VENANCE JOHN

FIKRA TUNDUIZI

News SW ↓ 6 episodes

Wengi wanaeleza na kutoa taarifa za kijamii lakini wanashindwa kuonyesha ukubwa wa tatizo hilo katika jamii....Karibu sana FIKRA TUNDUIZI upate majadiliano, midahalo, mada, taarifa na habari zinazoigusa jamii moja kwa moja ambazo zimerahisishwa, kufafanuliwa vizuri na kuchambuliwa kwa namna ambayo hutoachwa na shaka wala hutoachwa bila kutoelewa...FIKRA TUNDUIZI PODCAST MAARIFA ADHIMU YA KUJENGA JAMII.

Be sure to visit the podcast's website and support the creator: fikratunduizi.com

Author

VENANCE JOHN

Category

News

Podcast website

fikratunduizi.com

Latest episode

Dec 5, 2023

Where to listen?

Podcasts in the app Replaio Radio Coming soon

Podcasts are coming to the app soon. Install now and be the first to see a whole new take on podcasts

Get it on Google Play Install for free Android 10M+ downloads · 4.7+ rating iOS soon

Episodes

Chimbuko la mgogoro wa "Hamas" na Israel 05.12.2023

Kwanini "Hamas" hawakubali uwepo wa taifa la Israel? Huu ni uchambuzi na ufafanuzi wa kina kutoka katika mitazamo miwili. Mtazamo wa kwanza ni wa kidunia Mtazamo wa pili ni wa kiroho; ambapo Biblia ilishatabili juu ya vita hii.

Unyanyasaji wa kijinsia mtandaoni 01.06.2022

Sheria za Tanzania ni madhubuti kiasi gani kudhibiti unyanyasaji mtandaoni

Kujiuzulu kwa spika wa Tanzania Job Yustino Ndugai 09.01.2022

Baada ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania kuandika barua ya kujiuzulu mengi yamesemwa, wengine wakipongeza kwamba huo ni ukomavu wa kisiasa, wengine wakisema ni sahihi kwa kuwa ni uwajibikaji kwa kiongozi huku wangine wakisema utaratibu haujafuatwa kwani ameandika barua kwenda kwa katibu mkuu wa chama badala ya barua ya kujiuzulu kuelekezwa kwa bunge. Bw Edwin Soko ni Mchambuzi, M...

Mgombea huru nchini Tanzania 01.09.2021

Nchi nyingi barani Afrika katika katiba zao zimeruhusu mgombea huru ambae halazimiki kudhaminiwa na chama chochote ili kuwa mgombea. Nchi kama Uganda, Namimibia, Tunisia na nyinezo zinakipengele hicho katika Katiba, je kwanini tanzania haiko tayari licha ya baadhi ya watu kuhitaji uwepo wa ngombea huru?

Mapinduzi nchini Mali 03.11.2020

Nini cha kujifunza baada ya mapinduzi nchini Mali. Kwanini mapinduzi mengi yameshamiri Afrika ?

WANAWAKE KATIKA SIASA NA UONGOZI 08.10.2020

Chama cha wanahabari wanawake Tanzania (TAMWA) kimeoa magunzo kwa waandishi wa habari wa redio za kijamii 50 kutoka mikoa 17 ya Tanzania kwa ajili ya kuwaongezea ujuzi wanahabari jinsi gani vyombo vya habari vinaweza kuonesha ukubwa wa tatizo wakati wa kutoa taarifa za wanawake ili kuionesha jamii na serikali ukubwa wa tatizo na madhara ya kutokuwa na wanawake katika siasa na uongozi. #WanawakeWan...

Listen to the FIKRA TUNDUIZI podcast in Replaio

Radio and podcasts in one app - free, with no sign-up. Install today and do not miss the launch

Get it on Google Play

Replaio is not a podcast publisher; show names, artwork and audio belong to their authors and are distributed through public RSS feeds.