RFI Kiswahili

Habari RFI-Ki

News SW ↓ 60 episodes

Makala ya kila siku yanayompa fursa msikilizaji kutoa maoni yake juu ya habari zilizopewa uzito wa juu kwa siku husika. Msikilizaji hushiriki kwa kutuma ujumbe mfupi pamoja na kupiga simu.

Be sure to visit the podcast's website and support the creator: www.rfi.fr

Author

RFI Kiswahili

Category

News

Podcast website

www.rfi.fr

Latest episode

Oct 20, 2026

Where to listen?

Podcasts in the app Replaio Radio Coming soon

Podcasts are coming to the app soon. Install now and be the first to see a whole new take on podcasts

Get it on Google Play Install for free Android almost 10M downloads · 4.7+ rating iOS soon

Episodes

Kenya: Yaadimisha miaka 63 ya uhuru wake 20.10.2026

Taifa la Kenya linaadhimisha miaka 63 ya kuwakumbuka mashujaa waliopigania uhuru wa taifa hilo Tunakuuliza ni njia ipi sahihi ya kuwakumbuka wote waliopigania uhuru barani Afrika ?   Skiza makala.

Africa : Umaskini unatatiza bara Africa 20.10.2026

Oktoba 17 dunia huadimisha siku ya kumaliza umaskini kwa wote. Bara Africa bado umaskini ni donda sugu, hapa mskilizaji anatoa maoni yake kuhusu swala hilo.

Vijana wengi Afrika hawawezi kumudu majukumu ya kifedha au kuishi maisha mazuri 15.10.2026
Aliyekuwa rais wa DRC Joseph Kabila aunda chama kipya na waasi wa M23 15.10.2026
Raia wengi wa Afrika wanajipata wamesajiliwa kupigana na Urusi kwenye vita Ukraine 15.10.2026
Ongezeko la ajali za barabani katika mataifa ya Afrika Mashariki 13.10.2026
Mzozo wa Sudan waendelea, kiongozi wa kijeshi akikataa mazungumza na RSF 09.10.2026

Kiongozi wa kijeshi nchini Sudan, Abdel Fattah al-Burhan, ameapa kuchukua kila sehemu ya ardhi ya nchi yake iliyo chini ya udhibiti wa wapiganaji wa RSF, huku akikataa majadiliano yanayolenga kumaliza vita nchini humo.

Kenya imeripoti maambukizi ya kwanza ya virusi vya Ebola aina ya Bundibugyo 07.10.2026
Maadhimisho ya Siku ya kimataifa ya Walimu, kutambua mchango wao katika kujenga jamii 05.10.2026

Licha ya hatua zilizopigwa, walimu kwenye nchi nyingi za Afrika wanalipwa mishahara midogo na wanafanya kazi kwenye mazingira magumu. Tunakuuliza je, walimu wanathaminiwa vya kutosha katika jamii yetu? Nchini mwako hali ikoje na nini kifanyike kuthamini na kuboresha maslahi ya walimu?

Maoni ya wasikilizaji kuhusu matukio mbalimbali ulimwenguni juma hili 02.10.2026

Kila siku ya Ijumaa tunakupa nafasi uzungumzie jambo ambalo umeliwazia wiki hii au pia habari kuu ulizozisikia katika matangazo yetu ya juma hili.

Manufaa ya kiwanda cha kusafisha mafuta huko Lamu nchini Kenya. 02.10.2026

Makala haya yameangazia mradi wa ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta huko Lamu nchini Kenya, kitakachojengwa na Bilionea wa Afrika, Aliko Dangote, kiwanda hiki kikitarajiwa kukamilika ndani ya miaka mitatu na kitagharimu Dola za Marekani Bilioni 16. Tumeuliza msikilizaji anazungumziaje uwekezaji huu, hasa kwakuwa unafanywa na raia wa Afrika.

