SBS

SBS Swahili - SBS Swahili

News SW ↓ 930 episodes

Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili

Author

SBS

Category

News

Podcast website

www.sbs.com.au

Latest episode

Jul 10, 2026

Where to listen?

Podcasts in the app Replaio Radio Coming soon

Podcasts are coming to the app soon. Install now and be the first to see a whole new take on podcasts

Get it on Google Play Install for free Android 5M+ downloads · 4.8 rating iOS soon

Episodes

MiniPod: Man On! | Words we use - MiniPod: Man On! | Words we use 11.06.2026

Learn a new phrase and make your English sound more natural and interesting. Words We Use is a bilingual series that helps you understand idioms like 'Man On!'. - Jifunze msemo mpya na fanya Kiingereza chako kisikike cha asili na cha kuvutia zaidi. Words we Use ni makala ya lugha mbili, yatakayo kusaidia kuelewa nahau kama vile 'Man On' (jihadhari).

MiniPod: Keep your eye on the ball | Words we use - MiniPod: Keep your eye on the ball | Words we use 11.06.2026

Learn a new phrase and make your English sound more natural and interesting. Words We Use is a bilingual series that helps you understand idioms like 'Keep your eye on the ball'. - Jifunze msemo mpya na fanya Kiingereza chako kisikike cha asili na cha kuvutia zaidi. Words we Use ni makala ya lugha mbili, yatakayo kusaidia kuelewa nahau kama vile 'Keep your eye on the ball' (Kuwa makini).

SBS Learn Eng Ep 112 Jinsi yaku zungumza kuhusu likizo za shule 10.06.2026

Je, unajua jinsi yakuzungumza kuhusu likizo ya shule?

SBS Examine: CVE ni nini? 10.06.2026

Mnamo Mei, wanawake 11 na watoto 21 wali wasili nchini Australia kutoka Syria.

Taarifa ya Habari:Umaarufu wa chama cha One Nation, walazimisha vyama vya kisiasa nchini kubadili mitazamao yao 09.06.2026

Waziri Mkuu Anthony Albanese anasema serikali lazima zishughulikie mfadhaiko katika uchumi unaoongezeka, baada ya kura mpya ya maoni kuonyesha ongezeko la uungwaji mkono kwa chama cha One Nation.

Yaliyojiri Afrika: Swala lakubadilisha katiba lazua mpasuko katika makanisa DR Congo 09.06.2026

Kume kuwa mgwanyiko kati ya kambi yamakanisa katika Jamuhuri yakidemokrasia ya Kongo, kutakana na swala lakubadilisha katiba.

Australia Yafafanuliwa: Nini cha kutarajia unapomtembelea daktari wa mifugo 09.06.2026

Kama una mnyama kipenzi wa nyumbani, kumpeleka kwa daktari wa mifugo mara kwa mara ni muhimu kwa kuhakikisha mnyama wako ana afya njema na usalama.

Taarifa ya Habari:Australia yatoa heshima zake kwa hayati Richard Scolyer 08.06.2026

Wanafamilia na Waziri Mkuu Anthony Albanese wamemkumbuka Richard Scolyer, mshindi wa zamani wa tuzo yamu Australia bora wa mwaka.

Chiry "maelezo ya kifo cha Sheila, haya endani na msomo wa mwili wake" 08.06.2026

Wakenya wanao ishi mjini Sydney walifanya maandano, wakidai majibu kuhusu sababu ya kifo cha rafiki yao Sheila Chebii, aliye fariki akiwa kazini ndani ya jengo la Meriton.

Taarifa ya Habari: Upinzani wa mseto wapanga njama yakuzuia kupitishwa kwa sheria ya kodi ya serikali ndani ya Seneti 05.06.2026

Mabadiliko ya kodi ya serikali ya shirikisho yamepitishwa ndani ya nyumba la Wawakilishi - ila, upinzani wa mseto hauja tupilia mbali uwezekano wa muungano na chama cha Greens kuzuia mabadiliko hayo kupitishwa ndani ya Seneti na kuwa sheria.

Yaliyojiri Afrika: Duale "serikali haita shauriana na raia kuhusu karantini ya Ebola" 05.06.2026

Rais wa Kenya, William Ruto, amesema serikali yake inafanya jambo sahihi kwa kuruhusu Marekani kujenga kituo cha karantini ya Ebola nchini humo.

Taarifa ya Habari:Mahakama ya Kenya yasimamisha kujengwa kituo cha karantini cha Ebola 04.06.2026

Mahakama Kuu ya Kenya Jumanne ilisimamisha kwa wiki tatu zaidi mpango wa kujenga kituo cha karantini ya Ebola, kilichopendekezwa na Marekani.

Most Australians see migration as a benefit. Is economic stress changing the story? - Waaustralia wengi huona uhamiaji kama faida. Je! msongo wa mawazo wa kiuchumi una geuza mtazamo? 03.06.2026

Migrants and refugees are often blamed for rising cost of living pressures. Is there a way to break the cycle? - Wahamiaji na wakimbizi mara nyingi hulaumiwa kwa ongezeko la shinikizo la gharama ya maisha. Je! kuna namna yakuvunja mzunguko huo?

