Tenda Radio TZ

Tenda Radio TZ Podcast

News SW ↓ 8 episodes

TENDA RADIO ni ‘podcast radio’ iliyojikita katika kuwafahamisha, kuwaelimisha na kuwahamasisha wasikilizaji kuhusu fursa za tenda za Serikali, na jinsi ya kupata fursa ya kujipatia fedha za ununuzi wa umma kupitia Mfumo wa NeST.  Pia, maudhui haya yanaruka kupitia radio washirika wetu nchini Tanzania ikiwemo Radio Free Afrika, C-FM (Dodoma), A FM (Dodoma), Uyui FM (Tabora), Jembe FM (Mwanza) na nyingine.   Imepewa nguvu na Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA). 

Author

Tenda Radio TZ

Category

News

Podcast website

www.buzzsprout.com

Latest episode

Nov 16, 2025

Where to listen?

Podcasts in the app Replaio Radio Coming soon

Podcasts are coming to the app soon. Install now and be the first to see a whole new take on podcasts

Get it on Google Play Install for free Android 5M+ downloads · 4.8 rating iOS soon

Episodes

MABILIONI YANAVYOTOLEWA KWA WATU WENYE ULEMAVU KUPITIA MFUMO WA NeST 16.11.2025

Zaidi Shilingi Trilioni 5 ya Tenda za serikali iliyotengwa kwa ajili ya makundi maalum yaani vijana, wanawake, wazee na watu wenye ulemavu inakusubiri wewe? Sikiliza msimu mpya wa Tenda Radio. Jumatano hii tukupe code ya kupata sehemu ya fedha hizo kwa kufanya kazi na serikali kupitia ununuzi wa umma kwenye mfumo wa NeST kwa watu wenye ulemavu. Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Uthibiti wa Ununuzi wa...

FURSA ZA SHERIA MPYA YA UNUNUZI WA UMMA, NEEMA NA ADHABU 18.07.2024

Tenda Radio imefanya mahojiano maalum na Mkurugenzi wa Huduma za Sheria wa Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA), Wakili Msomi Paul T. Kadushi, amefunguka fursa zinazopatikana kwenye sheria mpya ya ununuzi wa umma ya Tanzania.  Sheria hii ina fursa nyingi na neema kwa watanzania, lakini pia ameeleza adhabu kwa watakaoikiuka. Hapa kamata fursa za asilimia 70% ya Bajeti ya Serikali ambayo mw...

NeST ya MAMA SAMIA 02.07.2024

Artist: Amini  Song Writer: Joseph Muhozi Producer: C9

JINSI YA KUPATA KIASI CHA BAJETI MPYA YA SERIKALI KUPITIA MFUMO WA NeST, TUKO BUNGENI 23.06.2024

Tenda Radio Sehemu ya 5 inazungumzia jinsi ambavyo wazabuni wa Tanzania wamepewa upendeleo maalum kwenye sheria mpya, na jinsi ambavyo wanaweza kupata sehemu ya Bajeti ya Serikali iliyotangazwa bungeni (2024/25).  Ndani, utamsikia Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Patrobas Katambi, Mkurugenzi Mkuu wa PPRA, Eliakim Maswi  na kiundani tunazungumza na wabunge wawili w...

Jinsi watumiaji wanavyokuwa salama kwenye Mfumo wa NeST 04.06.2024

Hii ni sehemu ya Nne ya Tenda Radio, ambapo pamoja na mambo mengine, tumezungumzia usalama wa watumiaji katika Mfumo wa NeST.  Tumezungumza na Mkurugenzi wa Mifumo ya TEHAMA ambaye pia ni Meneja Mradi wa Ujenzi wa Mfumo wa NeST, Bw. Michael Moshiro. 

FURSA YA ZAIDI YA SH. 104 BILIONI, NA JINSI YA KUPATA SEHEMU YA BAJETI HII 11.05.2024

Usiikose hii. Tusikilize upate fursa, ubadili maisha yako kiuchumi.  Tenda Radio imekita kambi jijini Arusha, kuzichambua fursa ya bajeti ya zaidi ya Sh. 104 Bilioni zilizowekwa kwenye Mfumo wa NeST na Halmashauri ya Jiji la Arusha, na jinsi wewe unavyoweza kupata sehemu ya bajeti hiyo. Tuko na Mkurugenzi wa Jiji hilo, Mhandisi Juma Hamsini na walioshinda tenda wanafunguka siri ya ushindi.  Tufuat...

HATUA TATU MUHIMU KUPATA TENDA ZA SERIKALI 17.04.2024

Hii ni sehemu ya pili ya Tenda Radio inayokupa hatua tatu muhimu za jinsi ya kupata tenda za Serikali. Tumeyajenga na Afisa Mtendaji Mkuu wa BRELA, Bw. Godfrey Nyaisa na Meneja wa Huduma za Kanda wa PPRA, Bi. Vicky Mollel.. Walioshinda tenda za Serikali pia kupitia Mfumo wa NeST wametupatia siri ya ushindi wao. 

JINSI YA KUPATA TENDA ZA SERIKALI KUPITIA MFUMO WA NeST 20.03.2024

#KIMEPEWA NGUVU NA PPRA #KAMATA FURSA Unawezaje kupata Tenda ya Serikali kwa haki kupitia Mfumo wa NeST? Kipindi hiki kitakufungua kuhusu jinsi ambavyo unaweza kupata tenda za Serikali (zabuni za umma) kupitia Mfumo wa NeST, na kupata sehemu ya bajeti ya zaidi ya Sh. 25 Trilioni zilizowekwa kwenye mfumo huo.    Kwenye episode hii utawasikia wazabuni walioshinda zabuni, wakieleza siri ya mafanikio...

Listen to the Tenda Radio TZ Podcast podcast in Replaio

Radio and podcasts in one app - free, with no sign-up. Install today and do not miss the launch

Get it on Google Play

Replaio is not a podcast publisher; show names, artwork and audio belong to their authors and are distributed through public RSS feeds.