RFI Kiswahili

Nyumba ya Sanaa

Arts SW ↓ 36 episodes

Nyumba ya Sanaa ni Makala ya  Utamaduni ambayo inatoa fursa  kwa wasanii  na wadau wa sanaa kuwasilisha maoni yao kwa ajili ya maendeleo ya kweli ya Afrika na dunia kwa ujumla, tukiwa na lengo la kudumisha na kuendeleza tamaduni nzuri katika mwingiliano wa tamaduni uliopo, tukizingatia maisha ya kisasa na utandawazi kwa ujumla.

Be sure to visit the podcast's website and support the creator: www.rfi.fr

Author

RFI Kiswahili

Category

Arts

Podcast website

www.rfi.fr

Latest episode

Oct 24, 2026

Where to listen?

Podcasts in the app Replaio Radio Coming soon

Podcasts are coming to the app soon. Install now and be the first to see a whole new take on podcasts

Get it on Google Play Install for free Android almost 10M downloads · 4.7+ rating iOS soon

Episodes

Sanaa ya uchoraji jijini Dar es salaam naye Nasima yasin Abubakari 24.10.2026

Ukosefu wa Vifaa vya Uchoraji umechangia Sanaa hiyo kudumaa, sasa wachoraji wanalazimika kuagiza kutoka nchi za nje, Kaguta atafuta ufumbuzi.

Tanzania: Tamasha la marafiki festival mwaka wa 2026 10.10.2026

Wikendi hii tunaangazia msimu wa saba wa tamasha la marafiki festival. Tamasha linalolenga kutangaza utamaduni wa Tanzania.

Tanzania: Tunaliangazia kundi la Lumumba Theatre 03.10.2026

Lumumba Theatre  ni Kundi la Muziki wa Asili linalochanganya Midundo ya kisasa na ya zamani ili kupata Ladha Mpya, Tunaangazia kundi hilo katika makala ya n yumba ya Sanaa Juma hili.

Ushairi wa kisasa na Paul Mejooly 19.09.2026

Paul Mejooly alianza kutunga Mashairi akiwa Shuleni sasa ni Biashara inayomuingizia kipato, Tumezungumza naye kwenye Makala ya Nyumba ya sanaa.  

Zanzibar: Taarab asilia na Qudara Gwingwi 05.09.2026

Egyptian Taarab hii Bendi ya Muziki wa taarab, mzizi wa muziki wa Taarab unaofahamika leo katika Mwambao wa Afrika Mashariki, hasa visiwani Zanzibar,katika Makala ya Nyumba ya Sanaa wiki hii utamsikia Qudra Gwingwi Muimbaji wa bendi hiyo.

Sanaa ya nyimbo za asili na kundi la hiari ya moyo 22.08.2026

Sanaa ya nyimbo za asili inaanzia mbali, tangu enzi za utawala wa kimila. Kutana na kundi la Hiari ya Moyo maarufu Mwanamile katika Makala ya Nyumba ya Sanaa.

Tanzania: Muziki wa reggae Asilia na Ramadhani Yahaya Shaaban 15.08.2026

Ramadhani Yahaya Shaaban Mwanamuziki wa Reggae aliyechanganya na Vionjo vya kabilala Wazaramo anajivunia sanaa ya Muziki wa Asili Tanzania.

Uchoraji wa pembe (Qubical Drawings) na Maria Magige kutoka Daria Arts 08.08.2026

Uchoraji wa pembe(Qubical Drawings) ni sanaa inayozingatia uwasilishwaji wa ujumbe zaidi kuliko uhalisia wa picha. Katika makala ya Nyumba ya Sanaa juma hili tumezungumza na Maria Magige kutoka Daria Arts.

Tanzania: Uigizaji Radio na Kudra Kwingi 01.08.2026

Uigizaji Radio ni mbinu ya kisanii ya kusimulia hadithi, kutoa elimu, au kuburudisha kwa kutumia sauti pekee , Kudra Kwingi ni Miongoni mwa waigizaji wanawake wa mwanzo nchini tanzania anajivuia sana hii, katika Makala ya Nyumba ya Sanaa utamsikia.

Sanaa ya ucheshi na msani Abdul Chacha maarufu headmaster 25.07.2026

Sanaa ya ucheshi wima ni aina ya ucheshi unaotokana na tofauti za hadhi, mamlaka au nafasi za watu katika jamii huku mzaha ukitawala katika kuwasilisha Maudhui, Abdul Chacha maarufu headmaster ni msanii wa sanaa ya ucheshi.

