SBS

SBS Swahili - SBS Swahili

News SW ↓ 930 episodes

Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili

Author

SBS

Category

News

Podcast website

www.sbs.com.au

Latest episode

Jul 10, 2026

Where to listen?

Podcasts in the app Replaio Radio Coming soon

Podcasts are coming to the app soon. Install now and be the first to see a whole new take on podcasts

Get it on Google Play Install for free Android 5M+ downloads · 4.8 rating iOS soon

Episodes

Historia ya tengezwa katika fainali ya kombe la dunia mjini Sydney 23.08.2023

Wapenzi wa mchezo wa mpira wa miguu kote duniani, walijumuika mbele ya runinga zao kutazama fainali ya Kombe la Dunia la FIFA kutoka mjini Sydney, Australia.

Taarifa ya Habari 22 Oktoba 2023 22.08.2023

Waziri Mkuu Anthony Albanese amesema kampeni ya La kwa sauti yawa Australia wa kwanza bungeni, inajaribu kupotosha watu dhidi yakuwatambua wa Australia wa kwanza nakuanzisha tume ya ushauri katika katiba.

Richard Tuta "Nchi inapokumbwa na migogoro, maendeleo husahaulika" 22.08.2023

Nchi nyingi barani Afrika zina endelea kukabiliana na changamoto za migogoro na uhaba wa maendeleo kila uchao.

Kudhibiti ugonjwa wa vituo vya malezi ya watoto: Vidokezo kwa wahamiaji wapya na wazazi wa mara ya kwanza 22.08.2023

Kuanza kupeleka mtoto katika huduma ya malezi ya watoto mapema, inaweza kuwa suluhisho la vitendo kwa kusawazisha matarajio ya kazi na wajibu wa uzazi.

Taarifa ya Habari 20 Agosti 2023 20.08.2023

Waziri Mkuu Anthony Albanese amesema sifa ya Australia duniani, ime imarika serikali inapo wekeza katika ulinzi pamoja na mahusiano yakimkakati.

Mchakato wa urithi ni upi nchini Australia 20.08.2023

Tofauti na nchi zingine, wa Australia huwa hawalipi kodi ya urithi kwa mali wanazo rithi.

Styve Derrick "tuna fursa za kazi ila tunakosa wafanyakazi Sweden" 17.08.2023

Makampuni na biashara nyingi duniani zina, endelea kukabiliana na changamoto yakuwapata wafanyakazi.

Justin "Covid ilisaidia watu wengi kujitambulisha katika jamii yawakenya Victoria" 17.08.2023

Ni kawaida kwa wahamiaji na watu walio wasili Australia kama wakimbizi, kujiunga na vikundi vya jumuiya za asili yao.

Taarifa ya Habari 15 Agosti 2023 15.08.2023

Takwimu mpya kutoka ofisi ya takwimu ya Australia, inaonesha kuwa mishahara imeongezeka sambamba na mfumuko wa bei katika robo ya Juni.

Ndahiro "kama haumudu sarafu yako hauna uhuru" 15.08.2023

Mapinduzi ya kijeshi nchini Niger yamezua hali ya wasiwasi, miongoni mwa nchi jirani katika eneo la Sahel.

Taarifa ya Habari 14 Agosti 2023 15.08.2023

Wazazi wa mwomba hifadhi kutoka Iran aliye uawa wakati wa mgomo katika kisiwa cha Manus mnamo 2014, wamefikia suluhu ya siri na serikali ya shirikisho pamoja na kampuni ya ulinzi ya G4S.

Voice Referendum: What is it and why is Australia having one? - Kura ya Maoni ya Voice: Ni nini na ni kwa nini tunaifanya? 09.08.2023

Australians will vote in the Indigenous Voice to Parliament referendum on October 14. Here’s what you need to know about the process, including why it’s taking place, and the information that communities can expect to help guide their decisions at the polls. - Je wajua kwamba wa Aboriginal na wana visiwa wa Torres Strait hawa tambuliwi ndani ya katiba ya Australia?

