Authentic Swahilians

SISINISISI PODCAST

News SW ↓ 9 episodes

YUBA the BadMan na Mpanga the Road wanajadili maisha ya Taiwan katika vipindi tofauti na kuyalinganisha na maisha ya Tanzania. Podcast hii imejaa burudani, ikiwakilisha simulizi zenye hisia na hadithi zenye mvuto wa kipekee.

Be sure to visit the podcast's website and support the creator: podcasters.spotify.com

Author

Authentic Swahilians

Category

News

Podcast website

podcasters.spotify.com

Latest episode

Jun 19, 2025

Where to listen?

Podcasts in the app Replaio Radio Coming soon

Podcasts are coming to the app soon. Install now and be the first to see a whole new take on podcasts

Get it on Google Play Install for free Android 10M+ downloads · 4.7+ rating iOS soon

Episodes

SISINISISI S01 E09 - KUISHI MAISHA NJE YA NCHI UKIWA MBALI NA WAZAZI NDUGU NA JAMAA 19.06.2025

KUISHI MAISHA NJE YA NCHI UKIWA MBALI NA WAZAZI NDUGU NA JAMAA

SISINISISI S01 E08 - JE UNAWEZA KUSAFIRI KUMFUATA MPENZI WAKO ALIE MBALI? 07.06.2025

Kwenye episode hii Bad Man na The Road wanachambua committments ambazo zinajitokeza kwenye mahusiano hasa yale mahusiano ya mbali yaan long distance. Je unaweza kusafiri na kumfuata mpenzi wako alie mbali na wewe

SISINISISI S01 E07- MTAZAMO WA FURSA ZA KUSOMA NCHINI TAIWAN 24.05.2025

Story na Bienvenu kutoka Burundi kuhusiana na fursa mbalimbali za kusoma nchini Taiwan. Ndani ya podcast hii tumechambua maswala na experience ya maisha ya Taiwan, huku Bien akiwasilisha uzoefu wake kwenye kazi alizowahi kuzifanya hapo awali kwenye mashirikika makubwa alivyokuwa Burundi

SISINISISI S01EP06 - MAISHA YA TAIWAN, KAZI ZA PARTTIME KWA MWANAFUNZI 10.05.2025

Interview hii imefanyika kati ya Yuba na Dauphin ambae ni mwanafunzi kutoka Burundi. Ameelezea experience yake tangu afike Taiwan na mambo mengi ambae amepitia kwenye safari yake ya maisha nchini Taiwan.

SISINISISI S01EP05 - NINI KINAPELEKEA VIJANA WANAOISHI NJE YA NCHI AMA DIASPORA KUWA MACMUGA? 03.05.2025

MacMuga ni Jina lilitumiwa na msanii wa Bongo Flava almaarufu kama King Kiba " Alikiba" kwenye wimbo uitwao MacMuga lengo la wimbo huo ulikua ni kutoa funzo kwa Vijana wanaotafuta maisha nje ya nchi, pindi wanapofanikiwa na kutojisahau kwa kuendekeza starehe na matumizi mabaya ya kile walichokichuma bila kuwekeza hasa nyumbani walikutoka.

SISINISISI S01EP04 -TAMADUNI ZA KIAFRICA NA ASIA NI ZIPI? 26.04.2025

Katika episode hii, tunajadili baadhi ya tamaduni za Taiwan na Tanzania. Mgeni wetu, Jane ambaye ni Mtaiwan, anashiriki nasi kwa kuelezea maoni na uelewa wake kuhusu Afrika na Watanzania. Karibu ufurahie mazungumzo yetu ya kuvutia.

SISINISISI S01EP03 -  TOFAUTI YA MAHUSIANO YA MAPENZI KATI YA TANZANIA NA TAIWAN 19.04.2025

🎙️ SISINISISI - Episode 03: Leo tunazungumzia mapenzi na mahusiano kati ya Taiwan na Tanzania ❤️ Mpanga the Road na Yuba the Bad Man wanachambua tofauti, changamoto, na vichekesho vinavyotokea kwenye mapenzi ya pande hizi mbili. Usikose burudani, ukweli na ushauri wa mapenzi kutoka kwa SISINISISI ! 😄 #Sisinisisi #MapenziTaiwanNaTanzania #SwahiliPodcast

SISINISISI S01EP02 - KAZI ZA TAIWAN KWA INTERNATIONAL STUDENTS, CHANGAMOTO VS EXPERIENCE 13.04.2025

Katika episode hii ya pili, Mpanga the Road na Yuba the Bad Man wanaingia deep kwenye mada ya maisha ya kazi kwa vijana wa Kiafrika wanaoishi Taiwan. Je, ni rahisi kupata kazi? Changamoto zipi zinawakumba? Na vipi kuhusu uzoefu wao binafsi kazini – kuanzia viwandani hadi kwenye ofisi?

SISINISISI S01EP01- TOFAUTI KATI YA MAISHA YA NJE(TAIWAN) NA TANZANIA 05.04.2025

YUBA the BadMan na Mpanga the Road wanajadili maisha ya Taiwan katika vipindi tofauti na kuyalinganisha na maisha ya Tanzania. Podcast hii imejaa burudani, ikiwakilisha simulizi zenye hisia na hadithi zenye mvuto wa kipekee.

Listen to the SISINISISI PODCAST podcast in Replaio

Radio and podcasts in one app - free, with no sign-up. Install today and do not miss the launch

Get it on Google Play

Replaio is not a podcast publisher; show names, artwork and audio belong to their authors and are distributed through public RSS feeds.