RFI Kiswahili
Nyumba ya Sanaa
Nyumba ya Sanaa ni Makala ya Utamaduni ambayo inatoa fursa kwa wasanii na wadau wa sanaa kuwasilisha maoni yao kwa ajili ya maendeleo ya kweli ya Afrika na dunia kwa ujumla, tukiwa na lengo la kudumisha na kuendeleza tamaduni nzuri katika mwingiliano wa tamaduni uliopo, tukizingatia maisha ya kisasa na utandawazi kwa ujumla.
Be sure to visit the podcast's website and support the creator: www.rfi.fr
Where to listen?
Podcasts in the app Replaio Radio Coming soonPodcasts are coming to the app soon. Install now and be the first to see a whole new take on podcasts
Episodes
Real Jofu kuhusu Bongo Fleva 01.11.2025 20:11
Steven Mumbi amezungumza naye msani Real Jofu kuhusu muziki wa Bongo Fleva.
Nyumba ya sanaa: Muziki wa densi visiwani Zanzibar 20.09.2025 20:10
Katika Makala ya wiki hii tunaangazia safari ya muziki wa densi visiwani Zanzibar.
Vijana wa Goma wajituma kuimarisha sanaa ya muziki na utamaduni wa Afrika 17.09.2025 20:18
Makala ya wiki hii imeangazia namna wasanii wanaoishi katika maeneo yenye vita mashariki mwa DRC wanavyojituma katika kuimarisha sanaa ya muziki na utamaduni wa Afrika. Mwandishi wetu Ruben Lukumbuka hivi karibuni alitembelea mji wa Goma mkowani Kivu kaskazini ambako alikutana na msanii wa muziki na mtengeneza filamu Malick Maliro ambaye anaeleza kwa urefu kuhusu mbinu zake
Miaka 30 ya safari ya msanii Mack el Sambo mjini Goma mashariki mwa DRC 30.08.2025 20:10
Hii leo ninaungana na mwenzangu Ruben Lukumbuka ambaye hivi karibuni alitembelea mji wa Goma ambako alikutana na wasanii kadhaa ambao wamo mbioni katika kuhamasisha Amani na mshikamano wa jamii kupitia Nyimbo zao, na leo kwa namna ya pekee tutaungana na msanii mkongwe wa miaka mingi katika mji huo ambaye amejiwekea sifa kubwa katika eneo la maziwa makuu MACK ELSAMBO Kataka ambaye kwa zaidi ya miak...
Wanamuziki mjini Goma walazimika kufanyia muziki katika nchi jirani 02.08.2025 20:06
Mji wa Goma mashariki ya DRC unakabiliwa na changamoto baada ya waasi wa M23 kuuchukua mji huo sasa wanamuziki wanalazimika kwenda nchi jirani kufanya Muziki. Tumezungumza naye msani Sisco laga.
Sanaa ya utunzi wa vitabu nchini Tanzania na Leticia Ndanzi Bubelwa 26.07.2025 20:13
Imezoeleka ukisikia Utunzi wa Vitabu utawazia Vitabu vya Riwaya,Tamthilia ama Hadithi ,kutana na Leticia Ndanzi Bubelwa Mtunzi wa Vitabu vya Shajara ama kwa kimombo Journals.
Sanaa ya Muziki na Hamis Bss 19.07.2025 20:05
Sanaa ya Muziki na Hamis Bss kutoka nchini Tanzania
Tanzania: Sanaa ya uiigizaji na Lumole Matovolwa 12.07.2025 20:15
Lumole Matovolwa ni Miongoni mwa waigazi wa filamu ya kwanza ya Kibiashara nchini Tanzania ya Girl Friend amezungumza na Steven Mumbi katika Makala ya Nyumba ya Sanaa.
Muziki wa Singeli nchini Tanzania 05.07.2025 20:06
Muziki wa asili hubeba ujumbe unaoakisi Utamaduni wa Jamii ,kwa Tanzania Muziki wa Singeli unatajwa kuakisi Utamaduni wa Kitanzania, Ungana na Steven Mumbi katika Makala ya Nyumba ya Sanaa akizungumza na Mwanamuziki wa Muziki wa Singeli Hemed Kiduku.
Muziki wa RNB nchini Tanzania 21.06.2025 20:04
Wanamuziki wachanga wajigamba kuinua muziki wa RNB kufikia malengo,Ungana na Shine 9 katika Mkala ya Nyumba ya Sanaa
Sanaa ya muziki wa kizazi kipya na msani Eddy Music 14.06.2025 20:10
Safari ya Muziki wa kizazi kipya inaanzia mbali,sasa vijana wanalazimika kusafiri kutoka Mikoani kuja jijini Dar es salaam ili kufaulu kisanaa, Eddy Music ni msanii wa Muziki anazungumza na Steven Mumbi katika Makala haya.
Msanii Real Jofu asema amejifunza kuwa mvumilivu baada ya kuondoka jela 07.06.2025 20:11
Mara baada ya kutoka Jela Msanii Real Jofu anasema amejifunza kuwa mvumilivu ili kufikia malengo,Ungana na Steven Mumbi kaktika Makala ya Nyumba ya Sanaa akizungumza na Msanii huyo.
Similar podcasts
Replaio is not a podcast publisher; show names, artwork and audio belong to their authors and are distributed through public RSS feeds.