VOA
Tanzania - Voice of America
Voice of America is an international news and broadcast organization serving Central and Eastern Europe, the Caucasus, Central Asia, Russia, the Middle East and Balkan countries
Be sure to visit the podcast's website and support the creator: www.voaswahili.com
Where to listen?
Podcasts in the app Replaio Radio Coming soonPodcasts are coming to the app soon. Install now and be the first to see a whole new take on podcasts
Episodes
JARIDA LA WIKI JULY 29 2023 - Julai 28, 2023 28.07.2023 20:57
Wiki hii tunaangazia mkutano kati ya rais wa Russia Vladimir Putin na viongozi wa nchi za Afrika, mapinduzi nchini Niger na Maandamano nchini Israel. Mtayarishaji na msimulizi wa kipindi ni Kennes Bwire
KWA UNDANI JULY 26 2023: Mkutano wa Putin na Marais wa nchi za Afrika nchini Russia - Julai 26, 2023 26.07.2023 25:00
Viongozi wa Afrika wanaanza mkutano wao na rais wa Russia Vladmir Putin, nchini Russia lakini chini ya nusu ya marais wa Afrika wanahudhuria mkutano huo wakisema wanastahili kuakilishwa na mwenyekiti wa umoja wa Afrika hatua ambayo Russia inadai inachochewa na nchi za magharibi.
Dunia inaadhimisha siku ya ujuzi kwa vijana - Julai 14, 2023 14.07.2023 2:15
Dunia siku ya Jumamosi inaadhimisha siku ya ujuzi wa kazi kwa Vijana ambapo kauli mbiu ni kuwapa ustadi walimu, wakufunzi pamoja na vijana Kutokana na hilo tumezungumza na Gloria Anderson ambaye ni YALI Fellow na Mkurugenzi na mwanzilishi wa TEDI -Tanzania Enlightenment Development Innovations
JARIDA: Matukio muhimu duniani wiki hii - Mei 08, 2023 07.05.2023 20:20
Kati ya yaliyotokea wiki hii ni pamoja na shambulizi laa ndege isiyokuwa na rubani nchini Russia, Kupitishwa kwa sheria kali dhidi ya ushoga nchini Uganda, Maandamano ya upinzani kufifia nchini Kenya na kufukuliwa kwa miili ya watu waliokufa kutokana na mafunzi ya kidini Kenya
MANDAMANO YA UPINZANI KENYA YAMEKOSA JOTO.mp3 - Mei 03, 2023 02.05.2023 12:02
Kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga alishindwa kuongoza wafuasi wake kwa maandamano kuingia katikati mwa jiji la Nairobi baada ya maafisa wa usalama kushika doria. Kennes Bwire amezungumza na mchambuzi wa siasa Prof Harman Manyora
BUNGE LA UGANDA LIMEPITISHA MSWADA DHIDI YA USHOGA.mp3 - Mei 02, 2023 02.05.2023 12:14
Bunge la Uganda limepitisha mswada dhidi ya ushoga kwa mara ya pili, baada ya kurudishwa bungeni na rais Yoweri Museveni akitaka ufanyiwe marekebisho. Kennes Bwire amezungumza na Sadam Mubale, mwandishi wa habari pamoja na mbunge Asuman Baasalirwa, mwandishi wa mswada huo.
Mahojiano na Ismail Jusa afisa muandamizi wa ACT Wazalendo - Novemba 18, 2020 18.11.2020 6:25
Ismail Jusa anasema ni baada ya ushauriano na kutafakari juu ya maoni ya wanachama, ndipo uwongozi wa ACT Wazalendo utamua kujiunga au la na serikali ya umoja wa kitaifa kama inavyohitajika na katiba.
Tundu Lissu apokelewa kwa shangwe Tanzania - Julai 27, 2020 27.07.2020 3:10
Mwanasiasa Tundu Lissu amerejea Tanzania Jumatatu baada ya kuwa nje nchi kwa karibu miaka mitatu na kupokelewa kwa shangwe.
Rais Magufuli aiweka Tanzania katika hali ya hatari zaidi: Zitto Kabwe - Mei 04, 2020 04.05.2020 7:30
Kiongozi wa chama cha upinzani Tanzania cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe anasema rais anaiweka nchi katika hali ya hatari kutokana na namna anavyokabiliana na janga la Covid-19, na amerudhisha nyuma sana nchi katika mapambano hayo.
COVID-19 : ACT yaishauri serikali ya Tanzania ifuate muongozo wa WHO - Aprili 23, 2020 23.04.2020 7:36
Kiongozi wa chama cha upinzani Tanzania, cha ACT mzalendo Zitto Kabwe anasema, inasikitisha kuona kwamba watu wengi hawafuati muongozo wa Shirika la Afya Duniani WHO, katika juhudi za kuzuia kuenea mambukizo ya virus via Corona nchini humo.
Muhimbili yafanya upasuaji wa kichwa - Desemba 14, 2017 14.12.2017 7:29
Madaktari bingwa kutoka Hospitali ya Muhimbili katika Taasisi ya Mifupa (MOI) nchini Tanzania, wamefanikiwa kufanya upasuaji wa Kichwa cha mtoto ambaye ubongo wake ulikuwa nje ya fuvu. Upasuaji huo unaelezwa kuwa wa mafanikio makubwa na wa Kipekee. Mwandishi wetu George Njogopa anatuarifu zaidi.
Mwezi wa Octoba dunia huadhimisha saratani ya matiti - Oktoba 11, 2017 11.10.2017 6:53
Kila mwezi Octoba duniani huadhimisha saratani ya matiti , mwezi ambao umetengwa maalumu na umoja wa mataifa ili kutoa uelewa zaidi na hamasa kwa watu kujua saratani ya matiti na jinsi ya kuepuka hatari za kupata ugonjwa huu.
Similar podcasts
Replaio is not a podcast publisher; show names, artwork and audio belong to their authors and are distributed through public RSS feeds.