MiniPod: GOAT | Words we use - MiniPod: GOAT | Words we use 03.06.2026

Learn a new phrase and make your English sound more natural and interesting. Words We Use is a bilingual series that helps you understand idioms like 'GOAT'. - Jifunze msemo mpya na fanya Kiingereza chako kisikike cha asili na cha kuvutia zaidi. Words we Use ni makala ya lugha mbili, yatakayo kusaidia kuelewa nahau kama vile 'G.O.A.T' (Mchezaji Bora wa Wakati Wote). Learning notes and more free le...

MiniPod: GOAT | Maneno tunayo tumia 02.06.2026

Jifunze msemo mpya na fanya Kiingereza chako kisikike cha asili na cha kuvutia zaidi. Words we Use ni makala ya lugha mbili, yatakayo kusaidia kuelewa nahau kama vile 'G.O.A.T' (Mchezaji Bora wa Wakati Wote).

Faith"niliona nikama dunia ime isha na, nilihisi kwamba nimejipoteza pia mimi mwenyewe" 02.06.2026

Sheila Chebii alikuwa nchini Australia chini ya miezi mbili, alipo aga dunia katika mazingira yakutatanisha.

Taarifa ya Habari: Upinzani wa shirikisho wakosoa pendekezo la kumpa mweka hazina mamlaka ya kutoa punguzo la kodi ya faida ya mtaji 02.06.2026

Upinzani wa Mseto unakosoa muswada wa mageuzi ya kodi wa serikali ya Labour, kwa kumpa mweka hazina mamlaka ya kuamua ni mali gani zinaweza wekewa punguzo la kodi ya faida ya mtaji.

A guide to fuel types in Australia | Fuel in Focus - Australia Yafafanuliwa: Mwongozo kwa aina za petroli nchini Australia | Petroli Yalengwa 02.06.2026

Drivers across Australia are paying more at the bowser as fuel prices remain unstable. So does it make sense to go for cheaper petrol options when filling up? The answer depends largely on your engine requirements, as not every fuel works for every vehicle. - Madereva kote nchini Australia wanalipa zaidi katika vituo vya mafuta wakati bei za mafuta hazibadiliki.

Makala leo: Popovic afanya maamuzi magumu akitangaza kikosi cha Kombe la Dunia cha Socceroos 02.06.2026

Leo asubui Mwalimu wa timu ya taifa ya Australia Tony Popovic ametangaza kikosi chake cha wachezaji 26, cha Socceroos watakao cheza katika Kombe la Dunia la FIFA la 2026.

Taarifa ya Habari: Wagonjwa wa Ebola waanza kupona DR Congo 01.06.2026

Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) lilisema kwenye taarifa yake ya Jumapili (Mei 31) kwamba, wagonjwa wengine zaidi wa Ebola wanatazamiwa kupona, hasa pale ugunduzi na matibabu yanapoanza mapema, wakati juhudi za kukabiliana na ugonjwa huo hatari zikiongezeka.

Birori "Tunataka mauaji dhidi ya Wanyamulenge DR Congo yaishe mara moja " 30.05.2026

Wanachama wa jumuiya ya Wanyamulenge wanao ishi Australia, walijumuika mbele ya bunge la taifa mjini Canberra kuelezea kero zao.

Christine "baadhi ya wanawake wame acha kazi kwa sababu yakushindwa kuamuka" 29.05.2026

Baadhi ya wanawake wenye miaka 40 na zaidi, hujipata wana koma kupata hedhi. Hali hii huja na changamoto mbali mbali kwa wahusika.

Taarifa ya Habari:Chama cha Nationals chataka uchaguzi uitishwe kuhusu hatma ya mageuzi ya kodi ya serikali 29.05.2026

Chama cha Nationals kimemtaka Waziri Mkuu Anthony Albanese kuitisha uchaguzi mkuu, kuhusu mabadiliko hasi ya kodi ya vifaa na faida ya mtaji yaliyoainishwa katika bajeti ya shirikisho.

Makala Leo:'Kwa ajili yetu, kupitia sisi': Ombi la wenyeji la kusema ukweli na uhusiano wakati wa Wiki ya Maridhiano 29.05.2026

Matukio yanayo ongozwa na jamii yanafanyika kote nchini kuadhimisha Wiki ya Kitaifa ya Maridhiano, ambayo ilianza Mei 27 na ita isha Juni 03.

Yaliyojiri Afrika: Wanafunzi 16 waangamia kwenye mkasa wa moto shuleni Kenya 29.05.2026

Wanafunzi 16 wamekufa katika mkasa wa moto, uliotokea katika mabweni ya shule moja ya wasichana katika Kaunti ya Nakuru nchini Kenya.

Listen to the SBS Swahili - SBS Swahili podcast in Replaio

Radio and podcasts in one app - free, with no sign-up. Install today and do not miss the launch

Get it on Google Play

Replaio is not a podcast publisher; show names, artwork and audio belong to their authors and are distributed through public RSS feeds.