RFI Kiswahili

Afrika Ya Mashariki

News SW ↓ 24 episodes

Kwenye makala ya Afrika ya Mashariki unahabarika na kuelimika juu ya changamoto za maisha ya wananchi wa Afrika Mashariki na eneo zima la maziwa makuu. Usipitwe na Makala ya Afrika ya Mashariki kwani unapata nafasi ya kutoa mawazo yako na kusikiliza wataalamu mbalimbali watakaokuwezesha kubadili fikra na kufikia maendeleo endelevu.

Author

RFI Kiswahili

Category

News

Podcast website

www.rfi.fr

Latest episode

May 30, 2026

Where to listen?

Podcasts in the app Replaio Radio Coming soon

Podcasts are coming to the app soon. Install now and be the first to see a whole new take on podcasts

Get it on Google Play Install for free Android 5M+ downloads · 4.8 rating iOS soon

Episodes

Hali ya Ziwa Victoria na changamoto zinazolikabili 30.05.2026

Tunaangazia hali ya Ziwa Victoria, changamoto zinazolikabili pamoja na juhudi za kikanda zinazofanyika kulinusuru ziwa hilo ambalo ni mhimili wa uchumi na maisha ya wananchi wa Afrika Mashariki. Ziwa Victoria, ambalo ni tegemeo la mamilioni ya wananchi wa Afrika Mashariki, linaendelea kukumbwa na changamoto kubwa za mazingira, uvuvi haramu na uchafuzi wa maji. Ripoti mpya ya mwaka 2025 imeonya kuw...

Tanzania: Ripoti ya Tume ya uchunguzi kuhusu vurugu za uchaguzi mkuu wa Oktoba 02.05.2026

Makala ya Afrika Mashariki, ikiangazia juu ya ripoti ya Tume ya uchunguzi wa matukio ya wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa October 29, 2025 nchini Tanzania.

Kumbukizi ya miaka 32 ya mauaji ya kimbari ya Rwanda ya mwaka 1994 11.04.2026

April 7, 1994 ni siku ya ambayo historia ya Rwanda ilianadikwa kwa wino mwekundu kumaanisha hatari, kifo cha Rais zamani wa Taifa hilo Juvenal Habyarimana aliuawa akitokea nchini Tanzania katika mchakato wa kusaka amani nchini Rwanda, baada ya waasi wa kundi la RPF wakati huo, ambalo kwa sasa ni chama kilichopo madarakani, kuanzisha vita dhidi ya serikali ya Juvenal Habyarimana, wakimtuhumu kuwate...

Kasi na mapokeo ya ueneaji wa akili mnemba barani Afrika 11.04.2025

Karibu katika ya Afrika mashariki hii leo macho na masikio ya Makala haya yanatazama kasi na mapokeo ya ueneaji wa akili mnemba barani Afrika tukienega katika Mkutano wa Kimataifa wa AI kuhusu Afrika 2025, unaofanyika Kigali nchini Rwanda Mwandalizi na  msimulizi wako naitwa Martin Nyoni nasema karibu tuwe soote hadi tamati 

Je una ufahamu juu ya ulinzi wa taarifa binafsi ? 05.04.2025

Kasi ya ugunduzi na uvumbuzi katika maswala ya sayansi na teknolojia na ujio wa Internet sanjali na matumzi ya mitandao ya kijamii yanafanya wajamii kuwa katika hatari kumbwa kupoteza usiri wa taarifa zao.  Baada ya mabadiliko makubwa ya teknolojia yamesababisha taarifa za watu kuwa ni moja ya mtaji mkubwa kwa watu wengine na makampuni makubwa  Tanzania kama yalivyo mataifa mengine ya Afrika masha...

Tatizo la kifua kikuu (TB) katika mataifa ya Afrika Mashariki 29.03.2025

Maambukizi ya kifua kikuu yanaweza kuenezwa kwa urahisi katika miji mikubwa na maeneo ya umma ambapo kuna mkusanyiko mkubwa wa watu, kama vile vituo vya mabasi, masoko, na hata sehemu za kazi kama waendesha bodaboda wanavyojihusisha.     Msikilizaji wa RFI Kiswahili karibu katika Makala ya Afrika mashariki hii leo tunatuwana kuangaza namna waendesha bodaboda wanaweza kuchukua tahadhari ya kupamban...

