RFI Kiswahili

Nyumba ya Sanaa

Arts SW ↓ 24 Folgen

Nyumba ya Sanaa ni Makala ya  Utamaduni ambayo inatoa fursa  kwa wasanii  na wadau wa sanaa kuwasilisha maoni yao kwa ajili ya maendeleo ya kweli ya Afrika na dunia kwa ujumla, tukiwa na lengo la kudumisha na kuendeleza tamaduni nzuri katika mwingiliano wa tamaduni uliopo, tukizingatia maisha ya kisasa na utandawazi kwa ujumla.

Autor

RFI Kiswahili

Kategorie

Arts

Podcast-Website

www.rfi.fr

Neueste Folge

27. Jun 2026

Wo hören?

Podcasts in der App Replaio Radio Bald verfügbar

Podcasts kommen bald in die App. Installiere sie jetzt und erlebe als Erster einen ganz neuen Blick auf Podcasts

Bei Google Play herunterladen Kostenlos installieren Android 5 Mio.+ Downloads · Bewertung 4,8 iOS bald

Folgen

Nyumba ya sanaa: Muziki wa Kifipa 27.06.2026

Wiki hii Steven Mumbi anazungumzia kuhusu muziki wa Kifipa

Joseph Issa Mohamed - Muigizaji wa Michezo ya Radio 13.06.2026

Joseph Issa Mohamed, maarufu Onyango Muigizaji wa Michezo ya Radio, anakumbukwa, katika Makala ya ya Nyumba ya Sanaa.

Muigizaji Nguli Bakari Mbelemba maarufu Mzee Jangala 06.06.2026

Muigizaji Nguli Bakari Mbelemba maarufu Mzee Jangala awataka Wasanii wachanga kutobweteka, Sikiliza Makala ya Nyumba ya sanaa.

Nyimbo na ngoma asili Bagamoyo Tanzania 30.05.2026

Wiki hii tunaangazia sanaa ya nyimbo na ngoma za asili katika Mji wa Bagamoyo nchini Tanzania.

Uchoraji unavyowasaidia vijana kujimudu kimaisha 16.05.2026

Licha ya kuwa na Shahada ya Utafiti wa Binadamu,Sanaa ya Uchoraji imempa fursa ya kumudu Maisha, Kutana na  Cletus Kenedy.

Sanaa ya uchoraji na Jordan Katunzi 09.05.2026

  Mbali na kuwa na Talanta ya Uchoraji, sasa wachoraji nchini Tanzania wanasomea fani hiyo ili kufanya sanaa kwa ufanisi, Jordan Katunzi ni Mchoraji amezungumza na Steven Mumbi katika Makala ya Nyumba ya Sanaa.

John Sombi Kafula, Mwanamuziki wa muziki wa asili kutoka kabila Wasukuma 18.04.2026

Wasukuma ni kabila kubwa zaidi nchini Tanzania, linakadiriwa kufikia watu milioni 10, idadi inayowakilisha asilimia 16 ya wakazi wa nchi kwa ujumla, Wasukumua ni maarufu kwa Muziki wa asili.

Tanzania: Singeli na Mima 11.04.2026

Wikendi kwenye makala ya nyumba ya sanaa, Mwandishi wetu Steven Mumbi aangazia muziki wa singeli na Mima.

Sanaa ya mjukwani 04.04.2026

Wiki hii tunaangazia sanaa ya majukwani.

Uchoraji msimu wa siku kuu 28.03.2026

Sanaa ya uchoraji wakati wa sherehe za siku kuu katika visiwa vya Zanzibar.

Uigizaji Filamu na Wastara 07.03.2026

Uigizaji Filamu na Wastara kutoka nchini Tanzania.

Sanaa ya uchongaji 15.11.2025

Steven Mumbi anaangazia sanaa ya uchongaji jijini Dar es Salaam nchini Tanzania.

Real Jofu kuhusu Bongo Fleva 01.11.2025

Steven Mumbi amezungumza naye msani Real Jofu kuhusu muziki wa Bongo Fleva.

Nyumba ya sanaa: Muziki wa densi visiwani Zanzibar 20.09.2025

Katika Makala ya wiki hii tunaangazia safari ya muziki wa densi visiwani Zanzibar.

