Fabian C. Mwakabanje
Babananiii
A literate African empowering the community through literacy programs.
Author
Fabian C. Mwakabanje
Category
Podcast website
Latest episode
Feb 20, 2026
Where to listen?
Podcasts in the app Replaio Radio Coming soonPodcasts are coming to the app soon. Install now and be the first to see a whole new take on podcasts
Episodes
TIBA YA PILI & TATU YA POCHI TUPU 25.08.2021 11:18
''Utajiri wa mtu haupo kwenye fedha zilizopo kwenye pochi yake bali kwenye kijito cha dhahabu kinachotiririka kwenda kwenye pochi yake na kuitunisha. Kipato kinachoingia hata akisafiri au asipofanya kazi."
Sehemu Ya Tatu: TIBA SABA ZA POCHI TUPU 24.08.2021 18:25
TIBA YA KWANZA: NAMNA KUTUNISHA POCHI TUPU
TAJIRI WA BABELI (ARKAD) 18.08.2021 30:41
Vitu muhimu kujifunza kwa anayeutaka utajiri. Kwanza jilipe kwanza, kisha tafuta ushauri kwa wenye uzoefu.
TAJIRI WA BABELI (Sura ya Kwanza) 12.08.2021 17:08
MTU ALIYETAMANI DHAHABU. Sehemu ya Kwanza katika kitabu cha Tajiri wa Babeli inaongelea hadithi ya marafiki wawili; Bansir na Kobbi ambao walijiuliza kuhusu kupata mali na walifanya uamuzi wa kutafuta suluhu ya tatizo lao la ukata wa kila mara.
MITHALI Sura ya 15 08.07.2021 5:00
Hekima katika kumcha BWANA.
MITHALI Sura ya 14 08.07.2021 5:41
Kitabu kilichojaa hekima. Uchaguzi ni wako, je unataka kuwa mpumbavu au mtu mwenye hekima. Uamuzi ni wako.
Mithali Sura ya 13 06.07.2021 4:46
Yeye asiyetumia fimbo yake humchukia mwanawe. Bali yeye ampendaye humrudi mapema.
MITHALI Sura ya 12 05.07.2021 4:14
"Katika njia ya haki kuna uhai; Wala hakuna mauti katika mapito yake." -- Mithali 12:28
MITHALI Sura ya 11 04.07.2021 4:34
Amefananishwa na kipini cha dhahabu puani mwa nguruwe yule mwanamke mzuri asiye na akili.
MITHALI Sura ya 10 03.07.2021 4:58
Hekima za Solomoni/Selemani/Suleiman
MITHALI Sura ya 9 02.07.2021 3:00
Wenye busara ukimfundisha atakupenda. Wajinga huchukia marekebisho
MITHALI Sura ya 8 01.07.2021 5:14
Hekima inawaita wanadamu wote wamuendee. Hekima anatoa wito tumfuate tupate utajiri, na fahali yote ya dunia. Hekima humsaidia mfalme kutawala na watawala kutunga sheria.
MITHALI Sura ya 7 01.07.2021 4:23
Maonyo kwa kijana mwanamume dhidi ya mwanamke mzinzi.
MITHALI 6 29.06.2021 5:44
Onyo dhidi ya upumbavu na onyo dhidi ya mwanamke kahaba
MITHALI (Sura ya 5) 29.06.2021 3:40
Somo lililopo kwenye sura hii ya tano ni "Maonyo dhidi ya uzinzi"
MITHALI Sura ya 4 27.06.2021 4:09
Mfululizo wa simulizi ya kitabu cha Mithali (Biblia).
Mithali (sura ya 3) 26.06.2021 4:57
Mfululizo wa simulizi ya kitabu cha Mithali (Biblia).
Mithali Sura ya 2 25.06.2021 3:39
Leo tarehe 25 Juni 2021, ninasoma kitabu cha Mithali sura ya pili kutoka kwenye Biblia. Sura hii inazungumzia faida za hekima.
Mithali Sura 1 24.06.2021 3:39
Nimeadhamiria kukisoma kitabu cha Mithali kwa siku 31 kama zilivyo sura zake. Nimependelea kukisoma kwa sauti na kukushirikisha simulizi ya kitabu hiki.
Laiti kama angejua 05.06.2021 3:30
Ushairi
Introduction Fatherhood 04.06.2021 1:26
Reading out loud part Fatherhood
Kijana Na Kazi 18.05.2021 11:08
Mafanikio ya kazi bora na sababu za kubadili kazi.
KUFANYA KAZI VIZURI 13.05.2021 8:30
Fanya kazi yako kwa bidii, jiwekee malengo, fuata utaratibu na nidhamu, kuwa Chapu kazini, na mwisho Tuliza akili na mawazo yote yaelekeze kwenye kazi unayoitenda sasa.
NJIA YA KUJIPATIA KAZI 12.05.2021 11:31
MUHIMU KUJISHIKIZA KWA MUDA KATIKA KAZI NYINGINE WAKATI UNAISUBIRIA ILE KAZI UIPENDAYO.
Unapochagua Kazi Zingatia 10.05.2021 5:42
Sehemu ya pili: 3. Chagua kazi yenye manufaa na 4. Chagua kazi itakayoweza kupatikana.
Similar podcasts
Replaio is not a podcast publisher; show names, artwork and audio belong to their authors and are distributed through public RSS feeds.