Taarifa ya Habari 8 Agosti 2023 08.08.2023

Serikali ya New South Wales inawekeza $5.8 milioni kwa utoaji wa makaazi ya wanawake na watoto kote jimboni NSW wanao kimbia unyanyasaji na vurugu ya nyumbani.

Dkt Annefrida "Spika Ackson ameshindwa kusimamia demokrasia ndani ya bunge" 08.08.2023

Shirika la kutetea haki za binaadamu la Human Rights Watch limeitolea mwito serikali ya Tanzania kuacha kuwakandamiza wakosoaji wake baada ya mamlaka za nchi hiyo kuwakamata watu wanaopinga mkataba wa uendeshaji bandari.

Taarifa ya Habari 7 Agosti 2023 07.08.2023

Serikali itawasilisha hatua mpya zaku imarisha sheria za kodi, kwa ajili yaku zuia kashfa kama uvujaji wa kampuni ya PriceWaterhouse Coopers.

Taarifa ya Habari 6 Agosti 2023 06.08.2023

Wana harakati wa kampeni ya Ndio wametupilia mbali matokeo ya hivi karibuni ya kura ya maoni, yanayo dokeza uungwaji mkono wa the Voice unapungua.

Umuhimu wakuwa na marafiki kutoka tamaduni mbali mbali 06.08.2023

Kupata marafiki ni moja ya changamoto kubwa huwa tunakabili katika nchi mpya.

Taarifa ya Habari 29 Julai 2023 05.08.2023

Juhudi zakutafuta nakuokoa zina endelea kwa wanahewa wanne walio kuwa ndani ya helikopta ya jeshi la ulinzi la Australia, lililo anguka ndani ya bahari karibu ya kisiwa cha Hamilton usiku wakuamkia leo.

Martin" Urusi haijali maslahi yawa Afrika" 05.08.2023

Kati ya 27-28 Julai, Rais Putin wa Urusi alikuwa mwenyeji wa kongamano la Urusi na mataifa ya Afrika mjini St Petersburg.

Taarifa ya Habari 1 Agosti 2023 01.08.2023

Waziri Mkuu Anthony Albanese amejibu shtuma za waziri mkuu wa zamani Scott Morrison, kwa kumshtumu kwa kutokuwa na huruma kwa waathiriwa wa mfumo wa Robodebt.

Vikao vya Bunge ya Shirikisho vya anza tena baada ya mapumziko ya majira ya baridi 01.08.2023

Vikao vya bunge la shirikisho vime anza tena baada ya likizo ya mwezi mzima, kwa kiongozi wa upinzani Peter Dutton na waziri mkuu wa zamani Scott Morrison kuzungumzia shutma zilizo tolewa wakati wa likizo kuhusu mienendo yao ya awali.

Taarifa ya Habari 30 Julai 2023 30.07.2023

Muswada wa nyongeza ya malipo ya Jobseeker, unatarajiwa kuwasilishwa bungeni vikao vitakapo anza tena kesho Jumatatu 31 Julai 2023.

Taarifa ya Habari 28 Julai 2023 30.07.2023

Serikali ya shirikisho imetangaza ita wasilisha tena muswada wayo mhimu wa nyumba, vikao vya bunge vitakapo anza tena kutoka likizo yake ya majira ya baridi wiki ijayo jumatatu 31 Julai.

Mkataba wa DP World na serikali ya Tanzania wazua upinzani mkali 27.07.2023

Bunge la Tanzania limeridhia mkataba wa uendeshaji wa bandari nchini humo kati ya Serikali ya Tanzania na ya Dubai.

Taarifa ya Habari 25 Julai 2023 25.07.2023

Waziri Mkuu Anthony Albanese, amesema Australia inahitaji jiandaa kwa msimu wa moto wa vichaka ujao, wakati mioto ya vichaka inaendelea kuchoma maeneo ya Kaskazini ya dunia.

Listen to the SBS Swahili - SBS Swahili podcast in Replaio

Radio and podcasts in one app - free, with no sign-up. Install today and do not miss the launch

Get it on Google Play

Replaio is not a podcast publisher; show names, artwork and audio belong to their authors and are distributed through public RSS feeds.