Vijana wa Goma wajituma kuimarisha sanaa ya muziki na utamaduni wa Afrika 17.09.2025

Makala ya wiki hii imeangazia namna wasanii wanaoishi katika maeneo yenye vita mashariki mwa DRC wanavyojituma katika kuimarisha sanaa ya muziki na utamaduni wa Afrika. Mwandishi wetu Ruben Lukumbuka hivi karibuni alitembelea mji wa Goma mkowani Kivu kaskazini ambako alikutana na msanii wa muziki na mtengeneza filamu Malick Maliro ambaye anaeleza kwa urefu kuhusu mbinu zake

Miaka 30 ya safari ya msanii Mack el Sambo mjini Goma mashariki mwa DRC 30.08.2025

Hii leo ninaungana na mwenzangu Ruben Lukumbuka ambaye hivi karibuni alitembelea mji wa Goma ambako alikutana na wasanii kadhaa ambao wamo mbioni katika kuhamasisha Amani na mshikamano wa jamii kupitia Nyimbo zao, na leo kwa namna ya pekee tutaungana na msanii mkongwe wa miaka mingi katika mji huo ambaye amejiwekea sifa kubwa katika eneo la maziwa makuu MACK ELSAMBO Kataka ambaye kwa zaidi ya miak...

Wanamuziki mjini Goma walazimika kufanyia muziki katika nchi jirani 02.08.2025

Mji wa Goma mashariki ya DRC unakabiliwa na changamoto baada ya waasi wa M23 kuuchukua mji huo sasa wanamuziki wanalazimika kwenda nchi jirani kufanya Muziki. Tumezungumza naye msani Sisco laga. 

Sanaa ya utunzi wa vitabu nchini Tanzania na Leticia Ndanzi Bubelwa 26.07.2025

Imezoeleka ukisikia Utunzi wa Vitabu utawazia Vitabu vya Riwaya,Tamthilia ama Hadithi ,kutana na Leticia Ndanzi Bubelwa Mtunzi wa Vitabu vya Shajara ama kwa kimombo Journals. 

Sanaa ya Muziki na Hamis Bss 19.07.2025

Sanaa ya Muziki na Hamis Bss kutoka nchini Tanzania

Tanzania: Sanaa ya uiigizaji na Lumole Matovolwa 12.07.2025

Lumole Matovolwa ni Miongoni mwa waigazi wa filamu ya kwanza ya Kibiashara nchini Tanzania ya Girl Friend amezungumza na Steven Mumbi katika Makala ya Nyumba ya Sanaa.

Muziki wa Singeli nchini Tanzania 05.07.2025

Muziki wa asili hubeba ujumbe unaoakisi Utamaduni wa Jamii ,kwa Tanzania Muziki wa Singeli unatajwa kuakisi Utamaduni wa Kitanzania, Ungana na Steven Mumbi katika Makala ya Nyumba ya Sanaa akizungumza na Mwanamuziki wa Muziki wa Singeli Hemed Kiduku.

Muziki wa RNB nchini Tanzania 21.06.2025

Wanamuziki wachanga wajigamba kuinua muziki wa RNB kufikia malengo,Ungana na Shine 9  katika Mkala ya Nyumba ya Sanaa

Sanaa ya muziki wa kizazi kipya na msani Eddy Music 14.06.2025

Safari ya Muziki wa kizazi kipya inaanzia mbali,sasa vijana wanalazimika kusafiri kutoka Mikoani kuja jijini Dar es salaam ili kufaulu kisanaa, Eddy Music ni msanii wa Muziki anazungumza na Steven Mumbi katika Makala haya.

Msanii Real Jofu asema amejifunza kuwa mvumilivu baada ya kuondoka jela 07.06.2025

Mara baada ya kutoka Jela Msanii Real Jofu anasema amejifunza kuwa mvumilivu ili kufikia malengo,Ungana na Steven Mumbi kaktika Makala ya Nyumba ya Sanaa akizungumza na Msanii huyo.

Höre den Podcast Nyumba ya Sanaa in Replaio

Radio und Podcasts in einer App - kostenlos und ohne Anmeldung. Installiere sie noch heute und verpasse den Start nicht

Bei Google Play herunterladen

Replaio ist kein Herausgeber von Podcasts; die Namen der Sendungen, Cover und Audioinhalte gehören ihren Autoren und werden über öffentliche RSS-Feeds verbreitet