Bidii na kwa Werevu pia 17.08.2020 18:32
VITU VYA KUFANYA ILI UWEZE KUFANIKIWA KIUCHUMI _By Luphurise Mawere_ *14. Fanya Kazi kwa Bidii na kwa Werevu* _2 Timotheo 2: 6-7_ _6 Yampasa mkulima mwenye taabu ya kazi kuwa wa kwanza wa kupata fungu la matunda._ _7 Yafahamu sana hayo nisemayo, kwa maana Bwana atakupa akili katika mambo yote._ Mithali 22: 29 _Mithali 16: 3 Mkabidhi BWANA kazi zako, Na mawazo yako yatathibitika._ Unaposoma hiyo mi...
Ishi kwa Mipango 10.08.2020 12:10
VITU VYA KUFANYA ILI UWEZE KUFANIKIWA KIUCHUMI _By Luphurise Mawere_ *13. Ishi kwa Mipango* _Mithali 21: 5 Mawazo ya wenye bidii huuelekea utajiri tu; Bali kila mwenye pupa huuelekea uhitaji._ Kiingereza inasema _The plans of the diligent lead only to plenty, but everyone who is hasty comes only to poverty._ Pia soma _Luka 14: 28 - 30_ Je mipango yako ya mwaka huu 2020 ni ipi? Vitu unavyovufanya v...
Epuka Kutamani Utajiri wa Haraka 03.08.2020 10:16
VITU VYA KUFANYA ILI UWEZE KUFANIKIWA KIUCHUMI _By Luphurise Mawere_ *12. Epuka Kutamani Utajiri wa Haraka* _Mithali 13: 11 Mali iliyopatikana kwa haraka itapunguka; Bali yeye achumaye kidogo kidogo atazidishiwa._ Kwa Kiingereza inasema _Proverbs 13: 11 Wealth quickly got will become less; but he who gets a store by the work of his hands will have it increased._ Tunaishi katika ulimwengu ambao vit...
Tambua Nyakati na Majira 27.07.2020 21:42
VITU VYA KUFANYA ILI UWEZE KUFANIKIWA KIUCHUMI _By Luphurise Mawere_ *11. Tambua Nyakati na Majira* _Mwanzo 41: 28 -32_ _28 Ndivyo nilivyomwambia Farao, ya kwamba Mungu amemwonyesha Farao atakayoyafanya hivi karibu._ _29 Tazama, miaka saba ya shibe inakuja, katika nchi yote ya Misri._ _30 Kisha kutakuja miaka saba ya njaa baada yake; na shibe ile yote itasahauliwa katika nchi ya Misri, na njaa ita...
Tangaza Vita ya Madeni na Luphurise Mawere 20.07.2020 20:25
VITU VYA KUFANYA ILI UWEZE KUFANIKIWA KIUCHUMI _By Luphurise Mawere_ *10. Tangaza Vita Vya Madeni* _Nehemia 5: 1-5_ 1 Ndipo kukatokea kilio kikuu cha watu, na wake zao, juu ya ndugu zao Wayahudi. 2 Maana, walikuwako watu waliosema, Sisi, na wana wetu na binti zetu, tu wengi; na tupate ngano, tule, tukaishi. 3 Tena walikuwako wengine waliosema, Tumeweka rehani mashamba yetu, na mizabibu yetu, na ny...
Usitapanye Mali na Pesa Mungu alizokupa 13.07.2020 16:41
VITU VYA KUFANYA ILI UWEZE KUFANIKIWA KIUCHUMI _By Luphurise Mawere_ *9. Usitapanye Mali na Pesa Mungu alizokupa* _Luka 16: 1-12_ Mungu anatutaka tuwe mawakili wema wa mali na pesa alizotupa, *Wakili* ni mtu anayesimamia mali za mtu mwingine, Sisi ni mawakili wa vitu Mungu alivyoweka kwenye maisha yetu, _Mwanzo 2: 15 BWANA Mungu akamtwaa huyo mtu, akamweka katika bustani ya Edeni, ailime na kuitun...
8 Kutiisha na Kutawala Nchi Luphurise Mawere 06.07.2020 13:13
17 Chuma hunoa chuma; Ndivyo mtu aunoavyo uso wa rafiki yake. 19 Kama uso ufananavyo na uso katika maji; Kadhalika moyo wa mtu na mwenzake.
7 Ukaijaze Nchi 29.06.2020 14:37
VITU VYA KUFANYA ILI UWEZE KUFANIKIWA KIUCHUMI _By Luphurise Mawere_ *7. Kuijaza Nchi* _Mwanzo 1: 28_ _Ezekiel 27: 25 Merikebu za Tarshishi zilikuwa misafara yako, kwa bidhaa yako; nawe ulijazwa sana, ukawa mtukufu sana, katika moyo wa bahari._ _Isaya 23: 2_ Mungu mojawapo ya kazi waliyopewa Adam na Eva ni kuijaza nchi. Mungu anataka mimi na wewe tuijaze nchi baada ya kuzalisha na kuongezeka Hiyo...
1 Mungu awe wa Kwanza katika maisha yako 22.06.2020 8:05
Mwendelezo wa Vitu vya kukusaidia uweze kufanikiwa kiuchumi na Luphurise Mawere
2 Nia yako ya kufanikiwa kiuchumi iwe njema 22.06.2020 16:44
Mwendelezo wa Vitu vya kukusaidia uweze kufanikiwa kiuchumi na Luphurise Mawere
3 Kuwa na Mtazamo sahihi kuhusu Mafanikio ya kiuchumi 22.06.2020 11:57
Mwendelezo wa Vitu vya kukusaidia uweze kufanikiwa kiuchumi na Luphurise Mawere
4 Usipende Pesa 22.06.2020 17:42
Mwendelezo wa Vitu vya kukusaidia uweze kufanikiwa kiuchumi na Luphurise Mawere
5 Zalisha Kitu 22.06.2020 15:14
Mwendelezo wa Vitu vya kukusaidia uweze kufanikiwa kiuchumi na Luphurise Mawere
6 Ongezeka 22.06.2020 16:33
Mwendelezo wa Vitu vya kufanya ili uweze kufanikiwa kiuchumi
VITU VYA KUFANYA ILI UWEZE KUFANIKIWA KIUCHUMI by Luphurise Mawere 15.06.2020 1:09:44
Kama unataka mafanikio ya kiuchumi ambayo yanaongozwa na Mungu usiache kusikiliza mtiririko kwa somo hili la Vitu vya kufanya ili uweze kufanikiwa kiuchumi. Weka kila unachojifunza kwenye matendo, maisha yako ya kiuchumi yatabadilishwa kabisa!
Vitu vya kufanya uweze kuzishinda nyakati ngumu by Luphurise Mawere 15.06.2020 29:42
Nyakati ngumu zitakuja, zikija ufanyeje, sikiliza hii podcast
Kuna faida kwenye kila dhoruba unayopitia by Luphurise Mawere 15.06.2020 15:03
Wengi wakipata dhoruba hukata tamaa kwasababu wanaangalia upande mmoja wa dhoruba. Sikiliza ujue faida zilizopo kwenye kila dhoruba au changamoto unayopitia
Similar podcasts
Replaio is not a podcast publisher; show names, artwork and audio belong to their authors and are distributed through public RSS feeds.