Swahili Dishes Podcast

Swahili Dishes Podcast

Society SW ↓ 84 episodes

This podcast hosted by Faiza & Mkamburi is purely in Swahili language and focuses on breaking stereotypes about the Kenyan coastal community and culture through entertaining conversations.

Author

Swahili Dishes Podcast

Category

Society

Podcast website

podcasters.spotify.com

Latest episode

Jul 21, 2025

Where to listen?

Podcasts in the app Replaio Radio Coming soon

Podcasts are coming to the app soon. Install now and be the first to see a whole new take on podcasts

Get it on Google Play Install for free Android 5M+ downloads · 4.8 rating iOS soon

Episodes

Utalipa Fare? 27.06.2023

Jumuika nasi kwenye mchezo wa maswali na majibu.

Punguza Hasira! 09.06.2023

Hasira hasara. Mapenzi yahitaji utaratibu fulani spesheli!

Vitu Attractive Wanaume Wanafanya 14.04.2023

Mbali na sura ama hela, kuna vitu fulani wanaume hufanya ambavyo vinavutia sana.

Pressure Za Kuolewa Zimezidi! 14.04.2023

Je kuna umri mwafaka ambao mtu lazima aoe ama aolewe? Na ni lazima mtu aolewe kulingana na matarajio ya jamii?

Utajuaje Dame Yako Amechoka Na Wewe? 12.04.2023

Tunajua wanawake wamepata ushauri kuhusu kutunza wanaume, tushachoka na mada hiyo na leo tunawapa wanaume ushauri. Tega sikio!

Aina Mbili za Cheating/Kuchepuka na Gani ni Mbaya Zaidi 09.04.2023

Watu huwa wanachepuka kutumia mbinu tofauti na madhara yake hutegemea na vile mtu anafafanua maana ya kuchepuka.

Aina ya Marafiki Unafaa Kujiepusha Nao 08.04.2023

Kama una marafiki ambao wana sifa kama hizi, jitahadhari!

Utajuaje Uko Kwenye Mahusiano Toxic? 07.04.2023

Kama wapitia haya, jua uko hatarini!

Ishara Unatumika Vibaya Na Familia Yako 05.04.2023

Wakati mwingine familia yako ndio watu wa kwanza wanaokudhalilisha maishani mwako.

Mambo Ya Kunyamazia Mahusiano Yakiwa Mabichi 04.04.2023

Ni muhimu kuweka siri fulani wakati umeanza mahusiano na mtu wakati bado hamjazoeana.

Kwa Nini Ma Slay Queen Wanaolewa Sana Kuliko Wife Material? 03.04.2023

Gumzo mtaani ni kwamba ma slay queen wananyakuliwa haraka zaidi kuliko wanawake wanaojulikana kama wife material. Je kuna sababu spesheli ?

Je Kuna Vazi La Heshima Ukienda Kwa Wakwe Zako? 01.04.2023

Mila na desturi inashurutisha ya kwamba kuna sheria fulani za kimavazi ambayo ni lazima kuzingatia unapoenda kutembelea wakwe zako.

QnA: Sheria Za Mahusiano, Utabadilishana Passwords ama PIN za ATM? 31.03.2023

Sheria katika mahusiano zimebadilika sana sana kwenye kizazi cha mitandao ya kijamii.

Utajuaje Hayuko Tayari Kuoa? Vijitabia vya Kuangalia 30.03.2023

Kuna vitabia vinavyoonyesha kuwa mtu hayuko tayari kuoa. Tayarisha kalamu na karatasi ueze kujielimisha.

Vitu Vya Kupigwa Marufuku Wakati wa Dating 29.03.2023

Hakuna haja ya kudanganyana na kuzungushana kiakili. Tuzingatie mambo haya tofauti.

Tabia za Kusinya Kwenye Arusi za Kiswazi! 28.03.2023

Kuna vijitabia ambavyo vina aibu wakati wa arusi kule mitaani uswahilini.

Je Ni Sawa Kumposti Mpenzi Wako Kwenye Mitandao ya Kijamii? 27.03.2023

Tunazungumzia kuhusu changamoto za kuanika mahusiano yako kwenye mitandao.

Pettiest Thing Umefanya Baada Ya Kuachana Na Mpenzi Wako 22.03.2023

Saa nyingine hasira ni hasara.

Umerogwa Ama Ni Penzi La Kweli? 21.03.2023

Kuna vitabia mtu hufanya katika mahusiano amayo yanafanya ujiulize kama akili iko sawa ama ni jinamizi.

Kwa Nini Wanawake Wanacheati? 29.10.2022

Je unajua kuna takwimu zinazoelezea kuwa wanawake huwa na mbinu bora za kucheati?

Mambo Wanaume Wanayofanya Baada ya Mechi Yanayoboesha 28.10.2022

Jumuika nasi tunapotoa mifano ya vitu amabavyo wanaume hufanya baada ya mechi yanayotuudhi.

Part 2-Nilimfumania Hotelini Akicheati 27.10.2022

Kwenye Sehemu ya pili ya Stori ya masaibu ya mapenzi, Faiza anasimulia yake pia.

Part 1- Nilmfumania Hotelini Akicheati (Hadithi Njoo) 27.10.2022

Hadithi njoo uwongo njoo! Mkamburi anatusimulia masaibu yake ya mpenzi wake wa zamani.

Fahamu Haya Kuhusu Uke Wa Mwanamke 27.10.2022

Kipindi hiki kinahusu vitu tofauti unayofaa kujua kuhusu uke wa mwanamke.

Ushawahi Kuchepuka na Mume Wa Mtu? Mchezo Wa Maswali na Majibu (QnA) 27.10.2022

Tujumuike kwenye mchezo huu wa kuchekesha tunapoulizana maswali tofauti kuhusu mahusiano.

Listen to the Swahili Dishes Podcast podcast in Replaio

Radio and podcasts in one app - free, with no sign-up. Install today and do not miss the launch

Get it on Google Play

Replaio is not a podcast publisher; show names, artwork and audio belong to their authors and are distributed through public RSS feeds.