Tanzania: Namna wakaazi wa vijijini wanafikiwa na huduma za maji 15.03.2025

Namna wakazi wa maeneo ya vijijini wanafikiwa na huduma za maji nchini Tanzania.

Athari za mgogoro wa DRC katika mataifa ya Afrika 08.03.2025

Mgogoro wa Mashariki ya DRC umeendelea kwa miongo kadhaa, na bado ni moja ya changamoto kubwa za kiusalama na kisiasa Barani Afrika. Katika Mashariki ya DRC , kuna makundi ya waasi kama vile M23 , ADF , Twirwaneho, ambayo yameongeza umwagaji damu na kusababisha maelfu ya watu kuhama kutoka maeneo yao. Siasa za kikanda, ushindani wa madaraka kati ya mataifa kama Rwanda yana iweka DRC njia panda kil...

Umuhimu wa kutunza lugha mama katika jamii za Afrika 01.03.2025

Karibu katika Makala ya Afrika mashariki hii leo tukiangaza safari ya miaka 25 ya UNESCO kuenzi lugha mama na nafasi ya lugha mama katika kukuza maendeleo ya jamii Mwandalizi na msimulizi wako naitwa Martin Nyoni nasema karibu tuwe sote hadi tamati ya Makala haya.    Lugha ni muhimu kwa elimu na maendeleo endelevu, zikitumika kama njia kuu ambayo maarifa hupitishwa na tamaduni kuhifadhiwa.    Kwa...

Namna wakazi wanaoishi karibu na migodi wanaweza kufaidika na shughuli hizo 01.02.2025

Makala ya Afrika mashariki hii leo tunatuwama na kuangazia kwa namna gani wakazi wanaozunguka migodi ya madini kupitia uwajibikaji kwa jamii. Mchango wa Sekta ya Madini katika Pato la Taifa umekua, na kukua huku ni kutokana na ongezeko la asilimia 7.3 kwa mwaka 2021 hadi kufikia asilimia 9.  Kwa kuzingatia umuhimu wa sekta hii serikali ya Tanzania imechukua hatua muhimu ya kuhakikisha kwamba wawek...

Tanzania: Changamoto wanazokabiliwa nazo watu wenye Albinism mjini Mwanza 22.01.2025

Watu wenye ualbino Afrika Mashariki, na hasa nchini Tanzania, wanakutana na changamoto kubwa za kijamii, kisiasa na kiuchumi. Vilevile, wanakumbana na unyanyapaa, ubaguzi, na vitendo vya kikatili vinavyoweza kupelekea madhara makubwa, ikiwa ni pamoja na mauaji na uharibifu wa miili yao.    Ingawa jamii ya watu wenye ualbino imekuwa na umakini wa kimataifa, bado wanakumbana na hatari na shida kubwa...

Safari ya miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar 18.01.2025

Zanzibar ilipata uhuru kamili mnamo Desemba 10, 1963, kutoka kwa Uingereza, Waarabu walio wachache walifanikiwa kushika madaraka waliyorithi kutoka kwa Zanzibar kuwepo kama eneo la ng'ambo la Oman.

Tanzania: Kuongezeka kwa visa vya ugonjwa wa usugu wa vimelea dhidi ya dawa 16.11.2024

Wiki hii tunatuwa nchini Tanzania tukiangaza kuongezeka kwa visa vya ugonjwa wa usugu wa vimelea dhidi ya dawa (UVIDA)

Uwekezaji katika sekta ya kilimo mkoani Arusha Kaskazini mwa Tanzania 08.11.2024

Sekta ya Kilimo inaongoza kuwa na fursa nyingi za uwekezaji kwa nchi wanachama wa jumuiya ya Afrika mashariki na Afrika kwa ujumla kwa mfano uzalishaji wa Ngano, mafuta ya kupikia, matunda na mboga mboga, mbolea, Viatilifu, mbegu bora, vifungashio, kupunguza upotevu wa mazao baada ya mavuno na eneo la kilimo cha umwagiliaji.    

Tanzania: Kumbukizi ya miaka 119 tangu kuibuka kwa vita vya majimaji 24.10.2024

Karibu katika Makala ya Afrika mashariki, hii leo tunatuwama nchini Tanzania katika Mkoa Lindi uliopo kusini mwa Tanzania mahali ilipo ibuka vita vya majimaji mara hii ikiwa ni kumbukizi ya miaka 119 tangu kuibuka kwa vita vya Majimaji. Vita vya Majimaji vilipata mizizi yake katika eneo la Nandete Kipatimu, ambapo jamii za Matumbi zilijitokeza kwa ujasiri dhidi ya ukandamizaji wa kikoloni. Roho hi...