Mbona matukio ya ukatili na mauaji ya wanawake yameongezeka Afrika? 02.10.2026

Wiki hii visa vya wanawake kudhulumiwa na kuuwawa katika baadhi ya mataifa ya Afrika vimekuwa vikiongezeka, matukio ya karibuni ni kupatikana kwa miili zaidi ya 11 ya wanawake waliouawa nchini Afrika Kusini. Mashirika ya kutetea haki za binadamu yanazitaka nchi kukomesha vitendo hivyo. Tumemuuliza msikilizaji wa RFI Kiswahili, anafikiri kwa nini licha ya karne tuliyoko matukio ya ukatili wa wanawa...

Hatua ya rais Salva Kiir kuvunja serikali ya mpito kuelekea uchaguzi wa Disemba 25.09.2026
Wafanyakazi wa umma hadi elfu 10 nchini Kenya walipata ajira kwa udanganyifu 24.09.2026

Idadi kubwa ni wale ambao wameajiriwa na bunge na tume ya uchaguzi na mipaka

Viongozi wa dunia wanakutana wiki hii kwa kikao cha kila mwaka cha UNGA 23.09.2026

Idadi kubwa ni wale ambao wameajiriwa na bunge na tume ya uchaguzi na mipaka ,IEBC.

Siku ya kimataifa ya Amani inamaana kwa wananchi wengi ? 22.09.2026
Maoni yako kuhusu maangazo yetu juma hili 19.09.2026

Kila Ijumaa rfi Kiswahili inakuja nafasi kuchangia mada yoyote kwenye kipindi cha Habari Rafiki.

Kenya kuandaa mashindano ya riadha ya dunia 18.09.2026

Kenya imeteuliwa kuandaa mashinda ya dunia ya riadha. Skiza maoni ya mskilizaji.

DRC : Upinzani wapinga mpango wa serikali kubadili katiba 16.09.2026

Upinzani nchini DRC wapinga mpango wa serikali kurekebisha katiba Shabarikiliza maoni ya mskilizaji .

Kenya : Raia wa Burundi wazidi kuondoka nchini Kenya 16.09.2026

Raia wa Burundi wanaofanya baishara ndogondogo nchini Kenya, wamendelea kuondoka nchini humo kutokana tangazo la rais William Ruto kuwataka wageni kusajili biashara zao. Skiza maoni ya mskilizaji.

EAC : Mvua za El Nino zatarajaiwa 14.09.2026

Darubini yetu  inalenga kanda ya Africa Masharaiki ambapo watalaam wa utabiri wa hali ya hewa wanaonya kuwa nchi za Afrika Mashariki na Kati, zitashuhudia EL Nino kati ya mwezi Oktoba hadi Desemba, ambako mvua kubwa inatarajiwa kunyesha. Umejiandaa vipi kukabiliana na EL Nino ? Skiza maoni ya mskilizaji.

Maadhimisho ya siku ya kimataifa ya kuhamasisha kuzuia visa vya watu kujiuwa. 10.09.2026

Shirika la afya duniani  WHO linasema watu laki 7 na elfu 20 hujitoa uhai kila mwaka. Kujiua ni kati ya sababu tatu kuu ya vifo miongoni mwa vijana wenye umri wa miaka 15–29.

Matumizi ya AI, UN yataka makampuni ya yanayotengeneza teknolojia hiyo kupunguza hatari yake 10.09.2026

Mkuu wa ofisi ya tume ya haki za binadamu ya umoja wa Mataifa, Volker Turk, hapo jana ameonya kuwa akili unde inaweza kuwa tishio kwa binadam.

Kauli ya Rais wa Kenya William Ruto kuhusu wafanyabiashara wadogowadogo wa kigeni 07.09.2026

Rais akisema wafanyabiashara wa ndani wanahitaji kulindwa. Agizo lake limeibua mjadala kuhusu nafasi ya wageni katika biashara ndogo nchini Kenya.

Maoni ya waskilizaji wiki hii ambapo raisi wa Zambia Hakainde Hichelema aliapishwa 05.09.2026

Listen to the Habari RFI-Ki podcast in Replaio

Radio and podcasts in one app - free, with no sign-up. Install today and do not miss the launch

Get it on Google Play

Replaio is not a podcast publisher; show names, artwork and audio belong to their authors and are distributed through public RSS feeds.