Nukta Habari
Nukta the Podcast
Nukta Habari inakusogeza na mambo mtambuka yanayokuhusu ikiwemo burudani, mtindo maisha, safari, teknolojia na biashara.
Be sure to visit the podcast's website and support the creator: nukta.co.tz
Where to listen?
Podcasts in the app Replaio Radio Coming soonPodcasts are coming to the app soon. Install now and be the first to see a whole new take on podcasts
Episodes
Wakazi wa Geita wanavyopambana na kung'oa ujinga 23.09.2021 5:21
Kutana na juhudi za Wanageita wanavyopambana kung'oa ujinga kwenye mkoa wao
Ushirikishwaji ulivyowainua wanawake Geita 21.09.2021 4:27
Kutana na Rebecca Makenza, Mwanamke anayehamasisha ushiriki wa wanawake kwenye maendeleo.
Ukatili wa kijinsia sokoni ulivyokomeshwa Dar 21.09.2021 2:31
Ili kukomesha ukatili wa wanawake kwenye masoko, sheria zimetengenezwa ili kuadhibu yeyote anayefanya udhalilishaji wa kijinsia.
Vita ya baba na mtoto inayoacha alama kwenye familia 11.09.2021 7:41
Huzuni, hasira na majuto yanamfanya Wenwu kuchochea moto wa kisasi huku kuni yake akiwa ni mtoto wake , Shang Chi.
Hulka ya upole inapobadilika kuwa umafia 06.09.2021 7:54
Filamu hii ya “The Devil Judge” yaani hakimu shetani inakukutanisha na hakimu ‘mtata’ kuwahi kutokea katika ardhi ya wana filamu.
Zahanati itakayookoa maisha ya maelfu ya wanawake, watoto Geita 03.09.2021 5:31
Wakazi wa kijiji cha Isebya mkoani Geita wamejenga zahanati itakayopunguza vifo vya watoto na wajawazito wanaosafiri zaidi ya kilomita 5 kufuata huduma za afya kata ya jira ya Ilolungulu.
Kisasi kinavyogeuka kuwa safari ya penzi jipya 27.08.2021 6:01
Ni filamu ya The Protege, inamhusu mwanadada ambaye waovu wamemaliza familia yake.
Penzi linavyovunja mnyororo wa maisha 06.08.2021 5:47
Inamhusu mwanababa anayelazimika kubadili maisha yake baada ya mrembo kupita machoni kwake.
The Suicide Squad: Filamu ya waovu wanaobaki tumaini dunia 30.07.2021 5:31
Pale Superman anapokufa, ulimwengu unabaki bila shujaa wa kumtegemea. Lakini Afisa wa Intelijensia nchini Marekani, Amanda Waller anaishawishi Serikali kuridhia kutengenezwa kwa kikundi cha magaidi walioshindikana.
Filamu ya safari ya kuutafuta mti unaofufua waliokufa 23.07.2021 5:30
Kama ulimmiss The Rock na filamu zake za “adventure”, hii itakufaa. Ukiitazama, tupe mrejesho wa kiasi ulichofurahia.
Filamu ya Black Widow: Sababu kwanini usikimbie matatizo yako 09.07.2021 6:20
Baaada ya kumwona katika hadithi ambazo alikuwa tayari katika mafanikio, Natasha Romanoff sasa anakuja na historia yake katika filamu ya Black Widow.
Hii ndiyo maana halisi ya rafiki: Filamu ya Luca 02.07.2021 7:18
Safari ya marafiki wawili inapoingia vikwazo na vizingiti, havitoshi kukakatisha ndoto zao.
Lupin II: Filamu inayoelezea mwanzo wa uhalifu wa kitanashati 25.06.2021 5:48
Katika sehemu ya kwanza, mtoto wa Assane Diop, Raoul alitekwa na Leonard ambaye ni kibaraka wa bilionea Hubert Pellegrini ikiwa ni mtego wa kumvuta Assane katika umauti wake.
Filamu: “Uongo” unapobaki tumaini la kuukomboa ulimwengu 18.06.2021 4:10
Loki ambaye amecheza na mpangilio wa muda analazimika kulipia makosa yake lakini mambo yanageuka pale anapobaki tumaini pekee la ulimwengu.
Similar podcasts
Replaio is not a podcast publisher; show names, artwork and audio belong to their authors and are distributed through public RSS feeds.