Wiki ya vijana ilivyoaadhimishwa mjini Mwanza nchini Tanzania 17.10.2024

Tunaangazia jinsi vijana wanavyoweza kutumia fursa za kidijitali katika kukuza na kuimarisha shughuli zao za kiuchumi mjini Mwanza nchini Tanzania. 

Tanzania: Mradi wa Jenga Kesho Bora ulivyoanza kutoa mazao kwa wafugaji wa samaki 04.10.2024

Namna Mradi wa Jenga Kesho Bora (BBT), unaosimamiwa na Wizara ya Kilimo nchini Tanzania ulivyoanza kutoa mazao kwa wafugaji wa samaki kwa njia ya vizimba ndani ya Ziwa Victoria. 

Maadhimisho ya kimataifa ya siku ya lugha ya alama 27.09.2024

Jamii imetakiwa kujifunza lugha ya alama ilikuweza kuwasiliana vyema na watu wanaoishi na ulemavu wa kusikia.

EAC: Namna mafunzo ya ujasiriamali yanaweza kuwainua vijana 18.09.2024

Katika Makala ya Afrika mashariki hii leo tunatuwama kuangaza na kumulika namna mafunzo ya ujasiriamali yanaweza kuwainua vijana walio ukanda wa Afrika mashariki kupunguza ukali wa Maisha kutokana na kukosa ajira. 

Maonesho ya awamu ya19 ya biashara katika nchi za Afrika Mashariki 11.09.2024

Maonyesho haya pamoja na kutoa fursa kwa makampuni ya Afrika mashariki kujifunza na kupanua wigo wa biashara za nje kwakutumia fursa zilizopo za makubaliano ya kibiashara kati ya nchi washiriki nahata kuvuka mipaka ya kufikia juuiya nyingine kwama vile SADC, AGOA,na EBA

EAC: Fursa za uchumi wa samawati katika Ziwa Victoria 06.09.2024
Maendeleo ya shughuli za uvuvi kwenye maziwa Tanganyika na Victoria 28.08.2024

Hivi karibu serikali ya Tanzania iliitaka taasisi ya uvuvi ya Ziwa Victoria (LVFO) kuandaa mkakati wa kulifunga ziwa hilo kwa kipindi kirefu. Kauli hiyo inakuja siku chache baada ya kufunguliwa kwa Ziwa Tanganyika lililofungwa kwa miezi mitatu kutoka Mei 15 hadi Agosti 15, 2024 kwa ajili ya kuruhusu samaki kuweza kuzaliana kwa wingi

Hofu kwa wavuvi wa biashara ya samaki Ziwa Victoria nchini Tanzania 28.08.2024

Serikali ya Tanzania imekuwa ikiteleza kanuni za mwaka 2009 juu ya kulifunga ziwa hilo kwa muda wa siku 10 utaratibu huu umekuwa endelevu hadi sasa ambapo kila mwezi wavuvi hawaruhusiwi kujishughulisha na shughuli za uvuvi kwa siku 10, ikiwa na maana kwamba katika kipindi cha mwaka mzima, Ziwa hilo linafungwa kwa siku 120, sawa na Robo mwaka yaani miezi minne

Shughuli za uvuvi zarejelewa katika Ziwa Tanganyika mkoani Kigoma 23.08.2024

Shughuli za Uvuvi katika Ziwa Tanganyika mkoani Kigoma zilifungwa kwa kipindi cha miezi mitatu kuanzia mwezi Mei 15 hadi Agosti 15, mwaka huu lengo likiwa ni kupumzisha ziwa hilo, ili kuchagiza ongezeko la Samaki Kufungwa kwa ziwa hilo ni makubaliano yaliyoazimiwa katika kikao kilichofanyika mwaka 2022 kikihusisha nchi zinazozunguka ziwa hilo ambazo ni Zambia, Tanzania, Burundi na Jamhuri ya Kidem...

Listen to the Afrika Ya Mashariki podcast in Replaio

Radio and podcasts in one app - free, with no sign-up. Install today and do not miss the launch

Get it on Google Play

Replaio is not a podcast publisher; show names, artwork and audio belong to their authors and are distributed through public RSS feeds.