Sanaa ya ucheshi na ukuzaji wa vipaji kwa vijana wa Tanzania 25.07.2026

Sanaa ya ucheshi wima ni aina ya ucheshi unaotokana na tofauti za hadhi, mamlaka au nafasi za watu katika jamii huku Mzaha ukitawala katika kuwasilisha Maudhui, Abdul Chacha maarufu Headmaster ni msanii wa sanaa hiyo Ungana na Steven Mumbi akizungumza na msanii huyo.

Sanaa ya muziki wa asili ya walega nchini DRC 18.07.2026

Nyumba ya sanaa juma hili imeangazia umuhimu wa kuwafundisha watoto lugha, usanii wamuziki za asili, na kujenga utamaduni wa kudumisha lugha za asili, mwanahabari wetu Reuben Lukumbuka anazungumza na msanii wa muziki za kilega, kutoka mjini Goma huko mashariki mwa Jamahuri ya kidemokrasia ya Congo Ngolis Mwindulwa Ngoma

Nyumba ya sanaa: Muziki wa Kifipa 27.06.2026

Wiki hii Steven Mumbi anazungumzia kuhusu muziki wa Kifipa

Joseph Issa Mohamed - Muigizaji wa Michezo ya Radio 13.06.2026

Joseph Issa Mohamed, maarufu Onyango Muigizaji wa Michezo ya Radio, anakumbukwa, katika Makala ya ya Nyumba ya Sanaa.

Muigizaji Nguli Bakari Mbelemba maarufu Mzee Jangala 06.06.2026

Muigizaji Nguli Bakari Mbelemba maarufu Mzee Jangala awataka Wasanii wachanga kutobweteka, Sikiliza Makala ya Nyumba ya sanaa.

Nyimbo na ngoma asili Bagamoyo Tanzania 30.05.2026

Wiki hii tunaangazia sanaa ya nyimbo na ngoma za asili katika Mji wa Bagamoyo nchini Tanzania.

Uchoraji unavyowasaidia vijana kujimudu kimaisha 16.05.2026

Licha ya kuwa na Shahada ya Utafiti wa Binadamu,Sanaa ya Uchoraji imempa fursa ya kumudu Maisha, Kutana na  Cletus Kenedy.

Sanaa ya uchoraji na Jordan Katunzi 09.05.2026

  Mbali na kuwa na Talanta ya Uchoraji, sasa wachoraji nchini Tanzania wanasomea fani hiyo ili kufanya sanaa kwa ufanisi, Jordan Katunzi ni Mchoraji amezungumza na Steven Mumbi katika Makala ya Nyumba ya Sanaa.

John Sombi Kafula, Mwanamuziki wa muziki wa asili kutoka kabila Wasukuma 18.04.2026

Wasukuma ni kabila kubwa zaidi nchini Tanzania, linakadiriwa kufikia watu milioni 10, idadi inayowakilisha asilimia 16 ya wakazi wa nchi kwa ujumla, Wasukumua ni maarufu kwa Muziki wa asili.

Tanzania: Singeli na Mima 11.04.2026

Wikendi kwenye makala ya nyumba ya sanaa, Mwandishi wetu Steven Mumbi aangazia muziki wa singeli na Mima.

Sanaa ya mjukwani 04.04.2026

Wiki hii tunaangazia sanaa ya majukwani.

Uchoraji msimu wa siku kuu 28.03.2026

Sanaa ya uchoraji wakati wa sherehe za siku kuu katika visiwa vya Zanzibar.

Uigizaji Filamu na Wastara 07.03.2026

Uigizaji Filamu na Wastara kutoka nchini Tanzania.

Sanaa ya uchongaji 15.11.2025

Steven Mumbi anaangazia sanaa ya uchongaji jijini Dar es Salaam nchini Tanzania.

Real Jofu kuhusu Bongo Fleva 01.11.2025

Steven Mumbi amezungumza naye msani Real Jofu kuhusu muziki wa Bongo Fleva.

Listen to the Nyumba ya Sanaa podcast in Replaio

Radio and podcasts in one app - free, with no sign-up. Install today and do not miss the launch

Get it on Google Play

Replaio is not a podcast publisher; show names, artwork and audio belong to their authors and are distributed through public RSS feeds.