Fabian C. Mwakabanje

Babananiii

Arts SW ↓ Odcinki: 55

A literate African empowering the community through literacy programs.

Koniecznie odwiedź stronę podcastu i wesprzyj twórcę: podcasters.spotify.com

Autor

Fabian C. Mwakabanje

Kategoria

Arts

Strona podcastu

podcasters.spotify.com

Ostatni odcinek

20 lut 2026

Gdzie słuchać?

Podcasty w aplikacji Replaio Radio Już wkrótce

Podcasty trafią do aplikacji już wkrótce. Zainstaluj teraz i jako pierwszy zobacz nowe podejście do podcastów

Pobierz z Google Play Zainstaluj za darmo Android 5 mln+ pobrań · ocena 4,8 iOS niedługo

Odcinki

Empire of Faith 20.02.2026

from Writings on the Wall book

KATIKA UKAMILIFU WA NYAKATI - 01 02.02.2026

Tunakiangalia kipindi cha karne ya kwanza.

KATIKA UKAMILIFU WA NYAKATI 03 01.02.2026

Simulizi ya mazingira ya karne ya kwanza

KATIKA UKAMILIFU WA NYAKATI 2 30.01.2026

Karibu kunisikiliza nikisimulia nyakati zilivyokuwa kipindi cha Yesu akiwa mvulana pale Yudea.

BOOK CLUB FRIDAY JAN 24 26.01.2024

First week discussion on the internet, the dark web and all technology stuff.

VITABU VYA WATOTO 26.01.2024

HAdithi hadithi za watoto. Children story books, read alouds

Nyongeza fikra yako 10.09.2023

Mawazo

Poems by Poets 10.09.2023

Collection from my favourites.

What's Yah Take? 26.07.2023

Questions I ask myself in solitude...

Pretending poem 23.04.2022

By Salma Shuma

Sermon Design and Delivery 04.04.2022

Thomas H. Holland

TUJISAHIHISHE Na. 2 17.02.2022

"Elimu" na Kujielimisha.

TUJISAHIHISHE (Sehemu 1) 16.02.2022

Tujisahihishe, kitabu kiliandikwa na Hayati Baba Wa Taifa Letu, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Rais wa kwanza wa Tanzania, mwezi Mei mwaka 1962, Dar es Salaam, Tanganyika.

JINSI YA KUWEKA MIPANGO 13.10.2021

*JINSI YA KUWEKA MIPANGO* A. Marlene Wilson anasema kwamba mchakato ulioratibiwa unapaswa kuzingatia kanuni zifuatazo: 1. *Malengo;* ni matokeo yanayotazamiwa; mahali ambapo mtu au taasisi inataka kufika -- hatima au maazimio yake. 2. *Maazimio;* kutafsiri malengo na madhumuni kwa njia iliyo wazi na rahisi ya kueleweka na kutekelezeka (wakati mwingine huitwa mipango kazi). 3. *Kazi;* ni mambo gani...

Hawawezi kuelewa 05.10.2021

Maelezo yoyote utakayoyatoa yanayokuhusu wewe kwa ubinafsi hata kama si makosa kujipenda na kujipendelea ila wengine ni vigumu kukuelewa.

KUSADIKIKA:- MJUMBE WA MASHARIKI 15.09.2021

Kitabu Mkononi leo hii kinatoka kwa mwandishi nguli na mbobezi wa lugha ya Kiswahili. Ukurasa wa 19

MTU MWENYE BAHATI KULIKO WOTE KATIKA BABELI 07.09.2021

Mwisho wa simulizi yetu ya tajiri wa babeli. Kazi ni utu. Kazi inamuheshimisha mtu katika watu

MFANYABIASHARA WA NGAMIA WA BABELI 06.09.2021

Penye nia pana njia. Kama una nia basi njia utaiona na kuiendea.

KUTA ZA BABELI 04.09.2021

Gharama ya ulinzi ni ya asili na kubwa sana kwa mwanadamu. Anahitaji kuwa salama, na mali zake kuwa katika ulinzi na usalama. Ndiyo dhima ya sehemu hii ya Saba (7) katika mfululizo wa simulizi ya TAJIRI WA BABELI.

MKOPESHA PESA WA BABELI 02.09.2021

"Zawadi uliyopewa na mfalme inatakiwa kukufundisha hekima. Ukitaka kubaki na vipande vyako hamsini vya dhahabu, unatakiwa kuwa makini. Utavutiwa na vitu vingi na utapata ushauri mwingi sana. Utaambiwa fursa nyingi zinazodaiwa kutoa faida kubwa. Habari na hadithi kutoka kwenye sanduku langu la dhamana zinatakiwa kuwa onyo kwako. Kabla hujaruhusu pesa yako kutoka kwenye pochi hakikisha utaweza kuiru...

ZIJUE SHERIA TANO ZA PESA 01.09.2021

"Ukiambiwa uchague kati ya mfuko uliojaa dhahabu na mabamba ya vigae yaliyoandikwa maneno ya hekima na busara, utachagua nini?" Wasikilizaji walikuwa wamekaa jangwani wakiwa wamekusanyika kuzunguka moto. Walikuwa wakisikiliza kwa makini. Mwanga wa moto ulionyesha nyuso zao ambazo zilianza kuwa nyeusi sababu ya jua la jangwani. "Dhahabu, dhahabu," walijibu wote ishirini na saba kwa pamoja. Mzee Kal...

MUNGU WA BAHATI (Sehemu Ya Pili) 30.08.2021

Mungu wa bahati huwapendelea watu wa vitendo.

KUTANA NA MUNGU WA BAHATI (Sehemu Ya Kwanza) 28.08.2021

"Kama mtu ana bahati huwezi jua inapoishia. Mtupe ndani ya mto Efrati naye atatoka ameshikilia lulu." -- METHALI YA WABABILONI

TIBA 7 ZA POCHI TUPU (4 - 7) 26.08.2021

Hizi ndizo jumla ya tiba saba za pochi tupu. Kwahiyo tiba ya saba na ya mwisho ya kutibu pochi tupu ni kuwa mtu bora. Kujifunza na kujizoeza kupata maarifa zaidi, kupata ujuzi zaidi na kujiendesha maisha yako kwa heshima. Hapo unaweza kujiamini na utaweza kutimiza malengo yako.

Gum on the Gate (Book 6) 26.08.2021

Every evening I usually read a story to primary students as a way of influencing and fostering a reading habit.

Słuchaj podcastu Babananiii w Replaio

Radio i podcasty w jednej aplikacji - za darmo, bez zakładania konta. Zainstaluj już dziś i nie przegap premiery

Pobierz z Google Play

Replaio nie jest wydawcą podcastów; nazwy audycji, okładki i audio należą do ich autorów i są rozpowszechniane przez publiczne kanały RSS